Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Hamad Ibn Jassim former Qataeri Minister "Once we join war against Iran USA and Israel will withdraw and sell us weapons and wait for each of us to collapse so that it can benefit greater Israel and USA".
🤔🤔😂😂😂😂Akili kumbe mnazo ila mliamua kujichetua eeeh!?
 
💥💥💥💥
Israel imefanikiwa kumuua kamanda Ali Mohamed Nain ambae alikua msemaji mkuu wa jeshi IRGC
20260320_153322.jpg
 
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la kusini mashariki mwa Tehran
 
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la mashariki mwa Tehran. Mlipuko mkubwa
 
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la kambi ya jeshi fadjr shiraz
 
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la kambi ya jeshi kolahdouz
20260320_153829.jpg
 
Shekhe kuwa na Subra sisi tunauwa m'bwa na mwenye m'mbwa wake🦮

Hakuna nafasi ya kukimbia wala nafasi ya kurusha taulo!!

Mbaga. we agiza migebuka! nakuja lipa💩 sisi tupo biz kuwasaka familia ya manyau nyau
Nyie endeleeni kubomoa majengo, sisi makafir wa Israel tunawapeleka viongozi wenu peponi kula bikra 72 😂
 
💥💥💥💥
Israel imefanikiwa kumuua kamanda Ali Mohamed Nain ambae alikua msemaji mkuu wa jeshi IRGC
View attachment 3560439


Mnauwa wazee na mnajisifia Iranian nimeelewa kwann wanachaguana Wazee zee. Wanajua Akili ndogo ya Waisrael na MOSSAD yao!!

Yoyote mwenye kutaka kufa Shahidi kwenye group la Wazee anapewa cheo kikubwa.

Uku Watoto wao wapo kwenye mission kubwa za Kijesh kuishinda Israel.!!

wamewaacha MOSSAD waangaike na Wazeee. shubamit anatoka Mzee anakuja mzee.

Wenye Akili wataelewa mchezo wa Iranian.
 
Back
Top Bottom