Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Wizara ya mambo ya nje ya Iran imethibitisha kuwa Trump ameomba maridhiano kupitia nchi washirika ikiwemo OMAN.

Ipo ivyo Lengo la Marekan kuinusuru Israel na Uchumi wake unaenda kuporomoka Vibaya tangu USA imeundwa!!!

Zayuni tayali wameweka pesa nyingi mezani !!!

Usaliti kwa Wa Palestine watakuja kuuulipia siku sio nyingi.

ISRAEL watawalipa wabobezi wa Russia kuzipitia Technology inayotumika na Iranian kwenye Makombora yake.

Walifanya ivyo pia ktk VITA ya siku12 kupitia Makombora ya Iran lkn inaonekana ISRAEL imewai kuanzisha vita ikitumaini Iranian ipo kwenye majerui kosa lilianzia hapo.

Lkn sasa ISRAEL wakifanikiwa kununua muda watajiandaa kikamilifu na kuchunguza Makombora ya Iranian kwa utulivu zaidi !!!

uko mbele kitawaka tena. Ndipo Wairani watajutia upya kuwapa muda.mashetani.
 
Ipo ivyo Lengo la Marekan kuinusuru Israel na Uchumi wake unaenda kuporomoka Vibaya tangu USA imeundwa!!!

Zayuni tayali wameweka pesa nyingi mezani !!!

Usaliti kwa Wa Palestine watakuja kuuulipia siku sio nyingi.

ISRAEL watawalipa wabobezi wa Russia kuzipitia Technology inayotumika na Iranian kwenye Makombora yake.

Walifanya ivyo pia ktk VITA ya siku12 kupitia Makombora ya Iran lkn inaonekana ISRAEL imewai kuanzisha vita ikitumaini Iranian ipo kwenye majerui kosa lilianzia hapo.

Lkn sasa ISRAEL wakifaniwa kununua muda watajiandaa kikamilifu na kuchunguza Makombora ya Iranian kwa utulivu zaidi !!!

Ili Israel iithibiti Iran inabidi ifanye yafuatayo

1. Itengeneze interceptors nyingi zisizopungua 100000
2. Iwekeze ktk Intelijensia ya kujua underground missiles ziko wapi, na itume mossad operatives ndani ya IRGC wapandikize vilipuzi
3. Itafute solution ya Cluster missiles.

Hata hivyo Iran ina kete ngumu bado za
1. Strait of Hormuz
2. Vulnerability ya nchi za Gulf

Hizi kete zitamfanya mmarekani amzuie Israel kuivamia tena Iran maana ni moyo wa uchumi wake

Ikiweza hilo, round ijayo ya mapambano
 
Mwelekeo ninaouona hapa, Iran itataka uhakika wa ulinzi kutoka Urusi na China ili iweze kuongea na Marekani.

Kwa kifupi watakaza wakisema, sisi kila tukiingia kwenye mazungumzo na Marekani anatuvizia tukiwa tunajadiliana kisha anatushambulia tena.
Pia inaonekana kete hii warusi na wachina ndicho wanachosubiria Iran idai.

Bila dhamana za ulinzi Iran itakataa kuja kwenye majadiliano kitu ambacho kinaiumiza sana kambi ya magharibi, hivyo Iran itataka hiki kitu na Marekani itabidi wakubali sababu wanatafuta uchochoro wa kutoka kwenye huu mkwamo
 
Kichapo alichokitoa iran naona hakitoshi. Bado sijafurahishwa . Iran inatakiwa kabla ya kufikiwa makubariano, watoe kichapo cha mbwa koko kwa Israeli ili akili iwakae vizuri. Kuhusu ilo la kuhofia iran inatoa nafasi ya Israel kwenda kujipanga tena
Wala halina mshiko kwani hata sasahivi walikuwa wamejipanga vya kutosha na kujiamini sana baada ya kuomba poo mara ya kwanza ili wajipange lakini wameishia kuomba poo tena🤣🤣🤣

Wao wakijipanga, irani nao wanajipanga na ninawaaminia sana iran kwa akili walizonazo na kujua kusoma mchezo vizuri
 
Wakati Iran ameshambuliwa tarehe 28 february alijibu kwa kuanza kupiga base za kijeshi za marekani zilizopo Middle east.
Yaani hii kete imempa ushindi mkubwa Iran hapa alimshika pabaya U.S
Maana inakadiriwa takribani U.S dollar 800 million zilipotea kwa uharibifu aliofanya Iran kwa U.S ndani ya wiki mbili tu za vita.
Kete nyingine ngumu ni hii ya strait of Hormuz, Yaani U.S Kashaona hawezi fanya chochote pale.
Lakini Kuna jambo Moja ambalo Trump linamsumbua kwa sasa Kuna upinzani mkubwa anaupata ndani ya U.S kuhusu vita dhidi ya Iran...
Viongozi wengi wa kisisiasa na wastaafu wakijeshi wanamkosoa sana juzi nimeona Al Jazeera wanasema ukosoaji umeongezeka sana kwa Trump.

Jambo ambalo Bado linautata kwa sasa ni hili la Mazungumzo, Marekani anadai mazungumzo yanaendelea huku Iran kakanusha hakuna mazungumzo..Tutajua tu , Ngoja tuendelee kusubiri.
 
Kichapo alichokitoa iran naona hakitoshi. Bado sijafurahishwa . Iran inatakiwa kabla ya kufikiwa makubariano, watoe kichapo cha mbwa koko kwa Israeli ili akili iwakae vizuri. Kuhusu ilo la kuhofia iran inatoa nafasi ya Israel kwenda kujipanga tena
Wala halina mshiko kwani hata sasahivi walikuwa wamejipanga vya kutosha na kujiamini sana baada ya kuomba poo mara ya kwanza ili wajipange lakini wameishia kuomba poo tena🤣🤣🤣

Wao wakijipanga, irani nao wanajipanga na ninawaaminia sana iran kwa akili walizonazo na kujua kusoma mchezo vizuri
Iran anapiga mbona Tena sana tu.
Usiku wa kuamkia Leo kapiga Jerusalem, kawatembelea Tena Kuwait - mashambulizi ya Kuwait yamesababisha hadi umeme kukatika, Haifa imepapaswa Tena.
Ujue mwanzoni nilidhani ile habari ya Israel kuwa na censorship ya habari ni propaganda tu..
Ila aisee Kuna zuio kubwa la habari ndani ya Israel ukiona haya tunayobahatika kuyaona jua ni mara 3 au 4 ya uhalisia ulivyo.
Hili Al Jazeera wamethibitisha mbona Ile habari nilisahau kuleta humu hata baadhi ya waandishi wa Israel wamesema wazi kuwa " Hatuko huru kutoa habari za madhara na uharibifu wa unaofanywa na Iran ndani ya Israel"
 
Umenukuu vibaya, kuna mazungumzo yanatarajiwa kufanyika huko Pakistan.Msimamo wangu ni kuwa kwenye haya mazungumzo USA atakuwa serious zaidi kuliko wakati wowote.

Hapo nyuma alikuwa anayatumia kama kubuy time,kwa kilichotokea hana tena kete coz anatafuta namna ya kujitoa.
Iran mpaka sasa hawaja confirm hiko ndio maana wanaendelea na mashambulizi na jana wameongea na kusisitiza.

Lisaa limoja lilopita Iran karusha bomu jingine Tel Aviv Source Aljazeera.Hizo issue za mazungumzo ni Propaganda.
 
Iran anapiga mbona Tena sana tu.
Usiku wa kuamkia Leo kapiga Jerusalem, kawatembelea Tena Kuwait - mashambulizi ya Kuwait yamesababisha hadi umeme kukatika, Haifa imepapaswa Tena.
Ujue mwanzoni nilidhani ile habari ya Israel kuwa na censorship ya habari ni propaganda tu..
Ila aisee Kuna zuio kubwa la habari ndani ya Israel ukiona haya tunayobahatika kuyaona jua ni mara 3 au 4 ya uhalisia ulivyo.
Hili Al Jazeera wamethibitisha mbona Ile habari nilisahau kuleta humu hata baadhi ya waandishi wa Israel wamesema wazi kuwa " Hatuko huru kutoa habari za madhara na uharibifu wa unaofanywa na Iran ndani ya Israel"
Hii asubuhi kuna mashambulizi makubwa yanaendelea Tel Aviv, usiku pia Hezbollah kafanya yake watu wengi wanaamini propaganda za Trump kwamba kuna ceasefire, Base ya Victoria Iraq imekuwa completely evacuated.
 
Je unajua Jana ni moja ya siku Iran imerusha Drone na Makombora machache sana Tangu vita ianze
 
Ipo ivyo Lengo la Marekan kuinusuru Israel na Uchumi wake unaenda kuporomoka Vibaya tangu USA imeundwa!!!

Zayuni tayali wameweka pesa nyingi mezani !!!

Usaliti kwa Wa Palestine watakuja kuuulipia siku sio nyingi.

ISRAEL watawalipa wabobezi wa Russia kuzipitia Technology inayotumika na Iranian kwenye Makombora yake.

Walifanya ivyo pia ktk VITA ya siku12 kupitia Makombora ya Iran lkn inaonekana ISRAEL imewai kuanzisha vita ikitumaini Iranian ipo kwenye majerui kosa lilianzia hapo.

Lkn sasa ISRAEL wakifaniwa kununua muda watajiandaa kikamilifu na kuchunguza Makombora ya Iranian kwa utulivu zaidi !!!

uko mbele kitawaka tena. Ndipo Wairani watajutia upya kuwapa muda.mashetani.
Upo sahihi sasahivi wameelemewa hawatakiwi kupewa muda wa kujipanga
 
Back
Top Bottom