Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Vivaa vivaaa twangaaa wacha mvua inyeshe tuone panapovuja

huu mwaka 2026 tunaenda kuoa bureeee Vibint vya kizayuni 🧚‍♀️🏃‍♀️👯‍♀️

Echolima1 jiandae kunita SHEMEJI

Vibint uwaga kwetu havina zambi

Vitatuzalia upya kina Muhamed Dief nk.
Kobaz mnatamba ehh
 
Pro-Iran ni watu wajinga sana! So far sioni kitu cha maana Iran wameachive! Zaidi ya kubomoa vijengo hapo Middle East na sehemu za Israel!! Kwao viongozi wanateketea kila siku,kambi za kijeshi kwisha habari yake,navy kwisha habar yake,viwanja vya ndege kwisha habar,refinery muhimu kwisha habar,viwanja vya drones na missiles kwisha habari!! Kilichobak ni kurusha vikombora kutoka 100+ kwa siku mpaka 5??? The beginning of an end.
 
Pro-Iran ni watu wajinga sana! So far sioni kitu cha maana Iran wameachive! Zaidi ya kubomoa vijengo hapo Middle East na sehemu za Israel!! Kwao viongozi wanateketea kila siku,kambi za kijeshi kwisha habari yake,navy kwisha habar yake,viwanja vya ndege kwisha habar,refinery muhimu kwisha habar,viwanja vya drones na missiles kwisha habari!! Kilichobak ni kurusha vikombora kutoka 100+ kwa siku mpaka 5??? The beginning of an end.
Kama hayo yote ni kweli, kwa nini sasa Bibi anaomba msaada?

IMG_9478.jpeg
 
Nadhani una miss strategy vs maendeleo ya kijeshi.
Ukraine faces with the same issue walipokua wakitumia strategy na vifaa vya mmarekani, havikuwasaidia until walitengeneza solution zao (drones ambazo zina hunt shahed), na wamefanikiwa kiasi kwamba us want to copy them

So ishu ni strategy, us hakujiandaa against low cost low flying object kama hizo.

Yes wana latest systems in the world lakin strategic wise hawakuwa wemefikiria.

This is why ukraine anaonekana muhim maana alishakuja na solution
Sasa huoni comment yako inaprove point yangu?

Asymmetric warfare anayofanya Iran imechange Dunia nzima, including wao Ukraine, na Ukraine kubadili strategy Ku opt cheap warfare kunaonesha ni kweli Iran amebadili vita vinapigwana vipi Duniani, Ndege Meli, snipers, mabomu ya Ardhini na strategy kibao za zamani zinapitwa na wakati, missiles, Drones as cheap as possible zinashika Kasi,

Leo hii kuna Makabila huko Iraq, vijijini kabisa hata ushamba haujatoka vizuri now wanavamia kambi za USA na kuzitandika na kuondoka,
 
Iran kushambulia Dimona kitaalamu ni ujumbe katuma kuwa..
Ana makombora yenye uwezo kuliko wapinzani wanavyodhani.
Kwa sababu Amepiga eneo lililokaribu zaidi na kituo Cha nyuklia Cha Israel eneo ambalo Lina ulinzi mkubwa kuliko, Tafsiri yake anawaambia mazayuni kuwa hamko salama makombora yangu Yanaweza piga high-value targets ikiwemo vituo Vya nyuklia.
Kwahiyo amewapa message mbili kwa mara Moja...
Nina makombora yenye uwezo wa kupiga kwa usahihi maeneo nyeti na uwezo wenu wa kulinda anga hautaweza zuia makombora hayo.
Yaani kawaonyesha kuwa anga lenu halipo salama kabisa.
Taarifa za nini nae kama anapiga apige tu
 
Sio walizingua yule raisi walikuwa hawamtaki maisha walikuwa choka mbaya saivi afadhali, ni sawa akienda ivamia Cuba ambayo saivi hata umeme ni tatizo unahisi atatumia nguvu kubwa!!

Cuba sio poa ndugu ni Wazalendo kinoma chunguza kitu ichi uwelewe Je

Kuna Maandamano kuusu umeme !!?

wanajua Tatizo ni Marekani kuzuiya mafuta !!!

na Tatizo lengine Iranian ingepeleka wese lkn nayeye kabanwa na hii Vita.

Lkn wananchi wa Cuba wapo kimyaaa. Zaidi ya 1 Week sasa✍️

Kama ingekuwa kwengine sasaivi watu wanachoma Majengo ya Serikali
 
Kuna wakati Makafiri wanakiwasha, na Kuna wakati Kobazi wanachafukwa wanawasha Moto.

Tofauti ni kwamba, kobaz hawatoi sana milio hata wakifinywa, Ila makafiri yanatoa milio sana sana na mauongo uongo kibao. Utasikia wamejeruhiwa watu wawilli tu.
😄😄😁😁
 
Back
Top Bottom