Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Iran amebakiza mtihani mmoja tu baasi.

Kulenga na kuua viongozi wa adui.

Akifaulu mtihani huu basi mataifa adui watamheashim

Tatizo mkuu sio kulenga Adui !!!

tatizo je wewe utajua kuwa kauwawa Uyo kiongozi!!!

apo chacha Mana Marekani na Israel wanafanana mipango yao yakubana MEDIA!!!

so tatizo uwa hawawezi Sema au kutangaza ikiwa wajeshi wao au raia wao bado wanaficha Dunia isijue.¿¿

Vipi kwa Viongozi wao wowote wawe wa IDF au Serikali Watasema kweli !!!!!!!!!
Hapana hawezi Sema!!

Dawa yao ni kupeleka MOTO tu watajuana wenyewe kafa nani nani bado yupo hai !!!

ukiona kwenye mikutano yao kwasasa hatuwaoni unajiongeza!!!

pengine washakufa wengi tu lkn wanaficha!!!

Tofaut na Iran tatizo lipo apo. Utokuja kusikia wakisema mtu wao kafa..💩
 
IRAN HAKUNA UMEME

Umeme umekatika katika baadhi ya maeneo ya mji mkuu wa Iran, Tehran, pamoja na mkoa wa Alborz, baada ya mashambulizi dhidi ya miundombinu, kwa mujibu wa wizara ya nishati ya Iran.
Vipande vya mabaki ya milipuko (shrapnel) vimegonga sehemu ya mtandao wa umeme katika mkoa wa Alborz, na kusababisha kukatika kwa umeme katika maeneo kadhaa ya Tehran na mji wa Karaj, vyombo vya habari vya serikali vimeripoti. Pia vimeongeza kuwa mamlaka zinaendelea na jitihada za kurejesha huduma ya umeme
FB_IMG_1774812221314.jpg
.
 
We jamaa kiazi kweli .

Huoni Aya zinasema nasema nili yaani ni past tense na sio milele ?

Walichaguliwa na walikuwa bora kwa wakati wao na Aya haina viashiria kuwa ni watakatifu na wateule milele ?
Uliwalaani lini?

Mudy kaandika hizo Aya Tena kwa kusikia mwaka 600AD

Kwahiyo walilaaniwa lini?🤣🤣

Still mudy anasema mkiwa na shaka muwaulize wayahudi na manaswara au waliopewa kitabu

Swali ,Mudy hakujua kama wamelaaniwa Hadi anawatuma muwaulize?🤣🤣

Ukijibu nitajua una akili timamu au ushadanganywa na masheikh ubwabwa
 
Vyanzo vimeiambia BBC kuwa mji mkuu wa Iran, Tehran, ulikumbwa na mashambulizi makubwa ya anga usiku kucha, huku milipuko mikubwa ikisikika katika maeneo mbalimbali ya jiji.

Vyombo vya habari vya Iran vimeripoti kuwa mifumo ya ulinzi wa anga ya jiji hilo iliwashwa ili kukabiliana na mashambulizi hayo, wakati wakazi wakieleza kusikia milipuko mfululizo.

Kwa sasa, muda ni saa 11:30 alfajiri kwa saa za Tehran (saa 07:30 usiku kwa saa za GMT), na hali bado inaelezwa kuwa ya taharuki katika maeneo kadhaa ya mji huo.

Mashambulizi hayo ni sehemu ya ongezeko la mvutano wa kijeshi unaoendelea katika eneo hilo, ambapo mashambulizi ya anga yamekuwa yakilenga miundombinu ya kijeshi ndani ya Iran, ikiwemo maeneo ya Tehran.
 
Prime Minister Benjamin Netanyahu on Sunday said Israeli actions are creating “visible cracks in the terror regime in Tehran.”

“Iran is not the same Iran,” he said. “Hezbollah is not the same Hezbollah, and Hamas is not the same Hamas.”

The three, he said, are “battered enemies fighting for their very existence.”

“Instead of them surprising us, we are surprising them,” he said. “We are the side that is acting, we are the side that is attacking, we are the side that is initiating, and we are deep in their territory.”
 
UKWELI AMBAO PRO IRAN HAWAWEZI KUKUAMBIA KAMWE

Just Today Israel has already attacked Iran more than 6 times even taking the military commander but Iran only retaliates once

Airstrikes targeted the Shiraz Electronics Industries on Sunday, with black smoke seen rising from the site, according to videos received by Iran International. The area belongs to Iran’s defense industries and has been hit multiple times in recent attacks.
 
Uliwalaani lini?

Mudy kaandika hizo Aya Tena kwa kusikia mwaka 600AD

Kwahiyo walilaaniwa lini?🤣🤣

Still mudy anasema mkiwa na shaka muwaulize wayahudi na manaswara au waliopewa kitabu

Swali ,Mudy hakujua kama wamelaaniwa Hadi anawatuma muwaulize?🤣🤣

Ukijibu nitajua una akili timamu au ushadanganywa na masheikh ubwabwa
Mbona swala la laana unalileta wewe na Mimi hakuna mahali nimetaja laana au kusema watu Fulani wanelaamiwa ?

Kama laana ndio , wapo baadhi ya waliolaaniwa kutokana na uovu wao na maandiko yapo.

Kuna ubaya gani kuuliza kwa watu ?

Mbona akili zako kipa katoka golini unajitengenezea jambo mwenyewe wapi nimesema kuwa Kuna watu wamelaaniwa ?
 
Kwahiyo unakubali wamebarikiwa ,safi

Kawafundishe wenzako sasa

Au muendelee kudanganyana
 
UKWELI AMBAO PRO IRAN HAWAWEZI KUWAAMBIA

The International Atomic Energy Agency says Iran’s heavy water production plant at Khondab, which the country reported had been attacked on March 27, has suffered severe damage and is no longer operational.
FB_IMG_1774815497267.jpg
 
Mapigano ya leo ni mazito, miundombinu ya Iran imechakazwa sana ingawa nao wamejibu mapigo ila kiwango walichopigwa ni kizito.

NETANYAHU MWAGA MOTO KAMA MADRAGONI🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
 
NETANYAHU MWAGA MOTO KAMA MADRAGONI🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Iranian IRGC commander Hassan Hassanzadeh has reportedly been killed in Tehran amid the US-Israeli war with Iran.
FB_IMG_1774816059015.jpg
 
PRO IRAN NA WATETEZI WA MAGAIDI HAWAWEZI KUWAAMBIENI HALI YA SASA

The IAEA says Iran’s heavy water production plant at Khondab, which the country reported had been attacked on March 27, has suffered severe damage and is no longer operational.
 
Kwahiyo unakubali wamebarikiwa ,safi

Kawafundishe wenzako sasa

Au muendelee kudanganyana
Sasa unajiona uliyokuwa mweupe kichwani mpaka napata mashaka hata shule hauna ?

Kwa akili yako chuoni (university) ulikuwa unashiriki kwenye debate kweli ?

Kwa pakisemwa mtu Fulani hajalaaniwa basi anakuwa amebarikiwa automatically ?

Kusema Africa hatujalaaniwa ni sawa na Kukubali kuwa waafrika tumebarikiwa ?

Kubarikiwa ni nini na kulaaniwa ni nini na je , hakuna neutral state ?
 
NETANYAHU MWAGA MOTO KAMA MADRAGONI🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu says he has ordered the military to further expand its operations in southern Lebanon, citing continued rocket fire by Hezbollah.
 
Sasa unajiona uliyokuwa mweupe kichwani mpaka napata mashaka hata shule hauna ?

Kwa akili yako chuoni (university) ulikuwa unashiriki kwenye debate kweli ?

Kwa pakisemwa mtu Fulani hajalaaniwa basi anakuwa amebarikiwa automatically ?

Kusema Africa hatujalaaniwa ni sawa na Kukubali kuwa waafrika tumebarikiwa ?

Kubarikiwa ni nini na kulaaniwa ni nini na je , hakuna neutral state ?
Sijui KWANINI ila waislamu hajawahi kuwa na akili ,nadhani sababu muanzilishi wa dini yenu alikuwa mbumbumbu

Ngoja nikuache tu maana akili zenu mnazijua wenyewe
 
Back
Top Bottom