Iran walipue visima vyote vya mafuta vya israelLive video Haifa refinery ilivyopigwa
View attachment 3564567
Satellite image ikionesha how precise tank lilivyokuwa targeted.
View attachment 3564568
Video nyengine ikionesha kwa karibu Moto unavyosambaa
View attachment 3564569
Hapa Iran ndio ataumia sababu uchumi wake unategemea sana mafuta na gesi tofauti na Israel ambaye si sana japo pia ana visima ni vichache kidogo vya gesi ila vya mafuta hata matumzi ya ndani havitoshi!Iran walipue visima vyote vya mafuta vya israel
Israel nao walipue visima vyote na vyanzo vyote vya mafuta vya iran.
Oil refinery ya Myahudi Haifa imelipuliwa leo.
View: https://m.youtube.com/watch?v=Eacox7qul5M&pp=ugUEEgJlbg%3D%3D
Kambi nyingine ya US Baghdad Iraq leo imepigwa na baadhi ya ndege zake zimelipuliwa.
View: https://m.youtube.com/watch?v=J0sf6xk3eZ4&t=69s&pp=ugUEEgJlbg%3D%3D
Kwa hiyo sasa ni mwendo wa kulipua visima sio ??
Iran inaweza kweli kuvumilia kweli UTI wake wa mgongo ukivunjwa mbele yake
Israel yeye technology ndo UTI wake wa mgongo
Kwa hiyo sasa ni mwendo wa kulipua visima sio ??
Iran inaweza kweli kuvumilia kweli UTI wake wa mgongo ukivunjwa mbele yake
Israel yeye technology ndo UTI wake wa mgongo
We Msabato acha fujo.MWAGA MOTO MWINGI KAMA MADRAGONI 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
UKWELI AMBAO PRO IRAN HAWATAWAAMBIENI
Trump said Monday that Iran had agreed to allow 20 ships carrying oil through the Strait of Hormuz starting this morning and continuing over the next few days “out of a sign of respect.”
He also confirmed that Iran had responded to the 15-point ceasefire plan the US proposed.
Read more in the comment section below 👇View attachment 3564366
Sasa itakuwaje Sisi Wakristu tulio aminishwa kwamba: Israel ni tàifa teule la Mungu, tàifa lililobarikiwa. Tuliambiwa ukiigusa Israel umemgusa Mungu, na hatimaye utaalaniwa.Live video Haifa refinery ilivyopigwa
View attachment 3564567
Satellite image ikionesha how precise tank lilivyokuwa targeted.
View attachment 3564568
Video nyengine ikionesha kwa karibu Moto unavyosambaa
View attachment 3564569
😀😀Sasa itakuwaje Sisi Wakristu tulio aminishwa kwamba: Israel ni tàifa teule la Mungu, tàifa lililobarikiwa. Tuliambiwa ukiigusa Israel umemgusa Mungu, na hatimaye utaalaniwa.
Sasa, inàmaana Iran inakwenda kulaaniwa na Mungu kwa kuigusa Israel?
Hii inaitwa Mbombo ngafu; ukimwaga Ugali Mimi namwaga Mboga.
Tupo!Tatzo pro USA Na Israel wamekimbia
Vyanzo vimeiambia BBC kuwa mji mkuu wa Iran, Tehran, ulikumbwa na mashambulizi makubwa ya anga usiku kucha, huku milipuko mikubwa ikisikika katika maeneo mbalimbali ya jiji.
Vyombo vya habari vya Iran vimeripoti kuwa mifumo ya ulinzi wa anga ya jiji hilo iliwashwa ili kukabiliana na mashambulizi hayo, wakati wakazi wakieleza kusikia milipuko mfululizo.
Kwa sasa, muda ni saa 11:30 alfajiri kwa saa za Tehran (saa 07:30 usiku kwa saa za GMT), na hali bado inaelezwa kuwa ya taharuki katika maeneo kadhaa ya mji huo.
Mashambulizi hayo ni sehemu ya ongezeko la mvutano wa kijeshi unaoendelea katika eneo hilo, ambapo mashambulizi ya anga yamekuwa yakilenga miundombinu ya kijeshi ndani ya Iran, ikiwemo maeneo ya Tehran.
Mapigano ya leo ni mazito, miundombinu ya Iran imechakazwa sana ingawa nao wamejibu mapigo ila kiwango walichopigwa ni kizito.
NETANYAHU MWAGA MOTO KAMA MADRAGONI🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥