tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 27,843
- 29,350
Propaganda za kimarekani hizo.General Cooper jana anakwambia mpaka sasa hawajatumia hata uwezo asilimia tano wa kijeshi na nguvu zao.
Propaganda za kimarekani hizo.General Cooper jana anakwambia mpaka sasa hawajatumia hata uwezo asilimia tano wa kijeshi na nguvu zao.
Unafikiri wanaonesha damage zote mkuu? Propaganda za kivita huzijui kumbe!😨😳Mbona damage wanazopata Marekani na Washirika wake tunaonyeshwa tena na Wamarekani wenyewe,mfano juzi tuu ile ndege iliyoharibiwa.
Kwa akili zako mtu anaerusha missile za 2000km na drone akiwa amekaa kwake na hapo kwake pia kujilinda hawezi,na yule mtu anaekushambulia kwako atakavyo tena kwa kutumia njia zote kuanzia angani,majini na nchi kavu nani atakaeshinda hiyo vita? Formula rahisi tuu hiyo kama ilivyo kwa mpira wa miguu kuwa anaeshambulia zaidi na kuilinda vizuri ndio atakaeshinda kombe.Unafikiri wanaonesha damage zote mkuu? Propaganda za kivita huzijui kumbe!😨😳
Huyo Iran kashindwa kuzamisha hata meli moja ya Marekani na zipo katika Pwani yake.Propaganda za kimarekani hizo.
Hawa iran nao wasituzingue kama wameshindwa waseme
wawepiga wapi na wamepga nini?Muda si mrefu wamepiga huko Israel, tena wamepiga haswa
Ukifuatilia taarifa kutoka vyanzo mbalimbali vya habari ndani ya Israel na Iran kiukweli wote wana hali mbaya japo hali ni mbaya zaidi kwa upande wa Iran. Binafsi nawapongeza Iran kwa kukataa unyonge maana haiwezekani mtu atoke huko aje nyumbani kwako akuzabe makofi mbele ya mke na watoto wako bora akuue kabisa ijulikane moja.
Wanakuonesha wanachotaka uone, mabaki ya F35 umeoneshwa? Hizo F-XX zaidi ya 16, umeoneshwa? Pamoja na hio Ndege ya Radar zimepigwa za mafuta kibao umeoneshwa?Mbona damage wanazopata Marekani na Washirika wake tunaonyeshwa tena na Wamarekani wenyewe,mfano juzi tuu ile ndege iliyoharibiwa.
Hakuna Meli za USA ambazo zipo pwani ya Iran na hata Lincolin na Ford zimepigwa mbali mno, Ford ilikua imepaki karibu na Israel na Lincolin kama kumbukumbu zipo sahihi imepigwa km 300 kabla hujafika Iran, zote zime retreat, hizo ni Nimtiz class carrier ambazo zinabeba Ndege karibia 100 na wafanyakazi zaidi ya 10,000 ni midude hasaHuyo Iran kashindwa kuzamisha hata meli moja ya Marekani na zipo katika Pwani yake.
Hezbollah wanapeperusha bendera ndani ya Israel, mpaka Meya analia live kwamba watu karibia wote wamehama mji, wanamalizwa na Hezbollah, ndani ya Iran kuna wanajeshi wangapi wa Israel na USA?Kwa akili zako mtu anaerusha missile za 2000km na drone akiwa amekaa kwake na hapo kwake pia kujilinda hawezi,na yule mtu anaekushambulia kwako atakavyo tena kwa kutumia njia zote kuanzia angani,majini na nchi kavu nani atakaeshinda hiyo vita? Formula rahisi tuu hiyo kama ilivyo kwa mpira wa miguu kuwa anaeshambulia zaidi na kuilinda vizuri ndio atakaeshinda kombe.
Hezbollah kaharibu vifaru vyao zaidi ya 129 ni mwendo wa kuwavizia na ambush, US nao wapo wanatoa msaada,ila huo ukanda mapambano ni makali sana.Hezbollah wanapeperusha bendera ndani ya Israel, mpaka Meya analia live kwamba watu karibia wote wamehama mji, wanamalizwa na Hezbollah, ndani ya Iran kuna wanajeshi wangapi wa Israel na USA?
Sasa hivi Hezbollah live wanaonesha vita vyao namna wanavyowazunguka Israel na kuwaua, all the time ni Helicopter zinaondoka kaskazini mwa Israel kurusmdisha majeruhi na maiti.
Hatari sasa itakuwaje Machadema wengi wapo upande wa UAE na Israel bin Marekani!!!! Sijui kama watakuelewa🤠🤠Iran akifanikiwa kuuangusha utawala wa UAE, basi huenda Loliondo yetu ikakombolewa, Wamasai hawatafukuzwa ngorongoro, na Wanyama wetu watapona kutoroshwa.
Iran piga kazi
Laiti ungejua hao waarabu ni wangazija,wakwere,wamakunduchi etc hata usingewaza hivyoIran akifanikiwa kuuangusha utawala wa UAE, basi huenda Loliondo yetu ikakombolewa, Wamasai hawatafukuzwa ngorongoro, na Wanyama wetu watapona kutoroshwa.
Iran piga kazi