Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Bora Russia anapata faida lakini China ndio anamtuma Pakistan hali ipoe sababu uchumi wake unategemea mafuta ya hapo.China na Russia na wao hawataki Hormuz ifunguliwe...
Bora Russia anapata faida lakini China ndio anamtuma Pakistan hali ipoe sababu uchumi wake unategemea mafuta ya hapo.China na Russia na wao hawataki Hormuz ifunguliwe...
Endeleeni kujitoa ufahamu na kujipa matumaini hewa kuwa eti Iran atamshinda Marekani kijeshi bila kusarenda,na uzuri wala hamtupi shida mlianza na Hamas mkaja kwa Hezbollah kote huko mkaangukia pua.Trump anaamini kauli za kibabe na kuvimba ndio ushujaa na ana amini kuomba mazungumzo na kujishusha ni udhaifu..
Sikuwahi kufikiri kama Trump ni mjinga kiasi hiki...
Trump sasa hana budi kujinyenyekeza..
Na wanasiasa toka nchi za EU ukitizama mienendo yao ni kama wanaambiana "muacheni kwanza ajifunze , muacheni ajifunze kuheshimu watu"
China Meli zake hazijafungiwa toka mwanzo wa Vita, pia China hategemei Hormuz,Bora Russia anapata faida lakini China ndio anamtuma Pakistan hali ipoe sababu uchumi wake unategemea mafuta ya hapo.
Gaza mlikuwa hapa kushabikia Hamas kuondolewa, je Hamas wapo hawapo? Hezbollah ipo? Houthis?Endeleeni kujitoa ufahamu na kujipa matumaini hewa kuwa eti Iran atamshinda Marekani kijeshi bila kusarenda,na uzuri wala hamtupi shida mlianza na Hamas mkaja kwa Hezbollah kote huko mkaangukia pua.
US will 'leave' in 'two or three weeks', Trump claims
Trump suggests the US will "leave" Iran in "two or three weeks".
He says he had "one goal" - that Iran can have no nuclear weapons, and says that has been attained.
Published at 01:06
![]()
Trump says US will leave Iran 'whether we have a deal or not'
The president says any deal with Tehran is "irrelevant" to when the US leaves the conflict, claiming that day could come in two to three weeks.www.bbc.com
Hii vita ni anguko kwa Trump na chama chake..US will 'leave' in 'two or three weeks', Trump claims
Trump suggests the US will "leave" Iran in "two or three weeks".
He says he had "one goal" - that Iran can have no nuclear weapons, and says that has been attained.
Published at 01:06
![]()
Trump says US will leave Iran 'whether we have a deal or not'
The president says any deal with Tehran is "irrelevant" to when the US leaves the conflict, claiming that day could come in two to three weeks.www.bbc.com
Ia jana amepigishwa hasara kubwa huko milimani. Mlipuko ule sio wa kawaida.Sizani huaga na ziangalia zile Mesile za Iran zinavyotoka chini ya milima, hii ngoma si ya leo wala kesho,tena kwa hili la kuwaomba Poland Patriots, inaonekana kabisa US anaelekea kuishiwa na Interceptors na Interceptors zinatengenezwa kwa orders, hapo ndipo kwenye ugumu,anga zote middle east zipo kama chujio.
Unajua kuwa China ina mafuta mengi sana mpaka inawauzia mafuta nchi za Southeast Asia ambazo zina uhaba? China ain't worried about oil supplyBora Russia anapata faida lakini China ndio anamtuma Pakistan hali ipoe sababu uchumi wake unategemea mafuta ya hapo.