Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Sasa mbona umegawanyika unacheza miguu yote haaaa Uku Iran uku Israel 😜😜😜
Mbona haya mambo unayachukulia serious hivyo ndugu.

Sisi watazamaji tunataka update za pande zote mbili jinsi wanavyobamizana.

Hao wairani na waizrael WOTE WA HOVYO TU.huna haja ya kuparurana na watanzania wenzako kwaajili ya hiyo mijangiri.
 
🚨 BREAKING: Hezbollah Forces Push Deep into Northern Israel – Galilee Communities Overrun, Mass Evacuations in Chaos
Hezbollah Riedwaan, armed with advanced Iranian weapons, has broken through the northern border and is now fighting inside Israeli territory in the Galilee region.
Israeli media report intense clashes near Kiryat Shmona and Metula, with several IDF outposts captured. The Home Front Command ordered immediate mass evacuations, causing total gridlock on southern roads.
Footage shows Hezbollah fighters operating well inside Israel. This is the deepest Hezbollah incursion into Israel in history.
(Sources: Channel 13 Israel, Al Jazeera on-ground reporters, Hezbollah military media, IDF Home Front Command – verification ongoing.)
#HezbollahInsideIsrael #NorthernIsraelInvasion #IranProxyPower #IsraelWeak #BreakingNews
War and Peace – Real-time global conflict updates. Share for latest updates.
20260329_075751.jpg
 
🚨 BREAKING: Hezbollah Forces Push Deep into Northern Israel – Galilee Communities Overrun, Mass Evacuations in Chaos
Hezbollah Riedwaan, armed with advanced Iranian weapons, has broken through the northern border and is now fighting inside Israeli territory in the Galilee region.
Israeli media report intense clashes near Kiryat Shmona and Metula, with several IDF outposts captured. The Home Front Command ordered immediate mass evacuations, causing total gridlock on southern roads.
Footage shows Hezbollah fighters operating well inside Israel. This is the deepest Hezbollah incursion into Israel in history.
(Sources: Channel 13 Israel, Al Jazeera on-ground reporters, Hezbollah military media, IDF Home Front Command – verification ongoing.)
#HezbollahInsideIsrael #NorthernIsraelInvasion #IranProxyPower #IsraelWeak #BreakingNews
War and Peace – Real-time global conflict updates. Share for latest updates.View attachment 3563977
Hawa watu wana laana.
Nchi zenyewe ni majangwa, je wangekuwa na misitu kama ya kongo si wangepigana kwa nyuklia
 
Netanyahu kafa tangu March 8

Nilisema apa kama wiki sasa🤠🤠

Netanyahu watazuga kumtaftia kashfa kisha tutaambiwa kujiuzulu kwa iyo kashfa ndio kwishaaa habari ya Netanyahu 💀🤠🤠

Israel watateuwa PM mpya na MEDIA kubwa zitapewa pesa zenyewe zitaongelea tu iyoo kashfa na kujiuzulu kwake Netanyahu

sio zaidi

Siku moja moja tutasikia Netanyahu anaenda Mahakamani lkn ndio ivyo kitengo cha Propaganda cha IDF kinakuwa kazini na AI

Narudia NETANYAHU kafariki,, kuja kujua ni miaka kadhaaa!!!

au Serikali ya Israel idondoke tutajua mengi tu kipindi ichi ,
Wewe na mmeo zitto junior ni walewale hamjitambui kabisa!!
 
🚨 BREAKING: Hezbollah Forces Push Deep into Northern Israel – Galilee Communities Overrun, Mass Evacuations in Chaos
Hezbollah Riedwaan, armed with advanced Iranian weapons, has broken through the northern border and is now fighting inside Israeli territory in the Galilee region.
Israeli media report intense clashes near Kiryat Shmona and Metula, with several IDF outposts captured. The Home Front Command ordered immediate mass evacuations, causing total gridlock on southern roads.
Footage shows Hezbollah fighters operating well inside Israel. This is the deepest Hezbollah incursion into Israel in history.
(Sources: Channel 13 Israel, Al Jazeera on-ground reporters, Hezbollah military media, IDF Home Front Command – verification ongoing.)
#HezbollahInsideIsrael #NorthernIsraelInvasion #IranProxyPower #IsraelWeak #BreakingNews
War and Peace – Real-time global conflict updates. Share for latest updates.View attachment 3563977
Endeleeni kudanganyana tu Hezbollah hawana lolote mbele ya majeshi ya Israel!! IDF sasa hivi wako ndani ya Lebanon kusini wako kwenye mto Litan ndani ya Lebanon harafu wewe unaleta habari za vijiweni
 
Mbona haya mambo unayachukulia serious hivyo ndugu.

Sisi watazamaji tunataka update za pande zote mbili jinsi wanavyobamizana.

Hao wairani na waizrael WOTE WA HOVYO TU.huna haja ya kuparurana na watanzania wenzako kwaajili ya hiyo mijangiri.
Huwa nashangaa hawa watu nini kinawaumiza hivi wakati hao wanappigana wanawaona ni nyani tu.
 
Wala usiwalaumu hii vita iliapaswa kutokea ili Dunia ijue kwamba USA na Israel wako overrated now wana umbuka

Maisha ni mathematics ukikosea tu lazima kikulambe
Sahiz Iran anajiandaa kupata uhalali wa kutumia vitu nzito nzito, maana kaona kwa dozi anayotembeza lazima yale ya Hiroshima yatamkuta, maana ndo falsafa za marekani, ukimzidi anaku-nuke. Sasa Iran hajaja kucheka na wowote. soma chapisho la Al Jazeera hapo chini.

Times of Israel;
Hizbollah are fighting inside Northern Israeli borders,clashes are reported inside Kiryat Shmona,Galilee and Metula.

Ndio maana Mayor wa Kiryat Shmona na Galilee waliifokea serikali kuwa wameshindwa kulinda raia wa hayo maeneo.
 
Back
Top Bottom