AlP0L0
JF-Expert Member
- Apr 23, 2011
- 7,069
- 5,899
Mkiambiwa hili Taifa limelaaniwa muwe mnaelewa, hawa watu hawataonja amani hata siku moja.Ila israel....
Mda wote yuko vitani, ni lini hawa watu watapumnzika kupigana
Mkiambiwa hili Taifa limelaaniwa muwe mnaelewa, hawa watu hawataonja amani hata siku moja.Ila israel....
Mda wote yuko vitani, ni lini hawa watu watapumnzika kupigana
Marekani si wajinga kiasi hicho kuziacha ndege kwenye hatarishi, Anyway ninyi endeleeni tu kujifariji maana kipondo mnachopata ni kikubwa sana!!
Radar zinahamishika, mfano batteries za air defenses kuanzia za Russia , USA , China n.k zinabebwa na gari(trucks), mfumo mzima wa air defense au battery unaokamilishwa na launchers, command centers, and radar, na zinaweza kufanya kazi kwa ushirikiano hata zikikaa maeneo ya mbali tofauti, mfano gari iliyobeba radar inaweza kuwa Kigamboni, launcher ikakaa Mbezi na command center ikakaa Posta... na zinafanya kazi vizuri kwa ushirikiano na kukamilisha mfumo mzima.Tumia akili zako vizuri radar haihamishiki unless otherwise!! Ndege unaweza irusha ukaipeleka KIA
Ndio matatizo ya kuanzisha vita bila kuwa na clear objectives na exist strategy.Hii vita hadi sasa ni kama US inaanza kurudi nyuma.
Trump hadi sasa anachopambania ni kutoonekana ameomba mazungumzo, kwa tafsiri ya Trump anaona kuimba Iran kufanya mazungumzo ni kama kujishusha na kuipigia magoti Iran.
Iran nayo hii vita ya sasa wanataka kuhakikisha US na Israel wanaisoma namba.. hadi sasa malengo makuu ya Israel na US hayajafikiwa huku Iran ikiwa imefanikiwa katika malengo yake hasa kulinda dola yake , kufunga malngo bahari wa Hormuz na kutembeza kipigo mashariki ya kati yote.
Kuna nchi sasa mashariki ya kati wameshika daftari na kalamu, wakifuatilia kwa umakini hasa mbinu za Iran za kivita, nina uhakika baada ya hii vita Israel itakuwa na mazingira magumu zaidi kufanya uonevu wake mashariki ya kati.
Nina mashaka sana na uwezo wa Trump wa kufikiria, nina imani siku moja Trump atazungumza jinsi gani Netanyahu amemponza na kumuangusha, na hata asiposema hadharani kuna watu wake wa karibu ataawambia. Tujipe muda, hii vita US kajichanganya, na wengi wetu humu tulisema mapema sana hapa.
Iran iendeleze msimamo wake kwa miezi kama mitatu ili kummaliza kabisa Trump
Imefikia muda Trump anaomba mazungumzo kwa nguvu, yote hio ni kutokubali makosa, Trump huwa anatuna sana, ukimuona jinsi anavyoongea hata na marais wenzake oval office pale utagundua hilo, kama ulishuhudia alivyokuwa akizungumza na Ramaphosa au Zelensky pale oval office utahuzunika.Ndio matatizo ya kuanzisha vita bila kuwa na clear objectives na exist strategy.
Regime change Iran haiwezekani na Kuna namna U.S washajua Hilo kadri Iran wanavyoshikilia Bomba Kuna watu wataachia Bomba.
“The wife of Avichay Adraee has been killed.
Israelis mourn the death of Nobara Sahitz, his wife, after an Iranian missile reportedly struck her home in Tel Aviv.
She was eight months pregnant and left behind two small dogs and a larger dog.”View attachment 3564018
Wairan waharibifu sana!!!
Wazee, hivi kuliunga hili dege liwe kama jipya shilingi ngapi!?
Hatuwezi kulinunua kwa bei rahisi, tukawapa JWII walitumie!?
View attachment 3564144
Waache kulaaniwa waarabu wapumbavu ,Mkiambiwa hili Taifa limelaaniwa muwe mnaelewa, hawa watu hawataonja amani hata siku moja.