City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
💥💥💥💥
Netanyahu: Israel iliamua yenyewe kushambulia vituo vya nishati vya Iran
Netanyahu: Israel iliamua yenyewe kushambulia vituo vya nishati vya Iran
Israel inaweza.💥💥💥💥
Netanyahu: nataka nifunge hizu habari potofu za kuwa israel imeiburuza marekani kwenye Vita. Kuna mtu anafikiri anaweza kumuambia Trump nini cha kufanya?
Na huyo anayehutubia sasa hivi ni nani? naheshimu sana weledi wako ila mihemuko na Matusi inakudiscredit, hivi PM wa Israel kweli anaweza uwawa kwa hizo makombora yanayotokea huko yakeonekana na kujulikana yanatarget wapi kwa muda wote huo na asiwe evacuated?Interim Prime minister ameshachaguliwa kumrithi Neta. Sasa kama hajafa kwanini interim leader achaguliwe??
Kwa nini ?💥💥💥💥
Netanyahu: Israel iliamua yenyewe kushambulia vituo vya nishati vya Iran
Israel ni bora angani ardhini sina uhakika💥💥💥💥
Netanyahu: kuhusu kupeleka Askari wa ardhin kuna uwezokano huo
Ndege za kushambulia so far 6, za mafuta ni 7 mbili zikiwa Angani na tano zikiwa zimepaki, drones hazihesabiki.Ni ndege ya ngapi hii kutoka Marekani yenye rubani na isio na rubani ambayo imepatwa na matatizo makubwa kama haya mkuu toka vita ianze ?
Netanyahu ni Either ameuliwa ama amejeruhiwa, intelligence za Iran zinasema amejeruhiwa vibaya Sana miguuni,Na huyo anayehutubia sasa hivi ni nani? naheshimu sana weledi wako ila mihemuko na Matusi inakudiscredit, hivi PM wa Israel kweli anaweza uwawa kwa hizo makombora yanayotokea huko yakeonekana na kujulikana yanatarget wapi kwa muda wote huo na asiwe evacuated?
Argue na wenzio mie sio wa level hizo..Netanyahu ni Either ameuliwa ama amejeruhiwa, intelligence za Iran zinasema amejeruhiwa vibaya Sana miguuni,
Hizo video ni AI ama video za zamani, zinadanganya Tu watu layman wasio na basics za Tech Ila MTU mwenye uelewa na Ai anazitambua haraka Sana, link ama upload video yake ya karibuni nitakusaidia kukuonesha why ni AI.
Marekani na Israel wakiingia sehemu hawapendi kukutana na upinzani hivyo hali wanayoipitia sasa inawauma hadi kwenye makalio.Naomba kuuliza inamaana mabomu yote ambayo Israel na marekani wanashusha hapo Iran , hayajaweza kuangamiza kabisa uwezo wa irani wa kurushwa makombora? Hili kitaalamu linawezekanaje au wairani wanatumia mbinu Gani?
Unachoongea ndio ninachokishuhudia hapa maana nipo mwaka wa nne huku iranIran wayahudi huja na kuomba uraia hata katika hili embu tusibishane aisee. Hata hiki kitu cha kawaida unaleta ukinzani!?
Hayo yapo sio Iran peke yake kwenye sheria kali ila sheria kali so zote zipo baadhi kali zilizobaki rafiki kwa raia.
Na maandamano ni kawaida kwaajili ya kuamsha utawala uone wapi wanakosea na wapi wako sahihi.
Sio Iran peke yake kunatokeaga maandamano,Ufaransa mwaka jana yalitokea maandamano na wamekufa na kuumizwa watu wengi tu.