Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Kwa lugha hizi, Kuna Baraza la Usalama la UN kweli? Hapa Kila nchi ijivike mabomu, kumzuia "huyu".
===
To be honest with you, my favourite thing is to take the oil in Iran, but some stupid people back in the US say: ‘Why are you doing that?’ But they’re stupid people,” Trump said in an interview on Sunday.

“Maybe we take Kharg Island, maybe we don’t. We have a lot of options,” Trump added. “It would also mean we had to be there [on Kharg Island] for a while.”

The US president dismissed the possibility that Tehran would put up a fierce fight, saying: “I don’t think they have any defence. We could take it very easily.”
UN haiwezi hata kuchukulia hatua wauaji wa Tz itaweza wa USA?
 
MWAGA MOTO MWINGI KAMA MADRAGONI 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥


Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) limethibitisha rasmi kwamba kamanda wa jeshi la majini la Iran, Alireza Tangsiri, ameuawa katika shambulio la kombora lililorushwa na Israel.
 
MWAGA MOTO MWINGI KAMA MADRAGONI 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥

Moja ya jambo ambalo linastaajabisha: Ni Israeli kutangaza vifo vya wakuu na majenerali wa Iran kabla ya Iran wenyewe. Yaani mamlaka ya Iran hasa IRGC imekuwa mthibitishaji wa mauaji inayofanya Israeli kwa wakuu wake. Hili ni dhihirisho kwamba Mossad ni chombo hatari sana katika eneo la ujasusi. Na inaonesha wa full data ya movement ya viongozi wa Iran.

Iran wamefail sana

Magaidi wamefeli sana
 
Iran inakwenda kutia kiberiti mgongo wa kiburi wa mazayuni.

Hao mazayuni wanaonea hadi Wakiristo huko Holly Land. Hawafai hata kidogo
Iran umeme hakuna,internet hakuna

Mmebaki na propaganda eti wanaonea wakristo

Mbona husemi jinsi Iran inavyozuia na kuminya uhuru wa dini ya Ukristo ,hakuna hata kanisa moja hapo Iran

Msikilize Netenyahu kuhusu wakristo hapo Yerusalemu,

Katolea ufafanuzi ,ila hapa unaleta story za madrasa
Screenshot_20260330-202522_1.jpg
 
Iran umeme hakuna,internet hakuna

Mmebaki na propaganda eti wanaonea wakristo

Mbona husemi jinsi Iran inavyozuia na kuminya uhuru wa dini ya Ukristo ,hakuna hata kanisa moja hapo Iran

Msikilize Netenyahu kuhusu wakristo hapo Yerusalemu,

Katolea ufafanuzi ,ila hapa unaleta story za madrasa View attachment 3564709
Mtu yeyote mwenye akili timamu anajua kuwa mikusanyiko sasa hivi huko Israel hairuhusiwi. Ila kwasababu wameona wanaonewa acha wakasali Mungu atawalinda.
 
Wanajanvi tokea jana nasikia jeshi la marekani special force limeshafika mashariki ya kati. Sijasikia wakisema wamefikia ktk nchi gani hapo far east. Mwenye kujua afaamishe ili tukawasalimia na vimondo
Si kuna mtu aliandika humu walifika na Iran ishaua 300! Hii thread ina habari ambazo hata huko Iran na Israel hakuna.
 
Hii vita itaenda kuchange vitu vingi sana,hasa mitizamo ya kisiasa,kiuchumi kwa nchi za EU zidi ya US.

Spain kapiga marufuku US kutumia anga lake kwa ajili ya kuishambulia Iran.

View: https://m.youtube.com/shorts/qey5KMZgEgQ

Watu washamchoka na nimemuona Waziri mkuu wa UK ,jana alisisitiza hatotoa mwanajeshi hata mmoja kwenye vita hii ya Iran.
 
Reports from Iran claim that the massive blackout in Tehran may have been caused by “graphite bombs,” a non-lethal weapon designed to shut down electricity without permanently damaging infrastructure.

The weapon works by dispersing conductive graphite fibers over power systems, causing short circuits and widespread outages. It has previously been used by the United States in conflicts like the Gulf War and Yugoslavia.

There is no confirmation that Israel used such weapons, and no official evidence supporting the claim. Experts note that if such technology was used, it is more likely linked to US capabilities.
 
Iran is upping the ante!

IMG_9535.jpeg


Hii ni vita isiyo na maana yoyote ile.

Iran ina haki zote za kuwa na silaha za aina yoyote ile kwa minajili ya kujilinda.

Pata picha kama Iran ingekuwa haina silaha zozote za maana za kujilinda sasa hivi!

Ingekuwa ishafanywa koloni la Marekani na Israel.

Kwenye hii vita wachokozi ni Marekani na Israel.
 
Huyu Rais wa Marekani hata haeleweki na kuna kila dalili kwamba aliburuzwa na Netanyahu kuingia kwenye hii vita.

Mara aseme anataka unconditional surrender, mara anasema Iran asipofungua Hormuz basi atalipua kila kitu ndani ya Iran, mara atoe siku tano, mara aziongeze tena hizo siku tano hadi siku sijui kumi na ngapi, mara aseme Iran wanambembeleza wafanye mazungumzo naye, na sasa kaja na hii ya kwamba hata Hormuz isipofunguliwa anaweza akamaliza vita!

Ukisikia kukurupuka ndo huku sasa! Unakuwa hata hueleweki unachokitaka ni nini.

IMG_9538.jpeg
 
MWAGA MOTO MWINGI KAMA MADRAGONI 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥


Shembulio la Israel na Marekani katika Mji wa Isfahan huko nchini Iran, majira ya saa 8:09 usiku wamepiga hilo tukio katka Mji wenye Wakazi 2.8 nchini Iran 🇮🇷

🎥 Mamlekate / X
Screenshot_20260331-080602_1.jpg
 
Hii vita itaenda kuchange vitu vingi sana,hasa mitizamo ya kisiasa,kiuchumi kwa nchi za EU zidi ya US.

Spain kapiga marufuku US kutumia anga lake kwa ajili ya kuishambulia Iran.

View: https://m.youtube.com/shorts/qey5KMZgEgQ

Watu washamchoka na nimemuona Waziri mkuu wa UK ,jana alisisitiza hatotoa mwanajeshi hata mmoja kwenye vita hii ya Iran.

🤣😄 Kwamba ameshakuwa paper tiger Ama niaje !?
 
Back
Top Bottom