Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Serious mkuu? Unaweza kutupa ushahidi hayo mashambulizi yasiyokauka yanatoka kwenye hizo kambi na sio Ndege zinazoendeshwa toka Cyprus, Israel na mataifa mengine ya mbali?

Hizo kambi zimeharibiwa na Radar hazifanyi KAZI, ukumbuke Iran alipokua akirusha makombora kwenda Israel yalitunguliwa na hizo kambi kadhaa kupunguza nguvu kabla hayajafika Israel, Ila sasa hivi yanapita tu, Iran Hana tena haja ya kurusha makombora mengi kupiga Israel, Ukitoa Jordan sijasikia nchi inayofanya interception.
Yaani Karne hii unabishana na mtu kama huyo kama ana wasiwasi siaende google tu kutafuta ukweli au hata YouTube akipata vyanzo sahihi vya taarifa ataupata ukweli

Kuna watu smartphone technology wanaitunia Kwa kupost picture tu Whatsapp na insta !!!!!!!? Inashangaza sana
 
Hapana, sio 1 side propaganda.

Hy inayoisema n one side propaganda n wanazungumza Ukweli, ww mwnyw nambie n nani anapelekewa moto kati ya Iran na Israel/USA?

Ww mwnyw ht kama n kobaz ila uliongea ukweli wa moyo wako utasema n Iran anapelekewa moto mana mpaka sasa hakuna kiongozi yeyote wala miundombinu heavy ya Israel/USA iliyoguswa zaidi ya maumivu kwa Iran na viongozi wake.
Duu hebu msome General Kenneth,uwekezaji middle east umewachukua US miaka hasmini, ila Iran ndani wiki mbili kachakaza huo uwekezaji wao.
Screenshot_20260315_224516_Photos.jpg

Siku wakisema US wapige hesabu ya uhalibifu wa kambi zote za US middle east na miundombinu mengine ya kijeshi,sitoshagaa ikifika USD 1Til,kuna moja ya Radar kubwa ya kijeshi CENTCOM,New York Times wameripoti thamani yake ni USD 1.1bil.

Myaahudi Bandari Haifa,Haifa refinery, Banzan Refinery, viwanja vya ndege,vituo vya kuzalisha umeme vyingi vimepigwa. US sehemu zake ambazo naye anamaslahi middle east kwenye makampuni ya Gas,mafuta ya meguswa,Qatar jana tu ile kituo cha cha gas ambacho walitumia USD bil 26 kukijenga,ambacho US nae ana maslahi yake kimelipuliwa na hasara waliyopiga ni 20bil USD.
 
Bado wapo kwenye mjadala,muwafaka utapatikana na watautangaza. Kitendo cha kufikiria kukaa tu hiko kikao tayari ni hatari kwa ushawishi wa USA.

Base ipi ina operate?? Unaweza kututajia base ya USA ambayo iko operational Persian gulf??

Kambi zinazotumika ni za Israel,ndio maana wanatumia ndege za kujaza mafuta kulingana na umbali ulioko kutoka Israel hadi Iran.
Persian gulf hakuna kambi operational ya USA.
Pia kuna balozi 5 zimeteketezwa.
Hasara kubwa kwa USA japo sisi tunachukulia ni rahisi. Juzi wametangaza hasara za uwekezaji na miundombinu ya kijeshi na ya balozi iliyopatikana ni $ 22 billions.
Je ni ndogo hizo kaka??
Pentagon wamepokea ujumbe kuwa zinahitajika $200 billions kuendeleza vita ya Iran ambayo Hegseth anasema haijulikani inaisha lini. Bado hawaja approve hizo pesa.
Anaye chukulia kwamba ni rahisi kulipua embassy za USA Aende pale msasani us embassy halafu akarushe jiwe
 
NI kweli ndugu ila kumbuka Gaza hakukuwa na jeshi kulikuwa na wanamgambo wanaijichanganya na raia na wanavaa kiraia hivyo ni ngumu kupigana nao na wengine walikuwa wanaishi kwenye mahaandaki hivyo walikuwa wanaibuka tu kushambulia na kurudi shimoni.

Vita ya sasa ni technologia hivyo hata Israel wakivamia Iran usitegemee kama wataenda kichwa kichwa watakuwa wanashambulia kutoka angani na ardhini. Haina maana kuwa hawatakufa watakufa wengi tu sababu hii ni vita ila wanajeshi wa Iran watateketea wengi sana hasa kutokana na mashambulizi ya angani na baadae kuna uwezekano wakajisalimisha maana hata viongizi wao wakubwa wenye ushawishi hasa wa IRGC wameuwawa limemabaki jeshi la Rais Masoud
 
For the record mpaka sasa balozi zilifingwa ni
Kuwait – U.S. embassy
Saudi Arabia
Lebanon – embassy shut amid conflict
Israel (Jerusalem) – embassy
Bahrain – embassy closed

Ambazo hazijafungwa lakin ziko under heavy restriction

Iraq
Kuwait
Qatar – visa services canceled temporarily
UAE (Abu Dhabi & Dubai)
Saudi Arabia (Riyadh)
Oman

Bases ambazo zimekuwa destroyed not operational

Naval Support Activity Bahrain (🇧🇭 Bahrain)
Camp Arifjan (🇰🇼 Kuwait)
Tower 22 (🇯🇴 Jordan)

Base ambazo zimepigwa namashambulizi but still ziko operational
Al Udeid Air Base (🇶🇦 Qatar)
Camp Buehring (🇰🇼 Kuwait)
Ali Al Salem Air Base (🇰🇼 Kuwait)

→ zilizopo 🇮🇶 Iraq
Al Asad Airbase
Erbil Air Base
Baghdad Diplomatic Support Center
Union III Base
Camp Taji

So si kweli kambi wanazotumia ni zanisrael, kwasaababu if that was the case, umbali mrefu sana, wasingewez akunattac constintely and on target kila mara
Balozi zilizoshambuliwa na kuathirika.
-Saudi Arabia.
-Iraq.
-Bahrain.
-UAE.
-Kuwait.

Al Udeid haiko operational unless uko ill-informed.
Ali Al Salem ndio ilikula kibiriti mapema sana haiko operational kabisa.
Kama hizo kambi zingekua operational wasingekua wanatumia ndege za ujazaji mafuta toka Israel kuja hadi Iran.
Labda utuoneshe ni lini baada ya mashambulizi USA alitumia hizo kambi dhidi ya Iran.
 
Hapana, sio 1 side propaganda.

Hy inayoisema n one side propaganda n wanazungumza Ukweli, ww mwnyw nambie n nani anapelekewa moto kati ya Iran na Israel/USA?

Ww mwnyw ht kama n kobaz ila uliongea ukweli wa moyo wako utasema n Iran anapelekewa moto mana mpaka sasa hakuna kiongozi yeyote wala miundombinu heavy ya Israel/USA iliyoguswa zaidi ya maumivu kwa Iran na viongozi wake.
We jamaa kichwa chako kinafanya kazi!??
-Balozi 5 za USA zimelipuliwa na kambi zake 27 kushambuliwa na damage wamezithibitisha unadai hakuna USA au Israel alipoguswa??
-Jana Iran amelipua Haifa oil refinery plant je hiyo sio hasara kwa Israel??
Vipi kuhusu Beit Shemesh na watu waliouawa pale kwa kombora la Israel??
-Kwanini Israel inazuia utoaji taarifa??
 
Balozi zilizoshambuliwa na kuathirika.
-Saudi Arabia.
-Iraq.
-Bahrain.
-UAE.
-Kuwait.

Al Udeid haiko operational unless uko ill-informed.
Ali Al Salem ndio ilikula kibiriti mapema sana haiko operational kabisa.
Kama hizo kambi zingekua operational wasingekua wanatumia ndege za ujazaji mafuta toka Israel kuja hadi Iran.
Labda utuoneshe ni lini baada ya mashambulizi USA alitumia hizo kambi dhidi ya Iran.
Kabi nyingi zilizopo iraq zimeshambuliwa yes but hazijafungwa kwamba zime collapse hapana

And si kambi zote zina airbase, nyingi hazina so zina functiona kama FOB.
 
We jamaa kichwa chako kinafanya kazi!??
-Balozi 5 za USA zimelipuliwa na kambi zake 27 kushambuliwa na damage wamezithibitisha unadai hakuna USA au Israel alipoguswa??
-Jana Iran amelipua Haifa oil refinery plant je hiyo sio hasara kwa Israel??
Vipi kuhusu Beit Shemesh na watu waliouawa pale kwa kombora la Israel??
-Kwanini Israel inazuia utoaji taarifa??
Kuna kushambuliwa na ku collapse, halaf kuna kushambuliwa lakini damage isiwe kubwa kiasi kwamba zisifanye kazi
 
Ety Iran mnapeleka moto 😂

Haya mmeua kiongozi gn wa Israel kwenye huo moto wenu?

Umeondoka kwenye Dini vizuri ✍️

Makamanda Mawaziri Wapo wengi picha ninazo lkn vuta subra🙏

Lkn kukusaidia chunguza Vikao vyao vyasasa vya KIJESH vipoje ¿¿

Linganisha na Vita ya siku12 Vikao vyao vilivokuwa vinaushisha wengi!!!

Njoo kwa Netanyahu ile ya siku12 sio mala moja alitembelea maeneo yaliopigwa nakutoa neno!!

Hii yasasa yupo wapi!!! ??
 
We jamaa kichwa chako kinafanya kazi!??
-Balozi 5 za USA zimelipuliwa na kambi zake 27 kushambuliwa na damage wamezithibitisha unadai hakuna USA au Israel alipoguswa??
-Jana Iran amelipua Haifa oil refinery plant je hiyo sio hasara kwa Israel??
Vipi kuhusu Beit Shemesh na watu waliouawa pale kwa kombora la Israel??
-Kwanini Israel inazuia utoaji taarifa??
Kwamba Israel wanazuia kutoa taarifa ila ww hizo taarifa unazo?
 
Back
Top Bottom