Kama kambi radar zake zimepigwa na miundombinu muhimu ya mawasiliano kuharibiwa kuna functions tena hapo!??Kabi nyingi zilizopo iraq zimeshambuliwa yes but hazijafungwa kwamba zime collapse hapana
And si kambi zote zina airbase, nyingi hazina so zina functiona kama FOB.
Erbil Iraq US troops wanakutana na daily strikes kutok makundi ya wanajihadi ya Iraq.
Kiufupi hawawezi kutoa msaada wao wenyewe wanatakiwa kusaidiwa.
Na Prime Minister Mohammed Al Shia wa Iraq amekataa kujihusisha na hao askari wa USA.