Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Ndege mbili zaidi za kimkakati za Jeshi la Anga la Marekani (B-52) zimetua nchini Uingereza, na idadi kubwa ya mabomu katika Uwanja wa Ndege wa Fairford. Sasa zimefikia ndege 23.

Taifa la Uingereza limeonesha kujiweka mbali katika vita hivi lakini ajabu inaruhusu ardhi yake kutumika kuishambulia Iran. Maana ndege za B1 bomber zinaruka toka Uingereza hadi Iran kushambulia kisha zinarudi katika bezi hiyo.

Kiwango cha zana ambazo zimetua katika ardhi hiyo na zingine kupelekwa Israeli inaendana na kauli ya Trump ya juzi kwamba "vita inaendelea."

Hivyo wazungu wana siri zao ambazo wanazijua wao, sio rahisi kutupana. Wasio na umoja ni Waarabu na Waafrika.
 
Israeli imemuua Sardar Jamshid Ishaqi

Huyu alikuwa mkuu wa Idara ya Bajeti na Fedha katika majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, na pia afisa mwandamizi katika sekta ya fedha ya Iran, ameuawa.

Ishaqi mara kadhaa amesisitiza kuwa Iran imetenga bajeti ya kutosha na ya kudumu kwa ajili ya makundi ya "Resistance" (kama Hezbollah na Hamas). Kauli yake maarufu ilikuwa:

"Kila dola tunayotumia kwenye teknolojia ya makombora ni msumari mmoja zaidi kwenye jeneza la utawala wa Kizayuni."

Kuuawa kwake ni jibu la moja kwa moja kwa kauli zake. Israeli ilituma ujumbe kuwa: "Ikiwa unajivunia bajeti ya kutuangamiza, basi sisi tutamfuta mpangaji wa bajeti hiyo."
 
Mashambulizi makali Tehran

(Machi 28 na 29, 2026)

Mashambulizi Mapya

Israeli na Marekani zimezidisha mashambulizi ya anga (strikes) dhidi ya miundombinu ya kijeshi na nishati mjini Tehran. Siku ya Ijumaa, Machi 27, kulikuwa na wimbi kubwa la mashambulizi yaliyolenga viwanda vya kutengeneza makombora na mifumo ya ulinzi wa anga katikati ya jiji.

Mioto kwenye Maghala ya Mafuta

Picha za setilaiti zimeonesha mioto mikubwa inayotoa moshi wa sumu kwenye maghala ya mafuta ya Shahran, Aqdasieh, na kituo cha kusafisha mafuta cha Tehran Refinery. Baadhi ya mioto hii imekuwa ikiwaka kwa siku kadhaa sasa, ikichafua anga la mji mzima.

Waziri wa Ulinzi wa Israeli amethibitisha kuwa watazidi "kupanua na kuimarisha" mashambulizi hayo kujibu mashambulizi ya makombora kutoka Iran.
 
Ndege mbili zaidi za kimkakati za Jeshi la Anga la Marekani (B-52) zimetua nchini Uingereza, na idadi kubwa ya mabomu katika Uwanja wa Ndege wa Fairford. Sasa zimefikia ndege 23.

Taifa la Uingereza limeonesha kujiweka mbali katika vita hivi lakini ajabu inaruhusu ardhi yake kutumika kuishambulia Iran. Maana ndege za B1 bomber zinaruka toka Uingereza hadi Iran kushambulia kisha zinarudi katika bezi hiyo.

Kiwango cha zana ambazo zimetua katika ardhi hiyo na zingine kupelekwa Israeli inaendana na kauli ya Trump ya juzi kwamba "vita inaendelea."

Hivyo wazungu wana siri zao ambazo wanazijua wao, sio rahisi kutupana. Wasio na umoja ni Waarabu na Waafrika.
Watawala wote wa US ni watu wa Uingereza ukiwazoom mababu na mababu zao. Huwa namuona Muingereza mkorofi kuliko hata Israel na US. Hajaamua tu kukinukisha pamoja na US
 
Hali ya baadhi ya maeneo ya Tehran baada ya mashambulizi ya jana usiku ni mbaya sana
Iran hawanaga mbambamba!!!

Screenshot_2026-03-29-18-44-11-22_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Waache kulaaniwa waarabu wapumbavu ,

Ukute hapo unatumia teknolojia za muisraeli

Na huko msikitini unajifaragua kwa kujipendekeza kwa manabii wa kiyahudi

Hata mudy tapeli anajua wayahudi ni kina nani na ndio walimuwahisha jannah kwenye Mabikira , 72 na mito ya pombe

Surah Al-Baqarah 2:47
“Enyi wana wa Israel! Kumbukeni neema yangu niliyokuneemesheni, na kwamba niliwafadhilisha kuliko walimwengu.”

. Surah Al-Baqarah 2:122
“Enyi wana wa Israel! Kumbukeni neema yangu niliyokuneemesheni, na kwamba niliwafadhilisha kuliko walimwengu.”

Surah Ad-Dukhan 44:32
“Na hakika tuliwachagua wao juu ya walimwengu kwa ujuzi.”

Mkishashiba kande ,na supu za mapupu mnaongea chochote

We jamaa kiazi kweli .

Huoni Aya zinasema nasema nili yaani ni past tense na sio milele ?

Walichaguliwa na walikuwa bora kwa wakati wao na Aya haina viashiria kuwa ni watakatifu na wateule milele ?
 
We jamaa kiazi kweli .

Huoni Aya zinasema nasema nili yaani ni past tense na sio milele ?

Walichaguliwa na walikuwa bora kwa wakati wao na Aya haina viashiria kuwa ni watakatifu na wateule milele ?
Kaka nakusisitiza USITHUBUTU kubishana naye huyo jamaa,mu ignore chap kwa haraka,ni kiazi haijawahi onekana bora hata Echolima. Huyo alidai Qur'an imetengenezwa 1970s na akaleta Qiraat akidai ndio aina za Qur'an.
Achana naye utajishusha hadhi kujadiliana naye.
 
View: https://x.com/DD_Geopolitics/status/2038277366850744370/video/1
We jamaa kiazi kweli .

Huoni Aya zinasema nasema nili yaani ni past tense na sio milele ?

Walichaguliwa na walikuwa bora kwa wakati wao na Aya haina viashiria kuwa ni watakatifu na wateule milele ?

Hilo jamaa lisabato pori jinga kabisa

Yeye kila kitu anahusanisha na udini tu

Religious bigot, sectarian hate promoter na islamophobic extremist mkubwa sana
Kujitia ujuaji wa kuita US Central Command eti jeshi la kati!

Huko kwa hao anaowashobokea leo wamezuia wenzao wasiende kanisani

🇮🇱The Israeli Police on Sunday prevented the Latin Patriarch, Cardinal Pierbattista Pizzaballa, from entering the Church of the Holy Sepulchre in Jerusalem to hold the Palm Sunday ceremony, which opens the events of the Catholic Holy Week

Dunia nzima viongozi kuanzia Papa,

“ Pope Leo says God rejects prayers of leaders who wage wars reut.rs/4111dMC

Macron wa France
“ I express my full support for the Latin Patriarch of Jerusalem and the Christians in the Holy Land, who were prevented from celebrating the Sunday Mass of Palm Sunday at the Church of the Holy Sepulchre.

I condemn the decision of the Israeli police, which joins a disturbing sequence of violations of the status quo of the holy places in Jerusalem.

Freedom of worship in Jerusalem must be ensured for all religions”

Sanchez wa Spain
JUST IN: 🇪🇸🇮🇱 Spanish Prime Minister Pedro Sánchez slams Israeli PM Netanyahu

"Netanyahu has prevented Catholics from celebrating Palm Sunday in Jerusalem's Holy Places. Without any explanation. Without reasons or motives.

From the Government of Spain, we condemn this unjustified attack on religious freedom and demand that Israel respect the diversity of beliefs and international law."

Meloni wa Italy
Italian prime minister Meloni: "Preventing the Patriarch of Jerusalem and the Custodian of the Holy Land from entering, especially on a solemnity as central to the faith as Palm Sunday, constitutes an offense not only to believers, but to every community that recognizes religious freedom“
Wamelaani

Yeye kule wanamuita Goyin anawaona hao wa maana sana
Eti wateule!
Hao kina Epstein gang, genocidaires, mass murderers ndio wawe wateule??
 
Attachments

  • IMG_7165.jpeg
    IMG_7165.jpeg
    31.2 KB · Views: 14
Inaonekana US na Israel hawashambulii tu target za kijeshi bali na za killing. Mwandishi mmoja anasema wameshashambulia shule zaidi ya 600. Wanashambuliwa wasomi, vyanzo vya kiteknolojia.
Haya matukio yananikumbusha enzi za Wakina Karl Peters miaka ya 1885
Walijielekeza kuvunja ubunifu, elimu, ujuzi wa mtu mweusi ili wamtawale kirahisi. Hawa wakina Kinjekitile ( Jeshi) hawakuwa threat kubwa sana.

Tunakumbusha umuhimu wa Elimu. Nchi ikiwa jinga kila mtu ataitawala.
 
Back
Top Bottom