joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,513
- 41,719
Iran aliziambia nchi za middle east kwamba raia wao wakae mbali na maeneo ambayo wanajeshi na wanadiplomasia wa US wanajificha. Leo kapiga Kuwait, Oman na Ghala ambalo US alihifazi drone toka Ukraine ambalo lipo Dubai.
View: https://m.youtube.com/watch?v=-RW5XZRq_I0
View: https://m.youtube.com/watch?v=-RW5XZRq_I0