babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,476
- 21,202
Kuna watu wanafkiri hormuz ndio suluhisho la vita huko Iran.
Hamkumbuki kibabe tu US waliweka mabomba ya kuchota mafuta kwenda kwao Kuwait,Iraq,Libya baada ya vita.
Kinachoenda kutokea wataweka miundo mbinu yao Iran,washaondoa taka zote
wametoa taarifa tu kuomba support ili wasilaumiwe baadae.
Mwisho watasema tuliwataarifu hamkutujali.
Sasa tumefanya tunachoweza.