Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

What was the out come ya hiko kikao cha tarehe 7, because mpaka sasa hakuna dalili yoyote

Kama unavyodai hapa, kwamba wakionekana mahali popote ni shahed, inakuwaje hizo base bado zina operate?

Bado zinaoiga kazi nanmadhambulizi hayaja kauka?

Means iran bado hajapiga mahali ambapo pata mdhoofishs Us
Hata marekani hajapiga sehemu itakayo idhohofisha iran. Iran isingeendelea na vita mpaka leo wakina agachi wangekuwa bize wanatafuta ceasefire
 
Nawewe sijui umeshiba migebuka !!!!!

Nawewe nikuulize unajua. Kufikia sasa VATICAN imeongozwa na ma PAPA wangapi??

. Je. Unajua PAPA wangapi wameuwawa apo VATICAN??

Uyo JESUS YESU wenu halikuwapi kumlinda PAPA???

IRANIAN inavyopeleka MOTO💥💥💥💥💥💥 kuna wanaosujudia Israel wanapatwa na mchafuko wa tumbo 😆😆😆😆

Akili zitawakaaa sawa Mtawaombea Iranian ili Mubarikiwe mwende chooni kwa wkt 🤪🤪🤪

mtazoea tu

Jehova kashakimbia.

NETANYAHU kakufaaaa
sasa mutabarikiwa nanani!!!!!!!!

Zaidi ya Iranian!!!
Ety Iran mnapeleka moto 😂

Haya mmeua kiongozi gn wa Israel kwenye huo moto wenu?
 
Strong censorship & 1 side propaganda iko active.
Hapana, sio 1 side propaganda.

Hy inayoisema n one side propaganda n wanazungumza Ukweli, ww mwnyw nambie n nani anapelekewa moto kati ya Iran na Israel/USA?

Ww mwnyw ht kama n kobaz ila uliongea ukweli wa moyo wako utasema n Iran anapelekewa moto mana mpaka sasa hakuna kiongozi yeyote wala miundombinu heavy ya Israel/USA iliyoguswa zaidi ya maumivu kwa Iran na viongozi wake.
 
What was the out come ya hiko kikao cha tarehe 7, because mpaka sasa hakuna dalili yoyote

Kama unavyodai hapa, kwamba wakionekana mahali popote ni shahed, inakuwaje hizo base bado zina operate?

Bado zinaoiga kazi nanmadhambulizi hayaja kauka?

Means iran bado hajapiga mahali ambapo pata mdhoofishs Us
Serious mkuu? Unaweza kutupa ushahidi hayo mashambulizi yasiyokauka yanatoka kwenye hizo kambi na sio Ndege zinazoendeshwa toka Cyprus, Israel na mataifa mengine ya mbali?

Hizo kambi zimeharibiwa na Radar hazifanyi KAZI, ukumbuke Iran alipokua akirusha makombora kwenda Israel yalitunguliwa na hizo kambi kadhaa kupunguza nguvu kabla hayajafika Israel, Ila sasa hivi yanapita tu, Iran Hana tena haja ya kurusha makombora mengi kupiga Israel, Ukitoa Jordan sijasikia nchi inayofanya interception.
 
Na huyo anayehutubia sasa hivi ni nani? naheshimu sana weledi wako ila mihemuko na Matusi inakudiscredit, hivi PM wa Israel kweli anaweza uwawa kwa hizo makombora yanayotokea huko yakeonekana na kujulikana yanatarget wapi kwa muda wote huo na asiwe evacuated?
ni nishawaambia hawa proiran habari kama hizi ndo zinafanya hata kama habari walioileta humu ni ya ukweli huonekana ni uongo
 
Hakuna jeshi la ardhini lolote dunia linaweza kuzidi uwezo wa jeshi la anga, anayekupiga akiwa angani ni lazima awe mshindi hata nyie wa ardhini muwe bora kiasi gani.
Kama hujui uwe unanyamazaga.
Vita kamili ipo kwenye jeshi la ardhini.
USA ilifanya air operation Somalia kesha ikashusha Delta force wakamkamate Farah Aidid 1993. Walipigika na wakaacha askari wanne wakiwa hai wakiburutwa barabarani.
 
Mpaka sasa hakuna uzi wa kueleweka wa Iran kuishambulia Israel/USA 😂

Makobaz wenzangu wanaishia kutoa fununu tuu mtu fulani amekufa, huku wao wakipelekewa moto usio na fununu 😂
Nenda CGTN,ALJAZEERA,TIMES OF ISRAEL,CHANNEL 12 ISRAEL NEWS. Jana kuamkia leo wameuliwa wawili na makumi critical injured kwa shambulio la jana la Iran Central Tel Aviv.
Tushakuzoea jamaa wa kuongea ushabiki badala ya facts.
 
Kama hujui uwe unanyamazaga.
Vita kamili ipo kwenye jeshi la ardhini.
USA ilifanya air operation Somalia kesha ikashusha Delta force wakamkamate Farah Aidid 1993. Walipigika na wakaacha askari wanne wakiwa hai wakiburutwa barabarani.
Unaniambia mambo ya 1993 wakati tupo 2026.

USA/Israel VS Iran wanatumia jeshi la ardhini?
Mbona moto wanaopelekeana unaonekana.
 
Nenda CGTN,ALJAZEERA,TIMES OF ISRAEL,CHANNEL 12 ISRAEL NEWS. Jana kuamkia leo wameuliwa wawili na makumi critical injured kwa shambulio la jana la Iran Central Tel Aviv.
Tushakuzoea jamaa wa kuongea ushabiki badala ya facts.
Wameuliwa mawili na makumi akina nani?
 
Unaniambia mambo ya 1993 wakati tupo 2026.

USA/Israel VS Iran wanatumia jeshi la ardhini?
Mbona moto wanaopelekeana unaonekana.
Ndio maana nikikwambia una upofu wa ushabiki huna facts.
-Jeshi la anga hadi sasa limefanikisha nini zaidi ya kuua viongozi tu? Iran bado silaha zipo na wanaendelea kuleta mashambulizi. Vita za miaka ya nyuma hutumika kama reference. US ilianza kuishambulia Somalia kwa anga ndipo wakaingiza jeshi ground,kilichowakuta Yesu hapendi.
-Kuna kambi yeyote ya US ambayo ni active Mashariki ya kati??
 
What was the out come ya hiko kikao cha tarehe 7, because mpaka sasa hakuna dalili yoyote
Bado wapo kwenye mjadala,muwafaka utapatikana na watautangaza. Kitendo cha kufikiria kukaa tu hiko kikao tayari ni hatari kwa ushawishi wa USA.
Kama unavyodai hapa, kwamba wakionekana mahali popote ni shahed, inakuwaje hizo base bado zina operate?
Base ipi ina operate?? Unaweza kututajia base ya USA ambayo iko operational Persian gulf??
Bado zinaoiga kazi nanmadhambulizi hayaja kauka?

Means iran bado hajapiga mahali ambapo pata mdhoofishs Us
Kambi zinazotumika ni za Israel,ndio maana wanatumia ndege za kujaza mafuta kulingana na umbali ulioko kutoka Israel hadi Iran.
Persian gulf hakuna kambi operational ya USA.
Pia kuna balozi 5 zimeteketezwa.
Hasara kubwa kwa USA japo sisi tunachukulia ni rahisi. Juzi wametangaza hasara za uwekezaji na miundombinu ya kijeshi na ya balozi iliyopatikana ni $ 22 billions.
Je ni ndogo hizo kaka??
Pentagon wamepokea ujumbe kuwa zinahitajika $200 billions kuendeleza vita ya Iran ambayo Hegseth anasema haijulikani inaisha lini. Bado hawaja approve hizo pesa.
 
Bado wapo kwenye mjadala,muwafaka utapatikana na watautangaza. Kitendo cha kufikiria kukaa tu hiko kikao tayari ni hatari kwa ushawishi wa USA.

Base ipi ina operate?? Unaweza kututajia base ya USA ambayo iko operational Persian gulf??

Kambi zinazotumika ni za Israel,ndio maana wanatumia ndege za kujaza mafuta kulingana na umbali ulioko kutoka Israel hadi Iran.
Persian gulf hakuna kambi operational ya USA.
Pia kuna balozi 5 zimeteketezwa.
Hasara kubwa kwa USA japo sisi tunachukulia ni rahisi. Juzi wametangaza hasara za uwekezaji na miundombinu ya kijeshi na ya balozi iliyopatikana ni $ 22 billions.
Je ni ndogo hizo kaka??
Pentagon wamepokea ujumbe kuwa zinahitajika $200 billions kuendeleza vita ya Iran ambayo Hegseth anasema haijulikani inaisha lini. Bado hawaja approve hizo pesa.
For the record mpaka sasa balozi zilifingwa ni
Kuwait – U.S. embassy
Saudi Arabia
Lebanon – embassy shut amid conflict
Israel (Jerusalem) – embassy
Bahrain – embassy closed

Ambazo hazijafungwa lakin ziko under heavy restriction

Iraq
Kuwait
Qatar – visa services canceled temporarily
UAE (Abu Dhabi & Dubai)
Saudi Arabia (Riyadh)
Oman

Bases ambazo zimekuwa destroyed not operational

Naval Support Activity Bahrain (🇧🇭 Bahrain)
Camp Arifjan (🇰🇼 Kuwait)
Tower 22 (🇯🇴 Jordan)

Base ambazo zimepigwa namashambulizi but still ziko operational
Al Udeid Air Base (🇶🇦 Qatar)
Camp Buehring (🇰🇼 Kuwait)
Ali Al Salem Air Base (🇰🇼 Kuwait)

→ zilizopo 🇮🇶 Iraq
Al Asad Airbase
Erbil Air Base
Baghdad Diplomatic Support Center
Union III Base
Camp Taji

So si kweli kambi wanazotumia ni zanisrael, kwasaababu if that was the case, umbali mrefu sana, wasingewez akunattac constintely and on target kila mara
 
Ety Iran mnapeleka moto 😂

Haya mmeua kiongozi gn wa Israel kwenye huo moto wenu?
"Sisi hatutaki Kuua viongozi wa Israel, tunataka wawe mashahidi wa kile kinachoharibiwa nchini mwao. Tunataka waone Israel ikianguka ikiwa mikononi mwao kiasi cha kuwafanya wajisikie aibu na kisha kujinyonga wenyewe." 😀😀😁

Nimesikika mchambuzi WA masuala ya vita nikiwa Mazinyungu-Kilosa Morogoro.​
 
Mzee
Nyie jamaa ni zero brain wengi wenu ni watupu kabisa kihistoria.

Kama hujui Israel na Iran walikua ni Allies baada ya Mapinduzi ya 79 na vita vya Iraq na Iran Israel Alimsupport Iran.

At that time Adui mkubwa wa Israel alikua ni Baath Leaders kina Al Assad, SAdam Hussein, Yaser Arafat etc.

Israel ndio muanzilishi pia wa Hamas kupigana na Yaser Arafat at that time.

So unaropokwa Tu ujinga hapo, siku moja moja angalau someni history sio kujiaibisha Tu kila ukifungua mdomo.
Acha kutulisha futari iliyolala baada ya Mapinduzi ya Iran mwaka 79 Israel na Iran hawajawahi kua marafiki maana Iran alianzisha hezbolah mwaka 82 ili kutetea washia wa kusini mwa lebanoni walionyang'anywa ardhi na Israel

In 1982, Hezbollah was conceived by Muslim clerics and funded by Iran primarily to fight the Israeli invasion of Lebanon. The 1982 and the 1978 Israeli invasions had created a humanitarian crisis in Lebanon; many villages in the south had been destroyed and large numbers of Shias had been displaced from their homes.
Nyie jamaa ni zero brain wengi wenu ni watupu kabisa kihistoria.

Kama hujui Israel na Iran walikua ni Allies baada ya Mapinduzi ya 79 na vita vya Iraq na Iran Israel Alimsupport Iran.

At that time Adui mkubwa wa Israel alikua ni Baath Leaders kina Al Assad, SAdam Hussein, Yaser Arafat etc.

Israel ndio muanzilishi pia wa Hamas kupigana na Yaser Arafat at that time.

So unaropokwa Tu ujinga hapo, siku moja moja angalau someni history sio kujiaibisha Tu kila ukifungua mdomo.
Mzee acha kutulisha futari iliyolala baada ya Mapinduzi ya Iran mwaka 79 Israel na Iran hawajawahi kua marafiki mana Iran alianzisha hezbolah mwaka 82 ili kutetea washia wa kusini mwa lebanoni baada ya Israel kuvamia eneo hilo

Back
Top Bottom