Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Bush asingepigana kabisa, kitu cha Kwanza wakati bush anaingia Iraq alimpa Ayatollah Sistani dola milioni 100, akamuomba Shia wasiingilie, Shia wakakaa Kando, Pale Iran Shia ndio majority so ikawa Rahisi kumpiga kibaraka wao SAdam, alifanya vite viwe ni vya SAdam sio vya kidini.

Hili kubwa jinga Trump kitu cha Kwanza ni kuifanya hii vita iwe ya kidini, Hapo Iraq USA kapigwa Tu na Makabila na vikundi vidogo vya kishia, efforts zao za miaka 20 zimemalizwa ndani ya wiki, walichofanya watangulizi wake wote yeye kaharibu. Sasa hivi Shia wote ni kitu kimoja everywhere Waisrael na USA wanapigwa kote kwa hard power na soft power. Hadi Ulaya sasa hivi kuna vikundi kibao vimezuka from no where vinachoma Moto Mali za wayahudi.
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Assassination operation imefanyika katika moja ya jengo eneo la bahari urmia
View attachment 3561812
No β€” this specific image is not from Iran.
It’s actually a stock photo taken in Toronto, Canada, showing a damaged high-rise building facade. οΏ½
Unsplash
Why it might be confusing
The damage (broken windows, hanging materials) looks similar to buildings in war or disaster zones.
Recently, there have been real images of damaged buildings in Tehran due to conflict, which look somewhat similar. οΏ½
Xinhua News
But many such dramatic images online are stock or unrelated photos reused out of context.
Conclusion
❌ Not Iran
βœ… Taken in Canada (Toronto)
Likely being shared online with a misleading caption
 
MTU yoyote anaetumia Iran international ni takataka Tu, hio source KAZI yao asubuhi Hadi jioni ni kufabricate habari za uongo na propaganda.
 
Kwa sasa marekani ikiingia vitani na uchina itakua ni sawa mbuzi kukimbilia kwenye machinjio ya muuza supu.

Mashoga watapinga hili japo lipo wazi kama nyeti za mbwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…