Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Wanajeshi wengi wa US hawataki hii vita, wananchi pia.. Hawana morale kabisa na hii vita, maana kuna manowari ya US , askari wanaifanyia sabotage wenyewe kwenye miundo mbinu ya ndani ikiwemo vyoo.. Vyoo vinavujisha vinyesi , manowari inanuka kinyesi tupu..

Hii vita tutashuhudia mengi.
Kuna tetesi pia kuwa General Dan Caine hakutaka kwenda vitani na Iran!


View: https://youtu.be/nQisCa6bQ4U?si=Q5MOdO_-pXfdMkzd

Trump fala sana. Kavunja waziwazi moja ya ahadi zake kuu: ahadi ya kutoanzisha vita mpya isiyo na kichwa wala miguu.
 
Trump anaamini kauli za kibabe na kuvimba ndio ushujaa na ana amini kuomba mazungumzo na kujishusha ni udhaifu..

Sikuwahi kufikiri kama Trump ni mjinga kiasi hiki...

Trump sasa hana budi kujinyenyekeza..

Na wanasiasa toka nchi za EU ukitizama mienendo yao ni kama wanaambiana "muacheni kwanza ajifunze , muacheni ajifunze kuheshimu watu"
😄😄Yeah sure Simu Tayari zimeshapigwa
 
Sasa itakuwaje Sisi Wakristu tulio aminishwa kwamba: Israel ni tàifa teule la Mungu, tàifa lililobarikiwa. Tuliambiwa ukiigusa Israel umemgusa Mungu, na hatimaye utaalaniwa.
Sasa, inàmaana Iran inakwenda kulaaniwa na Mungu kwa kuigusa Israel?

Hii inaitwa Mbombo ngafu; ukimwaga Ugali Mimi namwaga Mboga.
Juzi kuna Kadinali katoka Vatican waisreli wamempiga mteke, na kumzuwia asifanye ibada ya matawi.Israeli wamelaaniwa na Mungu.
 
Huu sasa ndio ukisikia UCHAWA
Huyu msenge anatetea kibarua chake kwa Trump na anasema Regime change in Iran imeshakamilishwa kwa kumuua Ayatollah na nafasi yake kuchukuliwa na mtoto wake
Literally😂

View attachment 3565452
🤣🤣🙌 Hawa wanataka kuwafanya watu wote duniani ni wapumbavu Jana niliona trump akiliongea Hilo , so regime imefanyika na wamefanikiwa kumuweka mtawala ambaye wanayemtaka wao !?? Haya majamaa Akili hayana 🤣
 
Iran hajawahi kusimama tokea vita ianze mashambulizi karibia kila siku anasha.bulia mwendo wa timing juzi Iran alipiga Industry zone ya Myahudi yenye viwanda zaidi ya tisini, jana kapiga Haifa kuanzia Refinery, Bandari, Navy na Food Depot zote zilipigwa. Iran hajawahi kutaka mazungumzo na mtu yoyote, japo ukiangalia kwenye vikao vya UN Security Council,US wanajitia wajanja ila Iran wameshasema tokea mwanzo wataacha vita kwa terms na mda wautakao wao.

Juzi kabiga kambi ya US Saudi kaharibu ndege kama tano ( tatu refuelling aircrafts na mbili ni ndege zitumikazo kama radar ya angani hii moja kwa mujibu wa Kanali aliyekuwa akihojiwa CNN gharama ya ndege moja ni USD 700m),jana akapiga kambi Iraq,Bahrain na Jordan.

US anahangaika sasa hivi atafuta maeneo mengine ya karibu ,ili kupunguza umbali wakati akishambulia,kwani middle east kambi zake nyingi zimepigwa, Italy na Spain wamemkatalia kutumia anga zao na kambi zao. Sasa hivi kawaomba Poland Patriots , anataka ikakae maeneo ya West Asia naona napo anataka kuweka ndege zake za mashambulizi ila Poland kakataa.
View attachment 3565327
Ukitaka kujua mashabulizi ya Iran,fuatilia WION,Hindustan Times na Times of India.Leo hii tena UAE kuna kambi ya US kailipua, inasemekana kulikuwa na makamanda kama 200,japo kama kawaida yao US hawaja confirm ila mzigo ulitua.

Lisaa limoja lilopita Iran karusha mabomu Tel Aviv.
Hii vita inamaneno mengi ya uongo.
Tangu wiki iliyopita walisema base zote za USA zimepigwa na zimeisha.

Kumbe bado zipo.

Pia walisema wamepiga makombola yote ya iran na yameisha. Cha ajabu iran bado anarusha makombola.

99% yanayosemwa ni uongo
 
MWAGA MOTO MWINGI KAMA MADRAGONI KWA TRUMP 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

Trump ni rais mkweli, hata yeye juzi alishangaa kuwaona wanasiasa wa Iran wanabisha. Katika siasa Trump hajawahi kuongopa, akiongea ni ukweli. Na kama anaongopa basi ni kwa % chache sana sio kama wengine. Maana ameshaongea mengi sana na yanakuja kuonekana kweli.

Alisema mwaka jana Israeli iliitaka kumuua Ayatollah, akawakataza wasimuue, wakasema anaropoka na ni mzushi. Mwaka huu amesema amewapa ruhusu na wakamuua.

Hivyo Trump kusema wanasiasa wa heshima wa Iran wamempigia sim wayajenge hakika ukweli umeanza kujulikana.

Bilashaka kuna kitu kinaendelea Iran ambacho huenda ikaja kuwa surprise ya wengi.
Lkn trump huyuhuyu alisema iran wameishiwa makombola.
Je, nikweli?
 
Hii vita inamaneno mengi ya uongo.
Tangu wiki iliyopita walisema base zote za USA zimepigwa na zimeisha.

Kumbe bado zipo.

Pia walisema wamapiga makombola yote ya iran na yameisha. Cha ajabu iran bado anarusha makombola.

99% yanayosemwa ni uongo
Screenshot_20260315_224516_Photos.jpg

Sawa ni uongo hata huyo General wa CENTCOM wa US ni muongo? Halafu husitegemee eti kambi ikipigwa wanajeshi wataondoka mda huo huo,kambini kuna siri nyingi sana lazima wazilinde pamoja na kupigwa,hivi unazani juzi baada ya kupigwa kwenye kambi zao za Saudi waliondoka mda huo huo? Maana kuna ndege zimeharibiwa, ukiondoka adui akichukua picha na baadhi ya ndege zako,kwenye uwanja wa kivita maana yake umepoteza. Hata Iraq sehemu ambayo kambi nyingi zimefumuliwa kuna baadhi ya kambi wanajeshi wa US bado wapo.
 
Back
Top Bottom