Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Naomba kuuliza inamaana mabomu yote ambayo Israel na marekani wanashusha hapo Iran , hayajaweza kuangamiza kabisa uwezo wa irani wa kurushwa makombora? Hili kitaalamu linawezekanaje au wairani wanatumia mbinu Gani?
Wana miundombinu mingi iliyo sehemu tofauti, haiwezi kuisha kwa 100% kwenye hizi wiki mbili. But muda unavyoenda na waavyoshambulia wana uhakika watamaliza kwa 100%
 
Ni ndege ya ngapi hii kutoka Marekani yenye rubani na isio na rubani ambayo imepatwa na matatizo makubwa kama haya mkuu toka vita ianze ?

View: https://x.com/i/status/2034659938643923358
 
💥💥💥💥
Netanyahu: siku zote huwa kuna hatari ya kuchukua maamuzi lakini hatari ya kutochukua maamuzi ni kubwa
 
Back
Top Bottom