Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Mji wa Khorromashair Iran muda huu hauna nishati ya gesi baada ya mashambulizi ya asubuhi yaliyofanywa na Marekani na Israeli.

March 24.
FB_IMG_1774357781165.jpg
 
Kwa Hali ilivyo kwa sasa sioni kama Kuna makubaliono ya kusitisha vita Yanaweza fikiwa na kama yatafikiwa Yatakuwa ni ya muda mfupi (short -term De-escalation)
Kwahiyo uwezekano wa vita kutanuka zaidi ni mkubwa kuliko vita kusimama au kupungua. Sababu za kitaalamu ni ..👇👇

1.Kushambuliana maeneo ya nyuklia.

Kitendo Cha Israel kushambulia kituo Cha nyuklia Cha Iran(Natanz) na Iran kujibu kwa kupiga Dimona inaashiria vita vimefika hatua ya "Strategic escalation" kwakuwa maeneo ya nyuklia ni red line hizo ni vital national security assert.
Kwahiyo kuvuka huo mstari kijeshi ni kuwa mataifa yote yapo tayari kwa lolote.

2.Kushindwa kwa ulinzi wa anga wa Israel (Air defense saturation and system failure).
Sasa hili ndio balaa yale mashambulizi ya Dimona na Arid yalionyesha kuwa anga la Israel ni chujio hapa kitaalamu Iran amepata moto kuwa Hawa jamaa naweza watandika ninavyotaka wakati huohuo Israel anataka kufanya mashambulizi ya juu zaidi kulipa kisasi sasa Kunakuwa na mgongano hapo, Huu mgongano ndio unao leta Rapid escalation- Yale maneno ya Trump niyakupuuzwa hapa Kuna hatari nyingine Kuna namna Israel ataanza kupishana na U.S

3.Full spectrum Retaliation Threat - Iran kutishia kulipiza kisasi kwa kanda nzima.

Hii pekee inaonesha Iran Hana mpango wa kusimamisha vita maana kaweka wazi nikipigwa naenda kupiga uwekezaji wa adui hapo middle east, Hii hatari yake ni Nini...?
Hatari yake nikuwa inajenga escalation cycle isiyozuilika yaani ukinipiga nitalipa kisasi.
Sasa Kama Iran katishia washirika wa marekani maana yake anataka mgogoro uwe Mpana zaidi na kadri escalation inavyoongezeka ndio kunapunguza udhibiti kwenye hii vita.

4.Kifo Cha Ayatollah

Kumuua kiongozi mkuu wa nchi nakujitapa kwa sifa hii ni "act of war" ya kiwango Cha juu.
Iran haitakubali mpaka na wenyewe walipe kisasi kikubwa zaidi..

5. Nguvu za Mataifa wapinzani.

Israel kaonyesha nguvu za kijeshi za anga kwamba naweza ingia Iran na kushambulia huku Iran kaonyesha uwezo wa kurusha makombora ya masafa marefu na drones ( Long -Range Precision strike capability)
Makombora kama Khorramshahr-4, Kheibar-Shekan n.k Yanaweza kufanya total destruction na Majuzi hapa Iran aliyarusha kwa wingi hii ni ishara kuwa vita Bado ndefu.
Maana Kila shambulio Israel analofanya linalipwa sawasawa na alivyofanya hii ni ishara ya piga nikupigie mpaka Mmoja anyanyue mikono.

Kwamaana hiyo sioni dalili za vita kusimama hii ngoma Bado sana labda China na Urusi waingie waziwazi kutaka kuweka mambo sawa jambo ambalo nalo kitaalamu Lina hatari yake...
Nawaona NATO wanaweza fanya kitu siku sio nyingi ila kwa bahati mbaya... Ni kidiplomasia zaidi sio kijeshi na Trump yeye anataka msaada wa kijeshi kwa hili NATO hawako tayari.
Kwa udogo wa kijiografia wa Israel na anavyochangiwa na hizbollah,sidhani kama Israel ataweza kuhimili vita zaidi. Ukiona Trump anahangaika negotiations jua anayetafta kuokolewa ni Israel kuliko USA mwenyewe.
 
Robert Kiyosaki:

Here is my analysis as someone who has studied money and power for 50 years.

Iran cannot beat America militarily. That is not even a question.

But Iran understands something most people don't.

The most powerful weapon in the world is not a missile.

It is economic pain.
 
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la kusini magharibi mwa Tehran. Milipuko mikubwa sana
 
Back
Top Bottom