City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
💥💥💥💥
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la Qeshm
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la Qeshm
Bandar abbas sio eneo dogo, maeneo yanayozunguka bandar abbas kuna targets nyingi. Sawa na unaposkia karibu kila siku Iran imeshanbulia katikati wa Israel, haimaanishi kuwa katikati ya Israel yote imekwisha.Hii wanashambulia hapa kila siku au makombora yanauwezo mdogo wa kuleta madhara. Maana hii ni karibu mara ya kumi wanashambulia hapohapo
Ayatollah alivyoambiwa akajifiche kwenye bunker aliwajibu Jeshi lake kama mnataka Mimi nikae kwenye bunker basi hakikisheni Raia wote milioni 90 wapo kwenye bunker na Mimi nitaenda, siwezi kujificha Hali ya kuwa Raia wangu wanauliwa.Naomba niulize swali kwa wanaojua masuala ya kivita na intelijensia. Kama marekani na israel wana uwezo wa kuwafuatilia viongozi wa juu wa Iran na kuwamaliza kirahisi tu, inakuaje israel na marekani wasijue zilipo launching site/storage facilities za haya makombora wakashambulia ili kuwapunguza nguvu Iran?
Hawa wazungu ni kiboko mpaka wazungu wenzao wanawaogopa , wahuni harafu Wana roho ngumu sanaHao ni Slavs, wagumu kama watu weusi,
Mbona huyu mpya yupo kwa bunkerAyatollah alivyoambiwa akajifiche kwenye bunker aliwajibu Jeshi lake kama mnataka Mimi nikae kwenye bunker basi hakikisheni Raia wote milioni 90 wapo kwenye bunker na Mimi nitaenda, siwezi kujificha Hali ya kuwa Raia wangu wanauliwa.
Viongozi wengi wa Iran Wana mentality hio, hawa wote waliuliwa juzi wamekufa majumbani mwao, nothing impressive kwamba sijui kulikua na udukuaji mkali,
Iran ana milima mikali ambayo hakuna bomu linaweza fika huko, just imagine wanajiamini kiasi gani Hadi wamempeleka mwandishi wa habari wa CNN huko chini ya Ardhi kwenye missile city zao. So MTU akitaka kujificha huko hakuna kitu kitamgusa.
Ukitaka kuelewa ni ngumu kiasi gani fikiria mlima Kilimanjaro hapa Tanzania Una Mita kama 5800 sasa upunguze kidogo kama Mita 200 Hadi 1200 unapata Safu za milima ya Iran, unatifua vipi mlima kama Kilimanjaro wenye Mita Hadi 5600 upige hio miji ya silaha?
Mfano wa alborz mountain range
View attachment 3561527
Ndio maana unaona Israel na USA wapo busy kupiga Tehran wanajua hio milima hawaiwezi, wamebeti Tu Kutokee mpasuko ndani ya Iran.
Kila MTU na uongozi wake, huyu wa sasa by profession ni mwanajeshi, ukiangalia kichapo wanachotoa Iran unaona systematic Wana kiongozi wa Aina gani, from defensive position mpaka sasa wao ndio wapo kwenye offensive,Mbona huyu mpya yupo kwa bunker
😅😅😅Mossad imeingizwa chaka inauwa vizee tu.🤠🤠
IRAN ilgundua njia nzuri ya kupambana na Mossad waliojiwekeza sana ndani ya Iran🤠
dawa yao ni kupeana vyeo Wazee
Walio tayari kufa Shahid na ni wastaafu
Malengo yaliyotarajiwa na Marekani katika vita hivi:View attachment 3561539
Mafanikio ya Epstein coalition so far.
😁😁😁 akili za trump haikufaa hata kua mjumbe wa nzega💥💥💥💥
Trump: Iran imekua hovyo kwa miaka 47 na sasa inapata adhabu inayowastahili