Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Twende Kazi
Mungu ibariki Iran
🚨 BREAKING:

Russian Defense Minister:

"Yes, what we are saying is true: Iran possesses offensive missile systems that the United States does not have. There are highly advanced missiles that have not yet been used. Iran has a stockpile capable of destroying the entire Middle East, not just Israel.

We call on the United States and Israel to immediately stop the war and declare the failure of the military operation against Iran. Otherwise, the losses and damage will be a surprise. That is all."
😀
 
No — this specific image is not from Iran.
It’s actually a stock photo taken in Toronto, Canada, showing a damaged high-rise building facade. �
Unsplash
Why it might be confusing
The damage (broken windows, hanging materials) looks similar to buildings in war or disaster zones.
Recently, there have been real images of damaged buildings in Tehran due to conflict, which look somewhat similar. �
Xinhua News
But many such dramatic images online are stock or unrelated photos reused out of context.
Conclusion
❌ Not Iran
✅ Taken in Canada (Toronto)
Likely being shared online with a misleading caption
😄😄
 
Hivi kuna mtu alitarajia siku moja dunia yote itakombolewa na Iran yenye vikwazo lukuki kwa miaka kibao dhidi ya utawala dhalimu wa AMERIKA? DJ, naomba uweke wimbo wa mbaraka mwinshehe tafadhali!
😀😀😄 Huwenda hata huko zamani walikuwa wanapigwa but walikuwa wanaficha kwaajili ya technology kuwa haija development kama Sasa

Imagine hii vita ingekuwa ni ya ya miaka ya 90 na yake matamko ya trump na netanyahu jinsi yalivyo Dunia nzima tungeamini kuwa Iran imeshapoteza pambano,

Maana wange kuwa wana tutangazia kile ambacho wao ndio wanaokitaka

Kama ilivyokuwa kwenye corona ugonjwa wa propaganda ule kmmk , Waliweka daily Nchi zibapaswa kutangaza visa vya maambukizi Kwa waathirika hiyo Hali ilichangia sana kuwafanya binaadamu waishi Kwa hofu Na wengine wengi walikufa sababu ya hofu magufuli alivyogundua huo mchongo akipa stop hakuna kutangaza visa vya maambukizi na hapo ndio watanzania tulipo salimika , propaganda ni kitu kibaya sana kmmk

Kwanza walianza Kwa kuwalipa influencers pesa ili wajitangaze kwamba ni waathirika ili tatizo kiwe viral na lionekane kuwa ni tishio wabepari ni watu wabaya sana pumbavu zao ,
 
Jamaa hawaishiwi?? Usione mzee anaomba mazungumzo,inawezekana kuna kitu wamegundua!!!!

​

Iran sends waves of missiles into Israel, dismisses Trump's talk of negotiations as 'fake news'​

March 24, 20267:32 AM

Kwa Hali ilivyo kwa sasa sioni kama Kuna makubaliono ya kusitisha vita Yanaweza fikiwa na kama yatafikiwa Yatakuwa ni ya muda mfupi (short -term De-escalation)
Kwahiyo uwezekano wa vita kutanuka zaidi ni mkubwa kuliko vita kusimama au kupungua. Sababu za kitaalamu ni ..👇👇

1.Kushambuliana maeneo ya nyuklia.

Kitendo Cha Israel kushambulia kituo Cha nyuklia Cha Iran(Natanz) na Iran kujibu kwa kupiga Dimona inaashiria vita vimefika hatua ya "Strategic escalation" kwakuwa maeneo ya nyuklia ni red line hizo ni vital national security assert.
Kwahiyo kuvuka huo mstari kijeshi ni kuwa mataifa yote yapo tayari kwa lolote.

2.Kushindwa kwa ulinzi wa anga wa Israel (Air defense saturation and system failure).
Sasa hili ndio balaa yale mashambulizi ya Dimona na Arid yalionyesha kuwa anga la Israel ni chujio hapa kitaalamu Iran amepata moto kuwa Hawa jamaa naweza watandika ninavyotaka wakati huohuo Israel anataka kufanya mashambulizi ya juu zaidi kulipa kisasi sasa Kunakuwa na mgongano hapo, Huu mgongano ndio unao leta Rapid escalation- Yale maneno ya Trump niyakupuuzwa hapa Kuna hatari nyingine Kuna namna Israel ataanza kupishana na U.S

3.Full spectrum Retaliation Threat - Iran kutishia kulipiza kisasi kwa kanda nzima.

Hii pekee inaonesha Iran Hana mpango wa kusimamisha vita maana kaweka wazi nikipigwa naenda kupiga uwekezaji wa adui hapo middle east, Hii hatari yake ni Nini...?
Hatari yake nikuwa inajenga escalation cycle isiyozuilika yaani ukinipiga nitalipa kisasi.
Sasa Kama Iran katishia washirika wa marekani maana yake anataka mgogoro uwe Mpana zaidi na kadri escalation inavyoongezeka ndio kunapunguza udhibiti kwenye hii vita.

4.Kifo Cha Ayatollah

Kumuua kiongozi mkuu wa nchi nakujitapa kwa sifa hii ni "act of war" ya kiwango Cha juu.
Iran haitakubali mpaka na wenyewe walipe kisasi kikubwa zaidi..

5. Nguvu za Mataifa wapinzani.

Israel kaonyesha nguvu za kijeshi za anga kwamba naweza ingia Iran na kushambulia huku Iran kaonyesha uwezo wa kurusha makombora ya masafa marefu na drones ( Long -Range Precision strike capability)
Makombora kama Khorramshahr-4, Kheibar-Shekan n.k Yanaweza kufanya total destruction na Majuzi hapa Iran aliyarusha kwa wingi hii ni ishara kuwa vita Bado ndefu.
Maana Kila shambulio Israel analofanya linalipwa sawasawa na alivyofanya hii ni ishara ya piga nikupigie mpaka Mmoja anyanyue mikono.

Kwamaana hiyo sioni dalili za vita kusimama hii ngoma Bado sana labda China na Urusi waingie waziwazi kutaka kuweka mambo sawa jambo ambalo nalo kitaalamu Lina hatari yake...
Nawaona NATO wanaweza fanya kitu siku sio nyingi ila kwa bahati mbaya... Ni kidiplomasia zaidi sio kijeshi na Trump yeye anataka msaada wa kijeshi kwa hili NATO hawako tayari.
 
Nilishaandika humu Marekan yeye yupo kwa maslahi kwenye hii vita endapo atapahaidiwa malshi mazuri na Iran ataacha vita. Israel hasa Netanyahu hawezi kubali kusitisha vita kirahisi sababu hii nafasi aliitafuta muda mrefu na kwakipindi hiki ana amini Iran uwezo wake wamakombora umepungua, hivyo atakwenda naye mdogo mdogo hadi pale atakapo mmudu kabisa huku akiamini hali ngumu ya maisha kwa wa Iran itawapelekea kuandamana.
 
Iran kuandamana sidhani...
Wanaweza andamana kweli lakini si kipindi hiki, Hii mbinu ishafeli muda sana.
Tatizo Israel na marekani walianza kwa mbwembwe sana bila kujua Iran kajipangaje haswa.
Ndio maana baada ya kumuu Ayatollah wali hack mpaka vituo Vya habari Vya Iran na kuwashawishi wairan waandamane lakini wapi..
Waajemi ni watu wanaojikubali sana Wapo tayari kupigana kufa kupona kuliko kumpigia adui goti.
Kuhusu makombora ya Iran kupungua huko ni kujilisha upepo labda Israel iishiwe na air defense sio Iran kuishiwa na makombora - Hili halihitaji akili kubwa kugundua.
 
Hii asubuhi kuna mashambulizi makubwa yanaendelea Tel Aviv, usiku pia Hezbollah kafanya yake watu wengi wanaamini propaganda za Trump kwamba kuna ceasefire, Base ya Victoria Iraq imekuwa completely evacuated.
Nimeona Al Jazeera hapa wanaonesha madhara ya makombora ya Iran...
Tel Aviv imepigwa zaidi ya mara Moja nafikiri Leo maana naona ni maeneo tofauti tofauti sijui ndio hizo cluster bombs...
 
Iran imeshampoteza Assad mshirika wake mkubwa. Sasa inaenda kumpoteza Hezbollah, maana tayari Hezbollah wamekimbia kusini mwa Lebanon. Houthis wamebakiza mdomo. Hivyo nguvu ya Iran hatua kwa hatua inaenda kupotea. Hivyo ndoto ya Iran ya kuwa mkuu wa mashariki ya kati haitatimia. Saudi Arabia na Israeli ndio watakuwa wakuu wa jimbo la 7 la dunia.
 
Israeli na Marekani wameanza mkakati wa kuwaondoa viongozi wa makundi ya kishia ya Iraq

Hili ni pigo lingine mfululizo kwa upande wa Hashd al-Shaabi (PMF) nchini Iraq, na linaendelea kuthibitisha kile ulichosema asubuhi kuhusu "kampeni ya vifo" dhidi ya makamanda wao.

Tukio la Nainawa (Nineveh)

Shambulio limetokea mkoani Nainawa (kaskazini mwa Iraq), eneo ambalo limekuwa kitovu cha harakati za Hashd al-Shaabi kuelekea mpaka wa Syria.

Mlengwa

Inaripotiwa kuwa kamanda wa 50 wa ngazi ya juu (General) wa Hashd al-Shaabi amelengwa shambulio la usahihi la anga la Marekani. Hii inaongeza idadi ya makamanda waliopotea ndani ya saa 24 baada ya vifo vya Waq Al-Fartousi na wenzake.

Wakurd wamepokea taarifa hii kwa furaha, maana baada ya vita vya Iran kuripuka, wamekuwa wahanga wa kundi hili.
 
CENTCOM wametoa video ikionesha USS Abraham Lincoln ikiongoza Mashambulizi dhidi ya Iran

Machi 23-24, 2026

USS Abraham Lincoln (CVN-72), imefanya mfululizo wa mashambulizi makali dhidi ya mifumo ya ulinzi wa pwani ya Iran.

Licha ya Trump kutangaza "Pause" ya siku 5 kwa ajili ya kupiga mitambo ya umeme, shughuli nyingine za kijeshi zinaendelea. Ndege za kivita aina ya F/A-18 Super Hornets na F-35C ziliruka kutoka kwenye sitaha (deck) ya Lincoln na zilipiga:

Mifumo ya Makombora

Maeneo ya kusini mwa pwani ya Iran yanayolenga meli za mafuta.

Vituo vya Droni

Lincoln imekuwa ikisafisha njia ili kuhakikisha droni za Iran hazisumbui msafara wa meli za kivita (Armada) za Marekani.
 
Iran imeshampoteza Assad mshirika wake mkubwa. Sasa inaenda kumpoteza Hezbollah, maana tayari Hezbollah wamekimbia kusini mwa Lebanon. Houthis wamebakiza mdomo. Hivyo nguvu ya Iran hatua kwa hatua inaenda kupotea. Hivyo ndoto ya Iran ya kuwa mkuu wa mashariki ya kati haitatimia. Saudi Arabia na Israeli ndio watakuwa wakuu wa jimbo la 7 la dunia.
 
Maafisa Wakuu wa PMF: Wameuawa kwa shambulio la anga la Israeli

March 24, 2026

Shambulio hilo la anga, lililotekelezwa na ndege za kivita za Israeli, limefanikiwa kuwalenga na kuwaua viongozi hawa watatu muhimu wa Hashd al-Shaabi (Popular Mobilization Forces - PMF):

Sha’ad Dawi Al-Baiji: Kamanda mwandamizi wa kikosi cha PMF.

Waq Al-Fartousi: Mkurugenzi wa operesheni wa vikosi vya Shaabi, anayetajwa kuwa na ushawishi mkubwa katika uratibu wa kijeshi.

Haidar Ma’amoori: Afisa mkuu wa usalama wa vikosi hivyo, aliyekuwa na jukumu la kulinda usalama wa makamanda na kambi za PMF.

Eneo la Shambulio na Mbinu

Shambulio hilo limeripotiwa kutokea katika kambi ya kijeshi au makao makuu ya usalama ya PMF (pengine katika maeneo ya Anbar au karibu na mpaka wa Syria-Iraq), ambapo viongozi hao walikuwa wakifanya kikao cha uratibu dhidi ya Israeli na Marekani.

Inaarifiwa kuwa shambulio hili lilitegemea taarifa za siri za kijasusi zilizoweza kubaini eneo halisi la viongozi hawa, mbinu ambayo Israeli imeitumia sana katika operesheni ya "Roaring Lion".

PMF (Popular Mobilization Forces), au kwa Kiarabu Al-Hashd al-Shaabi, ni muungano wa vikosi vya kijeshi vya kishia nchini Iraq.

PMF iliundwa mwaka 2014 kufuatia agizo (fatwa) la kiongozi mkuu wa kidini wa Kishia nchini Iraq, Ayatollah Ali al-Sistani. Lengo lilikuwa ni kuhamasisha raia na wanamgambo kupigana dhidi ya kundi la kigaidi la ISIS ambalo lilikuwa limeteka sehemu kubwa ya Iraq. Baada ya vita vya Iran kuzuka wamegeuka na kupigana na Israeli na Marekani.
 
Back
Top Bottom