Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la Qasr e al dasht Tehran. Milipuko mikubwa sana
 
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la reza ken. Milipuko mikubwa sana
 
4 launches today from Islamic regime, one landed in Lebanon, the rest were intercepted.

Let’s see if this dwindling pattern continues.

Soon tutaanza kula pisi za Iran
 
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la magharibi mwa Tehran
 
Back
Top Bottom