Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Iran inamiliki anga la Israel kwa 98% na anga la mashariki ya kati yote kwa 82%

Iran inawaambia marekani na Israel wachague sehemu ya kupiga nchini kwake kisha yeye alipize kwa kupiga sehemu anayotaka bila kukosea ndani ya mashariki ya kati hasa Israel

Hadi raha yani
 
Midude itakuwa imesokomezwa milimani sasa ili uifyeke yote inabidi usawazishe hiyo milima kitu AMBACHO ni gharama.

Unakumbuka siku marekani anajinasibu kupiga ilipo nuclear facility, ilibidi atumie ndege zake mbazo sio mara kwa mara hutumia only kubeba bunkerbuster? Plus vikao vizito

Sasa uvivu unaanzia hapo.

T14 Armata njoo mtaalamu utupatie elimu juu ya hili swala
View attachment 3561471
Iran Ina faida milima ya Zagros and Alborz yenye Kilele Cha MITA 4000-5000 kwenda juu, then kwenye hiyo milima underground ndiyo wameweka bunker weapons ambayo inasemekana Mita 300 kwenda chini kitu ambacho hata nuclear ikipigwa haiwezi fikia hiyo bunker
 
Sahihi pia Iran ina advantage kijiografia ni mountainous rugged landscape

Marekani akithubutu tu kudeploy boots on the ground kushambulia Iran, mamaé atakula kichapo cha mbwa mwizi
 
Ndugu mnakumbuka jana niliwaambia Israel kupiga Nuclear ya Natanz ilikuwa mchongo umeshasukwa UN ❗️

walijua tu Iran itajibu kupiga facility za Dimona !!!

Kwao ndio Sababu ya kusimamisha Vita Kisheria kupitia chocho za UN!!!

Jumatatu au j4 ngoma itakuwa UN.

MAREKANI na Israel na Washirika wao washajipanga UN.

Hii UN. ipo kimipangoyao tu!!

moja wapo kuilinda Israel!

Vita wameshindwa sasa wanakimbilia UN.

nimekaaa pale na mwajuma wangu.. 🤠🤠🤠🤠🤠
Iran inayajua nje ndani haitakubali kuyapumzisha... Inataka ipeleke moto hadi yakimbie na bikini zao mikononi
 
Mwakinyo kama huyu mtoto kakung'oa meno hivi na macho hayaoni, hakiamungu ungepigana na mimi ningekutenganisha kichwa na kiwiliwili!😬

Voice of Xi Jinping
PLA wako Central Military Commission hii ni joint operation command center wanaicheki vita vya Iran huku wakikazia kwa uangalifu weaknesses za Mmarekani
 
Patamu hapo!! Na saivi air defense inaonekana hamna kitu mbele missile za Iran
Sio Iron Dome, Patriot wala THAAD yenye ubavu wa kuzuia missiles za Mwajemi kulenga targets zake iwe ni Israel, au nchi yoyote ukanda wa GCC

Kamanda wa IRGC anakwambia Iran bado wanatumia stock ya zamani ya missiles zao, hawajagusa mzigo wa modern missiles zenye sophstiscated tech

Safari hii Marekani kadandia mtumbwi wa vibwengo
 
Pro-Iran ni watu wajinga sana! So far sioni kitu cha maana Iran wameachive! Zaidi ya kubomoa vijengo hapo Middle East na sehemu za Israel!! Kwao viongozi wanateketea kila siku,kambi za kijeshi kwisha habari yake,navy kwisha habar yake,viwanja vya ndege kwisha habar,refinery muhimu kwisha habar,viwanja vya drones na missiles kwisha habari!! Kilichobak ni kurusha vikombora kutoka 100+ kwa siku mpaka 5??? The beginning of an end.

Kambi za jeshi kwisha habari
Halafu mwisho unasema wanarusha vikombora!!
Hivo vikombora wanarusha kina nani?
Mambo mengine hayahitaji hata sample za damu au stool au urine kupima Afya ya akili ya mtu namna tu anavoandika unajua yuko katika hali gani.
 
💥💥💥💥
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la kaskazini mashariki mwa Tehran. Milipuko mikubwa sana
 
Back
Top Bottom