Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Iran Kwa hiki alicho Kifanya
Anahitaji Pongezi nyingi
Kaionyesha Dunia Usikubari Kuonewa Onewa Tu hovyo
The New York Times:

"The United States lost its war with Iran from the very beginning, and the Mossad's plans collapsed.

And the Iranian people, who it was said would turn against the regime, united with one another. They are now fighting with valor and courage."

Meltem TV Afaan Turkii

View: https://x.com/i/status/2036274053271392504
 
Kobaz mnatamba ehh
 
Attachments

  • 4c6ib481fabf1e2ji91_800C450.jpg
    4c6ib481fabf1e2ji91_800C450.jpg
    73.6 KB · Views: 12
  • 20250613_211254.jpg
    20250613_211254.jpg
    154.3 KB · Views: 13
Nafikiri kwenye haya mazungumzo watakuwa wanamaanisha!!!!!!!!!!!

Tujifunze kuwa na msimamo hata kama una njaa!!!!!!!Namaanisha, tuangalie maslahi mapana na siyo furaha ya leo!!!!!!!!

​

Direct US-Iran talks could be held in Islamabad this week - report​

Direct talks aimed at ending the war could be held in Islamabad as soon as this week, a Pakistani official and a second source have told Reuters news agency.

Propaganda hizo leo Haifa na uwanja wa ndege wa Ben Gurion zimepigwa, kambi zilizo bakia za US huko Kuwaiti,UAE na Saudi zimebondwa. Hamna mazungumzo yoyote.Iran jana walitangaza hawajafanya mazungumzo na US, wao bado wanaendelea na kile walicho kianzisha US na Myahudi.

View: https://m.youtube.com/watch?v=EI3n28IcvFY&pp=ugUEEgJlbg%3D%3D

View: https://m.youtube.com/watch?v=KlkVIV2p1SI&pp=ygURVmVuIEd1cmlvbiBib21iZWQ%3D
Hii ni attempts nyinge iliyo lenga bunge la Myahudi.

View: https://m.youtube.com/watch?v=RmzUN-OmLhA
 
Propaganda hizo leo Haifa na uwanja wa ndege wa Ben Gurion zimepigwa, kambi zilizo bakia za UD huko Kuwaiti,UAE na Saudi zimebondwa. Hamna mazungumzo yoyote.Iran jana walitangaza hawajafanya mazungumzo na US, wao bado wanaendelea na kile walicho kianzisha US na Myahudi.
Wizara ya mambo ya nje ya Iran imethibitisha kuwa Trump ameomba maridhiano kupitia nchi washirika ikiwemo OMAN.
 
Mijitu miovu km Trump na Netanyahu !!

sioni kwann Iranian inataka kuwapa punzi mpya!!!!

inasikitisha Ukweli!!!!

ingekuwa Trump au Netanyahu ndio wanashinda kamwe wasingetaka Kuzungumza zaidi waingeiyangamiza Iranian kabisa!!

sasa wamedhidiwa kina Trump wapo tayali kutoa pesa nyingi kimyakimya kuiyokoa Israel 🤠🤠

Iranian ikienda kwenye Mazungumzo niwazi watakuja kulipia garama kubwa uko siku za mbele!!!!

Waisrael watatafuta njia kwamiaka 3 au zaidi watakuja tena Kivita kuiteketeza Iranian. Majuta juu yao Iranian uko siku za mbele. !!!!

Iranian Mshaweza na mnaweza kuwafukuza Marekani na kuitwaa Ardhi ya Palestine!!!

chukueni vitegauchumi vyao Gulf States vitawalipa mipesa mingi zaidi kwa miaka 5 tu. Kama kweli watakaa mezani najua Vita vitakwisha!!!

Mabwanyenye wa Israel watakuwa washaweka Fuko 💰 la Pesa juu ya Meza🤠🤠
 
Back
Top Bottom