City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la khoramabad
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la khoramabad
Hii nchi itabaki na Chawa💥💥💥💥
Mazishi ya All Larijan, Mortaza Larijan, Ata ollah sadeghi na vahid fatemi nejad
View attachment 3559514
It's different, hata nyumbani unaweza piga dawa ya mbu na sisimizi akafa Tofauti na kusambaza sumu wilaya ama Mkoa mzima ukaua kila kitu.kwani bomu la kawaida likipiga alipo sisimizi hadi au wenyewe linachafua huyu anakufa na huyu anabaki
Hili ndio shambulizi lililomuua waziri wa intelijensia wa Iran💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la zafaranieh kaskazini mwa Tehran
😀😀😀 Yaani demona ipigwe na kusiwe na mionzi hvi nyie pro Iran hua na shida ganiHii vita sasa naona imefikia mwisho, ila naona restrictions na censorship ya taarifa imekuwa kubwa hasa za damage upande wa U.S military assets na Israel.
Demona Nuclear power plant,Ben gurion Airport ni sawa na kuwa demolished, Israel hawezi kupokea Direct international flight inabidi atumie third parties
Wairan wa kawaida hawafaidikiIran inaenda kuwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe!
Napinga sana udhalimu wa utawala wa Iran ila pia siafiki hiki wanachokifanya Israel na Marekani.
Israel na Marekani wanaua watu huko Iran. Wanaharibu miundombinu. Wanavuruga kabisa maisha ya watu. Wameua watoto wa shule.
Hayo matendo yatawasaidiaje Wairan?
Mimi nahisi huu ushabiki wa mambo ya vita utakuja kukuua .. ina maana wewe Qumalamamaiako unaamini Netanyau amekufa pamoja na evidence nyingi kuonekana mpaka Al Jazira kuweka hotuba yake akitangaza kifo cha Ali Larijani ?Ndio mjue Netanyahu kakufaaaaa!!