Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Inawezekana sababu ya msingi ya vita isiwe mafuta au madini muhimu ila ni hofu ya Israel dhidi ya supremacy ya Iran kwenye Tech, elimu, jeshi, utamaduni, n.k pale middle east. Pamoja na kwamba tunaaminishwa dunia yote inaendeshwa na teknolojia ya myuhudi ila ushahidi wa mipango na silaha za kivita unaonyesha Iran yuko mbele ya Israel kimaarifa.
Saana🔨
 
Midude itakuwa imesokomezwa milimani sasa ili uifyeke yote inabidi usawazishe hiyo milima kitu AMBACHO ni gharama.

Unakumbuka siku marekani anajinasibu kupiga ilipo nuclear facility, ilibidi atumie ndege zake mbazo sio mara kwa mara hutumia only kubeba bunkerbuster? Plus vikao vizito

Sasa uvivu unaanzia hapo.

T14 Armata njoo mtaalamu utupatie elimu juu ya hili swala
View attachment 3561471
Iran ilijipanga miaka zaidi ya 20 kwa vita hii. Ilijua kuwa launching sites za makombora zitapigwa hivyo ikatengeneza hardened bunkers zenye njia kama mbili au tatu za kuingia na kutoka. Pia hizo zina vifaa kama bulldozers humo ndani kwa ajili ya kuondoa vifusi endapo zitashambuliwa. Zimejengwa kwenye miamba na milima, Iran ina milima mingi sana. Kupiga hizo hardened bunkers ni mpaka bunker busters ambazo hazibebwi hovyo na kila ndege.

Pia Iran wana mobile launchers nyingi, walikuwa wanakadiriwa wanazo kama 400+ hivi ila idadi kuna uwezekano mkubwa ilikuwa underestimated. Kwahiyo launchers kadhaa hata kama ni nusu ya zilizokuwepo zilipoharibiwa bado uwezo wa kurusha makombora upo. Na launcher moja inaweza rusha makombora hata 20 huko kila siku itumike mara moja moja kabla haijahitajika kufanya maintenance kubwa.

Sasa hizo launchers kama haina kombora unaweza iona kama semi truck, hivyo kutofautisha ni ngumu. Ikibeba kombora inatoka mafichoni na kufyatua na kurudi haraka. Ili uipige inabidi ufanye timing ya ndani ya 30 mins, kama ni liquid fueled itatumia muda mwingi ila kama ni solid fueled hata 15 mins inafanya kila kitu. Sasa ukubwa wa Iran ulivyo kama launcher ipo katikati ya nchi ni vigumu sana.

Badala yake Israel na US zinajua baadhi ya missile bases, zina drones na satellites ikitokea launcher imetoka mafichoni zinafuatwa na jet iliyo karibu kabisa. Muda finyu mno.

Iran hata ikirusha kombora moja tu kwa siku likapenya, basi inakuwa breaking news. Wao hata wapigwe mabomu 20 kila siku hakuna headlines. Ukitazama kwa wiki inayoishia leo unaweza kuta ni makombora chini ya 10 yameipiga Israel. Ila kila siku ya Mungu Israel inarusha ndege hata 20 anga la Iran zikiwa zimebeba mabomu kushambulia. Na Israel haijaanza kutumia ballistic missiles.
 
Ndio maana Israeli inafeli pakubwa. Hamasi bado wapo, Hezbollah bado wapo na Irani wataendelea kuwepo. Kuuwa viongozi imeonekana sio suluhisho la migogolo kwani viongozi wapya na hatari zaidi hichukua nafasi
Hezbollah iko inafanya nini, Hamas iko inafanya nini. Israel haijawahi wapiga ili wasiwepo. Wewe endelea kuwepo, ila utafanya nini ndio point.

Warushe makombora kama walivyokuwa wanafanya.
 
Duh!

Kazi ya Iran hii 😂.

View attachment 3561474
Impact yake nini hizo apartment ambazo zinaweza kufanyiwa maintenance Kwa gharama ndogo kulinganisha na gharama za makombora

Je hizo ni site za jeshi?

Israel anashambulia target muhimu Iran anashambulia holela TU Cha misingi Arushe TU

Pro Iran hamna tofauti na Ayatollah Khomeini maneno mengi
 
Impact yake nini hizo apartment ambazo zinaweza kufanyiwa maintenance Kwa gharama ndogo kulinganisha na gharama za makombora

Je hizo ni site za jeshi?

Israel anashambulia target muhimu Iran anashambulia holela TU Cha misingi Arushe TU

Pro Iran hamna tofauti na Ayatollah Khomeini maneno mengi
Kiazi wewe unampangia adui yako mbinu?
 
Hezbollah iko inafanya nini, Hamas iko inafanya nini. Israel haijawahi wapiga ili wasiwepo. Wewe endelea kuwepo, ila utafanya nini ndio point.

Warushe makombora kama walivyokuwa wanafanya.
Mkuu uko wapo hizbollah ilipoua 30+ IDF personnel Israel Kaskazini??
Hadi hivi sasa Hizbollah inapeleka moto Galilaya kiasi kuna internal displacement.
Na makamanda waandamizi SABA wameuawa na Hizbollah.
Yule mtoto wa waziri wa fedha amejeruhiwa na hizbollah kwa cross fire.
 
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora kambi ya jeshi la anga doushan tappe . mashariki mwa Tehran
 
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la Isfahan
20260322_202228.jpg
 
Mkuu uko wapo hizbollah ilipoua 30+ IDF personnel Israel Kaskazini??
Hadi hivi sasa Hizbollah inapeleka moto Galilaya kiasi kuna internal displacement.
Na makamanda waandamizi SABA wameuawa na Hizbollah.
Yule mtoto wa waziri wa fedha amejeruhiwa na hizbollah kwa cross fire.
Taja hao makamanda waandamizi saba wa Israel waliouwawa na Hezbollah, nikutajie makamanda wote wa juu wa Hezbollah waliouwawa na Israel tangu ile October. Kwa sasa Hezbollah haina kamanda aliyepo madarakani kwa miaka miwili, wote ni wapya na wanazidi kuuwawa.
 
Kuuwawa kwa viongozi wa nchi ni hasara kubwa mno huwezi fananisha na kuuwa viongozi wa wanamgambo. Kinachouma viongozi wa wapinzani wako wapo wanadunda tu. Hii inaleta aibu kubwa sana kwa taifa. Hata raia wanajiona kabisa hawako safe ikiwa adui ataamua kuwalenga.
Lengo lao kubwa ni kuendelea kuwepo kama dola Huru.
Hata wakiumia, hawakubali kuanguka kirahisi.

hata wakipoteza viongozi, Wanachukulia kama sadaka ya vita na Wanaongeza morali badala ya kushuka.
 
Back
Top Bottom