Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Wewe huamini hilo?Wewe unaamini hilo?
Wewe huamini hilo?Wewe unaamini hilo?
LATRA wao wanasemaje au bado hawajaaamka? paanze kuchangamka zaidiEWURA imewanyamazisha Waajemi wa Matembele ya Pili na mazayuni wa Dinginayo.
Tayari ameshapoteza kaka wapoteze mara ngapi Mzee !🤣🤣Nchi zote sasa zinaelewa Marekani kumbe anapigika tu, ngoja sasa uone nchi zinaanza kumvimbia. Hii vita imempotezea heshima yake kwa kiwango kikubwa sana.
Wewe unaongea uongo wewe,hakuna hata meli moja ya Amerika katika pwani ya Iran. Tuache kudanganya tupeane taarifa sahihi hakuna hata mmoja katiyetu mwenye kufaidika na mzozo huu ila hasara tu mafuta tayari yamepanda.Huyo Iran kashindwa kuzamisha hata meli moja ya Marekani na zipo katika Pwani yake.
😂😂😂EWURA imewanyamazisha Waajemi wa Matembele ya Pili na mazayuni wa Dinginayo.
Kwa hiyo amezamisha meli ngapi za Marekani??Wewe unaongea uongo wewe,hakuna hata meli moja ya Amerika katika pwani ya Iran. Tuache kudanganya tupeane taarifa sahihi hakuna hata mmoja katiyetu mwenye kufaidika na mzozo huu ila hasara tu mafuta tayari yamepanda.
Mnahangaika na catoon mna akili kweli nyie?
Wewe Bado mdogo sana kwenye hizi vita ,subiri soon Iran atatoa mlio mkuuUkimuua huyo waziri unapata faida gani?
Iran haipigani vita vya propaganda, malengo ya vita Iran iliyotangaza toka mwanzoni si kulenga vongozi wa US bali kupanua vita gulf states zote na kufunga mlango bahari wa Hormuz... wana stick na lran sio US leo anasema anaangusha utawala kesho anataka kufungua Hormuz, kesho kutwa anataka mazungumzo..
Mbona unaleta habari ambazo zishapitwa na wakati?MWAGA MOTO MWINGI KAMA MADRAGONI KWA KIBOKO YA ALLAH NA MAGAIDI 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Marekani iko katika mazungumzo makubwa na utawala mpya na ulio na msimamo wa busara zaidi ili kumaliza operesheni zetu za kijeshi nchini Iran. Kumekuwa na maendeleo makubwa, lakini ikiwa kwa sababu yoyote ile makubaliano hayatapatikana hivi karibuni (ambayo inawezekana yatapatikana), na ikiwa Mlango wa Hormuz hautafunguliwa mara moja kwa shughuli za biashara, basi tutamaliza uwepo wetu Iran kwa kushambulia na kuharibu kabisa vituo vyote vya kuzalisha umeme, visima vya mafuta na Kisiwa cha Kharg (na huenda pia mitambo yote ya kusafisha maji ya chumvi), ambavyo kwa makusudi bado hatujavigusa.
Hatua hii itakuwa ni kulipiza kisasi kwa askari wetu wengi na wengine ambao Iran imewaua katika kipindi cha miaka 47 ya kile kinachoitwa “utawala wa ugaidi.”
Asanteni kwa kuzingatia jambo hili.
Rais Donald J. Trump
View attachment 3565472
Alipost lini hii trump had useme imepitwa na wakati?Mbona unaleta habari ambazo zishapitwa na wakati?
Huko ulikoitoa hakuna time stamp?Alipost lini hii trump had useme imepitwa na wakati?View attachment 3565474
😄Mbona unaleta habari ambazo zishapitwa na wakati?
Meli za marekani zote zimeondoka katika pwani ya Iran. Wenzetu huwa mnafuatilia habari mnazozipenda tu, fuatilieni taarifa zote ndio mtajua ukweli, vyengunevyo mtaamini propaganda.Kwa hiyo amezamisha meli ngapi za Marekani??
4000 per litre huko mikoani. Wanafunzi walioko nyumbani wazazi wajiandae nauli zitapaa,LATRA wao wanasemaje au bado hawajaaamka? paanze kuchangamka zaidi