Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la tabriz.
20260324_175835.jpg
 
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la shahin shahr Isfahan
 
Kama vita ni mashambulizi ya hivi nadhani houth wangelikua hawana serikali sembuse Irani? Hapa mbungi ya ardhini ndio italeta majibu sio vijikombora watu viwanda viki chini ya milima
 
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la Isfahan
20260324_181253.jpg
 
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la islamshahr
 
💥💥💥💥
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la shiraz
 
China imetoa msaada wa solar

Cuba sasa inazalisha 900MW kutoka solar sources

Hiyo imekidhi theluthi moja ya umeme Cuba

Na bado China inaendelea kushusha mzigo wa solar all across the Island

Plus na mafuta kutoka Russia angalau sasa Cuba itaweza kuzalisha umeme wa kutosha

Marekani iliweka embargo ili wananchi wa Cuba wateseke na wameteseka kweli

Hospitalini watu wamekufa sana kwa sababu ya kukosa umeme na shughuli nyingi za kiuchumi zilisimama

Mungu ana makusudi yake kuzifanya Russia na China ziwepo duniani tungeteseka sana na huu ushetani wa Marekani
Mie nahisi marekani ndio shetani mwenyewe.
Huwezi fanya unyama kama ule kisa interest zako, umeme sio wa rais ni wananchi wote wanategemea hapo
 
Mie nahisi marekani ndio shetani mwenyewe.
Huwezi fanya unyama kama ule kisa interest zako, umeme sio wa rais ni wananchi wote wanategemea hapo
Kuna mambo yanaendelea Duniani mkuu ukiona unashangaa, Kazakhstan wameweka kibaraka wao, juzi wame sign mkataba Marekani atachimba mafuta wao wanapewa Asilimia 2 tu, just imagine mafuta yalivyokuwa na hela, then unakula Asilimia 2 tu jamaa wanabeba kila kitu. Hata Ukoloni haukua hivi, ikitokea kiongozi ana msimamo wa kulinda Rasilimali zake ataitwa kila jina.
 
Nilishaandika humu Marekan yeye yupo kwa maslahi kwenye hii vita endapo atapahaidiwa malshi mazuri na Iran ataacha vita. Israel hasa Netanyahu hawezi kubali kusitisha vita kirahisi sababu hii nafasi aliitafuta muda mrefu na kwakipindi hiki ana amini Iran uwezo wake wamakombora umepungua, hivyo atakwenda naye mdogo mdogo hadi pale atakapo mmudu kabisa huku akiamini hali ngumu ya maisha kwa wa Iran itawapelekea kuandamana.
Lengo la kwanza la Myahudi na USA ni kuwalazimisha raia wa Iran kuandamana na kuiondoa serikali ya Ayatollah madarakani kwa kuwatengenezea mazingira magumu ikiwa ni pamoja na kumuua kiongozi wao, hilo limekuja kinyume kabisa na matarajio yao. Matokeo yake tunaona mitandaoni raia wa Israel ndio wameandamana kupinga vita na kuanza kuikimbia nchi yao ya ahadi.
 
Back
Top Bottom