Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

The ballistic missile Iran fired toward northern Israel a few minutes ago landed inside Lebanese territory, according to military assessments.
IRGC hawana command and control
 
Trump kampiga biti muajemi ndani ya masaa 48 asipofungua mfereji wa hormoz watashambulia vituo vya umeme. Inasemekana Iran anavituo vya umeme 400. Kati ya hivi vikubwa ni 5. Lakini hivi vitano vinachangia umeme kwa 3% tu nchi nzima.
Wakati huo inasemekana Israel anavyo vikunwa vitano tu ambavyo kama Iran warajibu kwa kuvishambulia madhara upande Wa Israel ni makubwa na ya haraka zaidi.

Tuombe amani hwa jamaa wamebondana vya kutosha sasa tuendelee na mambo mengine
Hapo ndio wa Irani waliokuwa wanasapoti hii vita watajua mzungu na myahudi ni washenzi na wako kwa maslahi yao tu kuivuruga Iran kama nchi ili isiendelee
Umeme sio wa Ayatillah ni wa nchi nzima, kwa hiyo watajua wayahudi na wazungu walikuwa wana malengo gani kwa wa irani na sio kwa ayatollah
 
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la farvardin. Milipuko mikubwa sana
Screenshot_20260323-032509_1.jpg
 
Back
Top Bottom