Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Times of Israel;
Hizbollah are fighting inside Northern Israeli borders,clashes are reported inside Kiryat Shmona,Galilee and Metula.

Ndio maana Mayor wa Kiryat Shmona na Galilee waliifokea serikali kuwa wameshindwa kulinda raia wa hayo maeneo.
Ila israel....
Mda wote yuko vitani, ni lini hawa watu watapumnzika kupigana
 
Times of Israel;
Hizbollah are fighting inside Northern Israeli borders,clashes are reported inside Kiryat Shmona,Galilee and Metula.

Ndio maana Mayor wa Kiryat Shmona na Galilee waliifokea serikali kuwa wameshindwa kulinda raia wa hayo maeneo.

Na IDF wakavunja Madaraja ya kuelekea panda zao!!!

ukweli Hezbollah inakiwasha kinoma ndiomana IDF imeuwa watu wa MEDIA izo pande!!!

Nafuta vumbi Passport yangu ule muda wa kugawana Vibint ya kizayuni upo karibu sana.🧚‍♀️🤠🤠
 
Netanyahu kafa tangu March 8

Nilisema apa kama wiki sasa🤠🤠

Netanyahu watazuga kumtaftia kashfa kisha tutaambiwa kujiuzulu kwa iyo kashfa ndio kwishaaa habari ya Netanyahu 💀🤠🤠

Israel watateuwa PM mpya na MEDIA kubwa zitapewa pesa zenyewe zitaongelea tu iyoo kashfa na kujiuzulu kwake Netanyahu

sio zaidi

Siku moja moja tutasikia Netanyahu anaenda Mahakamani lkn ndio ivyo kitengo cha Propaganda cha IDF kinakuwa kazini na AI

Narudia NETANYAHU kafariki,, kuja kujua ni miaka kadhaaa!!!

au Serikali ya Israel idondoke tutajua mengi tu kipindi ichi ,
Huu uongo mnajifunzia kwenye vijiwe vyenu sio
 
Tulidanganywa sana na kina👇👇
 

Attachments

  • IMG-20260325-WA0021.jpg
    IMG-20260325-WA0021.jpg
    173.1 KB · Views: 11
“The wife of Avichay Adraee has been killed.

Israelis mourn the death of Nobara Sahitz, his wife, after an Iranian missile reportedly struck her home in Tel Aviv.
She was eight months pregnant and left behind two small dogs and a larger dog.”
20260329_104001.jpg
 

Thousands of US marines arrive in Middle East​


Thousands of US sailors and marines have arrived in the Middle East on a warship, US Central Command has announced.

09:31

 
Wewe na mmeo zitto junior ni walewale hamjitambui kabisa!!
Wewe ndio hujitambui mada 3 zote zimeandikwa SI KWELI na Jamiicheck. Lini umewahi ona post yangu nimeandika uzushi? Zote ni facts na zinakua na reference tena kwa media za West unazoziamini.

I'm not your class tafuta wajinga wenzio wa kujilinganisha nao.
 
Back
Top Bottom