Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Trump leo kalopoka mwenyewe, kwamba Ford ilipigwa mara 17 mwanzoni tuliambiwa mlipuko.

Yaani mlipuko uunguze zaidi ya vitanda mia sita,watu 200 wajeruhiwe na mlipuko uchukue masaa 30 kuuzima, haiingii akilini ila leo kalopoka mwenyewe. Jana na juzi Lincoln imepigwa tena ila US wamekaa kimya ila kuna siku Trump atalopoka tena. Leo kwenye hotuba yake kamtuka Mfalme wa Saudi, yaani Trump design kama kavurugwa.
US si asitishe vita kama anapokea kichapo hivyo dah! Inaonekana Iran majamaa yameamua tu kujizima data.
 
Trump leo kalopoka mwenyewe, kwamba Ford ilipigwa mara 17 mwanzoni tuliambiwa mlipuko.

Yaani mlipuko uunguze zaidi ya vitanda mia sita,watu 200 wajeruhiwe na mlipuko uchukue masaa 30 kuuzima, haiingii akilini ila leo kalopoka mwenyewe. Jana na juzi Lincoln imepigwa tena ila US wamekaa kimya ila kuna siku Trump atalopoka tena. Leo kwenye hotuba yake kamtuka Mfalme wa Saudi, yaani Trump design kama kavurugwa.
HEXhFY5bYAESsI6.jpeg
 
Trump leo kalopoka mwenyewe, kwamba Ford ilipigwa mara 17 mwanzoni tuliambiwa mlipuko.

Yaani mlipuko uunguze zaidi ya vitanda mia sita,watu 200 wajeruhiwe na mlipuko uchukue masaa 30 kuuzima, haiingii akilini ila leo kalopoka mwenyewe. Jana na juzi Lincoln imepigwa tena ila US wamekaa kimya ila kuna siku Trump atalopoka tena. Leo kwenye hotuba yake kamtukana Mfalme wa Saudi, yaani Trump design kama kavurugwa.
Leta source na video tumtumie yule mjuaji wa kipuuzi aliyekuwa anaandika essay za uozo wiki iliyopita akitetea kwamba eti moto ni kwa sababu ya hitilafu
 
Inasemekana Hesbullah wanatembeza kichapo cha maana huko.
Iran bado anasema anaoption nyingi.
Kufunga ile ghuba nyingine kule karibu na Yemen.
Kukata cable za Internet baharini ambazo zinachangia karibu 40% ya mawasiliano Duniani.

Hii ngoma bado mbichi sana, na kadili wanavyoua viongozi wa kiraia wahuni wa IRGC wanabaki wakiendesha vita bila maelekezo.
Kabisaa
Cheki hapa

View: https://x.com/i/status/2037861818505294277
 
Trump leo kalopoka mwenyewe, kwamba Ford ilipigwa mara 17 mwanzoni tuliambiwa mlipuko.

Yaani mlipuko uunguze zaidi ya vitanda mia sita,watu 200 wajeruhiwe na mlipuko uchukue masaa 30 kuuzima, haiingii akilini ila leo kalopoka mwenyewe. Jana na juzi Lincoln imepigwa tena ila US wamekaa kimya ila kuna siku Trump atalopoka tena. Leo kwenye hotuba yake kamtukana Mfalme wa Saudi, yaani Trump design kama kavurugwa.
Niliona hiyo video nikasema.."Njia ya Muongo ni fupi "
 
Watasema Tu Iran sio Venezuela

NEW:

🇺🇸🇮🇷 Trump admits USS Gerald R. Ford had to abandon the war with Iran:

“Iran attacked from 17 directions. We fled to save our lives. It was all over.”

This clearly shows that the carrier was hit.

View: https://x.com/i/status/2037914268742373388

View: https://x.com/i/status/2037921721810874612

Kabla ya vita marekani alivyokuwa anawatisha wairani kwa ku display hizo carries, walokole wa Sengerema walikuwa wanafurahia sana. Sasahivi hata kuja ku comment hawaji. Aibu imekula kwao🤣🤣
 
Back
Top Bottom