Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Qazvin, Iran —several explosions one after another.
9:24 PM: Multiple consecutive explosions.
Three explosions in northern Qazvin, but no jets; most likely fired by drones.
 
Lordegan (Chaharmahal and Bakhtiari), 9:25 PM: Sounds of several fighter jets passing overhead.

Bushehr, 9:25 PM: Fighter jets have been flying for a few minutes, and two explosions were reported.

Bandar Abbas, 9:25 PM: Sounds of fighter jets heard; Haghani Seminary and the port were reportedly hit.
 
Ukubwa wa Marekani kijeshi unabebwa na washirika moja ya jambo limejiweka uchi kabisa toka vita hivi vianze basi ni hili.

Marekani kutengwa na washirika kijeshi kuna punguza kwa kiasi kikubwa sana zile nguvu kubwa za kijeshi za Marekani kwa ufupi Marekani kutengwa na washirika kuna tirisha shaka ile nafasi ya kwanza ya jeshi lenye nguvu kubwa duniani.

Ulaya kuendelea kuisusia Marekani katika vita hivi inaleta hasara kubwa kwa jeshi la Marekani. Swali Je, ni mpaka lini ulaya itaendelea kuisusia Marekani katika hivi vita vyake yeye na Israel
 
Wenzio Iran wanasema hio ni jamja tu awatandike vizuri na anawakong'ota haswa. Au wewe unaonaje USA na Iran nani kachakaa? Nawasifu Iran ingekuwa nchi nyingine sasa hivibwangeshanyoisha mikono.
Mwanzo ilianza kufuta utawala wa Iran na kuharibu Nyuklia yao wote, ikaja Hadi kufungua Hormuz, sasa hivi ni vijembe Tu kwa Allies kwamba wakafungue wenyewe.

1. Sasa Hivi Iran anapata hela kuliko wakati wowote ule,
Mafuta yamepanda anauza yeye Tu ya kwake Ukanda huo ya wengine hayapiti Nchi neutral kama India na wengine kama Malaysia, Pakistan etc wananunua kwake kwa bei kubwa, According to analyst Iran anapata $139-140M kwa siku Hapo Hormuz Inakisiwa Hali ikiendelea hivi kwa Mwaka mapato Roughly $60B USD

For comparison kabla ya Vita Revenue za Export zote kila kitu haifiki $60B ila sasa Marekani na Israel wamemzawadia Iran source mpya ya mapato ambayo ni kubwa kuliko source zote combined.

2. Leo mbunge wa Ujerumani anasema Spain wamemnyima USA Anga lake na viwanja vyake Iran kakubali Meli za Spain Zipite Hormuz, Ujerumani amepropose kuwafukuza USA na kuanzisha Diplomasia na Iran,

✅ German parliament member calls for expulsion of Americans to pass through Hormuz

🔹 Tino Chrupala, one of the two leaders of the right-wing Alternative for Germany party, called on his country to expel American forces.

🔹 He said in a parliamentary session: Spain did not allow the use of its bases in the Iran war; now its ships pass through the Strait of Hormuz without any problem.

🔹 He said: Germany should do the same and send American soldiers home.

Ukitoa Ujerumani na Spain Allies wote wa Ulaya wamemchunia Trump, Iran proxies wamewapa safe passage NATO waondoke Iraq na wameondoka, Wana deal na Mmarekani na Israel Tu.

3. Iran kafanikiwa kuminya uchumi wa Mmarekani na Israel, soko la hisa linashuka vibaya mno, supply za semiconductor zime halt, wengine hata June hawatoboi vita ikiendelea hivi.

Kwa Iran wao ndio maana wanataka vita viendelee Nchi Yao ina boom, USA anaomba poo kila siku na kutaka ceasefire sababu ye ndo anaumia, hao Israel ndio kabisa na uchumi wao feki
 
AI iko live
20260331_210716.jpg
 
Iran hii vita atashindwa kwa tabia yake ya kusikilizia, eti apigwe nae ndio apige, strategy mboovu kabisa, kipigwe kisima nawe ndio upige kisima, upigwe chanzo cha maji nawe ulipize.. ilitakiwa baada ya kuanzwa, apukutishe sekta muhimu pale israel kwa haraka sana kiasi isarel akose pumzi.

Sasa hapa siku wakifumua maeneo yake aliyohifadhi hayo makombora ndio kwisha,
Anahadaika na propaganda za ceasefire, mbona hii michezo wameshamchezea sana, wanazuga hatushambulii wanashambulia, tusimamishe vita, ye anatulia wenzake wanapiga
 
Sawa.
 
Pia nguvu ya uchumi wa Marekani umebebwa na washirika nao kwa namna moja ama nyingine Marekani ikiingia katika mkwamo wa kibiashara/kiuchumi na washirika wake wakajiweka kando kama sasa nguvu ya kiuchumi ya Marekani itaterereka sana katika ile nafasi ya kwanza inayotajwa anayo ishikilia.

Kwa ufupi siasa za vitisho,dharau,kukoromea na kutishia washirika zinazo fanywa na Rais wa sasa wa Marekani hasa kwa wale washirika wa muda mrefu wa Marekani ni hasara kubwa kijeshi na kiuchumi kwa taifa kubwa la Marekani.

Donald Trump anachofanya ni kuisukuma mbali Marekani na washirika wake wa muda mrefu kuliko kuileta karibu jambo ambalo lina zalisha na kuonesha udhaifu mkubwa wa taifa la Marekani.

Uimara wa Marekani kwa muda mrefu umejengwa na kulindwa na washirika wake wa tiifu wa muda mrefu lakini Donald Trump anatia mchanga kitumbua hiki.
 
Wenzio Iran wanasema hio ni jamja tu awatandike vizuri na anawakong'ota haswa. Au wewe unaonaje USA na Iran nani kachakaa? Nawasifu Iran ingekuwa nchi nyingine sasa hivibwangeshanyoisha mikono.
US alichobakiza pekee ni ground invasion, hakuna kipya, na watakapofanya ground invasion ni US imeamua kufanya suicide.
 
9:03, five explosions were heard in Izadshahr.

9:07 PM: Several fighter jets passed over Khorramabad.

9:08 PM: Numerous fighter jets, along with bombers, passed over Shahrekord.

Shahinshahr: Fighter jets can be heard; their sound seems low.

9:16 PM: Sounds of fighter jets and explosions in Isfahan.

9:16 PM: Multiple explosions heard in Isfahan.

9:17 PM: Explosion reported in southern Isfahan.
English cousin of City Thunder OKC
 
“A very heavy explosion occurred in Natanz.”

9:17 PM, Village of Tarqrud (about 100 km from Isfahan): A strong explosion was heard, shaking windows.

Residents near Tarqrud, close to Natanz, reported hearing several heavy explosions.
 
Iran hii vita atashindwa kwa tabia yake ya kusikilizia, eti apigwe nae ndio apige, strategy mboovu kabisa, kipigwe kisima nawe ndio upige kisima, upigwe chanzo cha maji nawe ulipize.. ilitakiwa baada ya kuanzwa, apukutishe sekta muhimu pale israel kwa haraka sana kiasi isarel akose pumzi.

Sasa hapa siku wakifumua maeneo yake aliyohifadhi hayo makombora ndio kwisha,
Anahadaika na propaganda za ceasefire, mbona hii michezo wameshamchezea sana, wanazuga hatushambulii wanashambulia, tusimamishe vita, ye anatulia wenzake wanapiga
Hakuna anaeweza kuharibu viwanda vya makombora Iran, hana haraka marathon haikimbiwi Kama mita 100, kampuni zote zilizohusika na kuchangia mauaji ya makamanda wa Iran kuanzia kesho zinaanza kupukutishwa na wameambiwa kabisa hivyo Kama Wana ubavu wazuie hivyo hisa za boeng, Microsoft, Tesla, Intel, Nvidia etc uza mapema
 
Mwanzo ilianza kufuta utawala wa Iran na kuharibu Nyuklia yao wote, ikaja Hadi kufungua Hormuz, sasa hivi ni vijembe Tu kwa Allies kwamba wakafungue wenyewe.

1. Sasa Hivi Iran anapata hela kuliko wakati wowote ule,
Mafuta yamepanda anauza yeye Tu ya kwake Ukanda huo ya wengine hayapiti Nchi neutral kama India na wengine kama Malaysia, Pakistan etc wananunua kwake kwa bei kubwa, According to analyst Iran anapata $139-140M kwa siku Hapo Hormuz Inakisiwa Hali ikiendelea hivi kwa Mwaka mapato Roughly $60B USD

For comparison kabla ya Vita Revenue za Export zote kila kitu haifiki $60B ila sasa Marekani na Israel wamemzawadia Iran source mpya ya mapato ambayo ni kubwa kuliko source zote combined.

2. Leo mbunge wa Ujerumani anasema Spain wamemnyima USA Anga lake na viwanja vyake Iran kakubali Meli za Spain Zipite Hormuz, Ujerumani amepropose kuwafukuza USA na kuanzisha Diplomasia na Iran,

✅ German parliament member calls for expulsion of Americans to pass through Hormuz

🔹 Tino Chrupala, one of the two leaders of the right-wing Alternative for Germany party, called on his country to expel American forces.

🔹 He said in a parliamentary session: Spain did not allow the use of its bases in the Iran war; now its ships pass through the Strait of Hormuz without any problem.

🔹 He said: Germany should do the same and send American soldiers home.

Ukitoa Ujerumani na Spain Allies wote wa Ulaya wamemchunia Trump, Iran proxies wamewapa safe passage NATO waondoke Iraq na wameondoka, Wana deal na Mmarekani na Israel Tu.

3. Iran kafanikiwa kuminya uchumi wa Mmarekani na Israel, soko la hisa linashuka vibaya mno, supply za semiconductor zime halt, wengine hata June hawatoboi vita ikiendelea hivi.

Kwa Iran wao ndio maana wanataka vita viendelee Nchi Yao ina boom, USA anaomba poo kila siku na kutaka ceasefire sababu ye ndo anaumia, hao Israel ndio kabisa na uchumi wao feki
China na Russia na wao hawataki Hormuz ifunguliwe...
 
Wachambuzi wa kimataifa wanasema , kushikilia mlango wa bahari wa Hormuz kunampa Iran diplomatic win ambapo kwa sasa mataifa mengi yameanzisha mazungumzo na yanabidi yaanzishe mazungumzo na Iran ili meli zao zipite jambo ambalo linaweza kumpatia marafiki wengi na kutengeneza diplomatic ties kwa kiwango kikubwa .

Hii ni Loss kwa Israel na US sababu kabla ya vita Iran alikuwa na marafiki wachache na sasa atatengeneza marafiki na washirika wengi kupitia kushikilia kwao mlango wa bahari wa Hormuz
 
Iran hii vita atashindwa kwa tabia yake ya kusikilizia, eti apigwe nae ndio apige, strategy mboovu kabisa, kipigwe kisima nawe ndio upige kisima, upigwe chanzo cha maji nawe ulipize.. ilitakiwa baada ya kuanzwa, apukutishe sekta muhimu pale israel kwa haraka sana kiasi isarel akose pumzi.

Sasa hapa siku wakifumua maeneo yake aliyohifadhi hayo makombora ndio kwisha,
Anahadaika na propaganda za ceasefire, mbona hii michezo wameshamchezea sana, wanazuga hatushambulii wanashambulia, tusimamishe vita, ye anatulia wenzake wanapiga
Iran hajawahi kusimama tokea vita ianze mashambulizi karibia kila siku anasha.bulia mwendo wa timing juzi Iran alipiga Industry zone ya Myahudi yenye viwanda zaidi ya tisini, jana kapiga Haifa kuanzia Refinery, Bandari, Navy na Food Depot zote zilipigwa. Iran hajawahi kutaka mazungumzo na mtu yoyote, japo ukiangalia kwenye vikao vya UN Security Council,US wanajitia wajanja ila Iran wameshasema tokea mwanzo wataacha vita kwa terms na mda wautakao wao.

Juzi kabiga kambi ya US Saudi kaharibu ndege kama tano ( tatu refuelling aircrafts na mbili ni ndege zitumikazo kama radar ya angani hii moja kwa mujibu wa Kanali aliyekuwa akihojiwa CNN gharama ya ndege moja ni USD 700m),jana akapiga kambi Iraq,Bahrain na Jordan.

US anahangaika sasa hivi atafuta maeneo mengine ya karibu ,ili kupunguza umbali wakati akishambulia,kwani middle east kambi zake nyingi zimepigwa, Italy na Spain wamemkatalia kutumia anga zao na kambi zao. Sasa hivi kawaomba Poland Patriots , anataka ikakae maeneo ya West Asia naona napo anataka kuweka ndege zake za mashambulizi ila Poland kakataa.
Screenshot_20260331_211813_Chrome.jpg

Ukitaka kujua mashabulizi ya Iran,fuatilia WION,Hindustan Times na Times of India.Leo hii tena UAE kuna kambi ya US kailipua, inasemekana kulikuwa na makamanda kama 200,japo kama kawaida yao US hawaja confirm ila mzigo ulitua.

Lisaa limoja lilopita Iran karusha mabomu Tel Aviv.
 
Pia nguvu ya uchumi wa Marekani umebebwa na washirika nao kwa namna moja ama nyingine Marekani ikiingia katika mkwamo wa kibiashara/kiuchumi na washirika wake wakajiweka kando kama sasa nguvu ya kiuchumi ya Marekani itaterereka sana katika ile nafasi ya kwanza inayotajwa anayo ishikilia.

Kwa ufupi siasa za vitisho,dharau,kukoromea na kutishia washirika zinazo fanywa na Rais wa sasa wa Marekani hasa kwa wale washirika wa muda mrefu wa Marekani ni hasara kubwa kijeshi na kiuchumi kwa taifa kubwa la Marekani.

Donald Trump anachofanya ni kuisukuma mbali Marekani na washirika wake wa muda mrefu kuliko kuileta karibu jambo ambalo lina zalisha na kuonesha udhaifu mkubwa wa taifa la Marekani.

Uimara wa Marekani kwa muda mrefu umejengwa na kulindwa na washirika wake wa tiifu wa muda mrefu lakini Donald Trump anatia mchanga kitumbua hiki.
Trump anaamini kauli za kibabe na kuvimba ndio ushujaa na ana amini kuomba mazungumzo na kujishusha ni udhaifu..

Sikuwahi kufikiri kama Trump ni mjinga kiasi hiki...

Trump sasa hana budi kujinyenyekeza..

Na wanasiasa toka nchi za EU ukitizama mienendo yao ni kama wanaambiana "muacheni kwanza ajifunze , muacheni ajifunze kuheshimu watu"
 
Back
Top Bottom