jirani yake aliyegombana naye ni nani?Regime ya Ayatollah ni threatening Kwa ulimwengu Kwa sababu Wana maamuzi ya kichaa
us na Israel wamefanya vizuri kuibonda irudi stone age military
Unagombanaje na jirani zako baada ya kushindwa unaenda kuweka mawe barabarani
Sawa nakubaliWe nani
We nani kakwambia pro iran wote ni waislam
Acheni udini, washamba nyinyi
Wewe endelea tu kujifariji na kujipa moyo kwa kipondo kinachoendelea na usifikiri kwa kujiliza-liza kwako kipondo kitapunguzwa !! Kipondo kiko pale pale tu kwa viongozi!!Mtu anaona kuua viongozi ndio ushindi wanashangilia vifo wakati huku hata kina Lukuvi wanakufa na pressure na yeye mwenyewe anaweza kufa kwa cholera au kugongwa na toyo!
Targeted assassinations hazijawahi kuleta faida kokote
Mondlane aliuawa na makaburu, Samora akaendeleza vita mpaka Mozambique wakapata uhuru,
Maj Gen Rwigyema hapo Rwanda, Kagame akaendeleza vita
Col John Garang wa South Sudan pia
Huko Palestina walianza kuwaua kina Abu jihad, Yahya the Engineer, George Habash , Sheikh Yasin, Ahmed Ratansi Yasser Arafat na mpaka hao kina Haniyeh na Sinwar wa juzi hapa lakini hakujapoa
Hezbollah alikuwepo Imad Mughniyeh kabla Nasrallah na hakujapoa
Hao wanakwambia kwenye motto yao
“We were in nonexistence before our birth” yaani tulikufa kabla hatujazaliwa
Leo hii unashangilia kumuua Khamenei mwenye miaka 86, living on borrowed time
Makamanda wa IRGC walioawa wote ni around 70s, maveteran wa Iran vs Iraq war 1980-88, wameuawa lakini urithi waliouacha ndio huo kina Trump wanabembeleza waongee nao
Wanadanganywa na Trump kuwa Iran wameishiwa missiles, leo huko Tel Aviv hakuna kulala kwa mvua ya missiles na waandishi wa habari wapo ground wanathibitisha
Bora use wewe maramba makalio ya waarabu!!bora ungekufa kuliko kutujazia saver za jf
Huenda hii ikawa ndio comment mbovu zaidi ndani ya hii Thread.1.wakristo wa Bongo wanafurahia Iran kupigwa na U.S,ilhali Iran mafuta yake anauza China,ambayo inauza bidhaa cheap 80% lower ya bidhaa hio hio ikiuzwa U.S to Africa,
2.mtu anakuambia ni haki Israel kuipora ardhi Palestine sababu andiko limesema,unamuuliza unaweza nipa ramani ya Israel kwenye hilo andiko anaishia kutukuna
3.wakristo wengi hawampendi Samia,ambaye anafanya mabaya yale yale ya JPM waliokua wanampenda,wanataka ashitakiwe ICC ilhali nyetanyahu mwenye arrest warrant ya ICC,wanashangilia kua ni shujaa kwa kuua GAZA
4.Unakuta wakrsisto wanadharau na kuwatukana wazanzibar kua hawajasoma ,ilhali Zanzibar Ina population sawa na Kagera,Kilimanjaro ama Mara kwenye obvious wakristo wengi,lakini per capital ya Zanzibar ni $2500 ya hio mikoa ni chini ya $1000,Zanzibar in maendeleo mara 10 ya Mkoa wowote hapa Tanzania bara ukiacha Dar es salaam na waislam kule ni 99%,sa kuna haja gani ya kusoma sana Kisha unakua MASIKINI,ukienda Bukoba stendi ya mabasi tu kichekesho,na ndio kuna maprofessor wengi huko🤣🤣,maana yake we ni mbumbumbu
4.Pombe ni among top carcinogen na ina addiction,mkristo anaaminishwa kanisani kua anywe ila asilewe na anakubali kabisa kua andiko limesema😃😫😁,
5.kibailojia sex is necessary,hata kama sio kwa kuzaliana,mkristo anaaminishwa kua viongozi wao wa dini Sex no,na anakubali kabisa kua kupitia roho mtakatifu,viongozi wao HAWATOMBANI🤣🤣
wakristo wengi wasomi lakini reasoning yao ni ndogo sababu dini yao inawaaminisha,haiwafanyi wafikirie tofauti na UISLAM,itakupa Kila sababu ya kwa nini pombe haramu,Kuoa mke zaidi ya mmoja,kutokula nguruwe etc,tena katika scientific way kabisa
wakristo wengi wasomi lakini hawareasons accordingly,na elimu yao haiendani na maarifa/ama ujuzi wao
Hawezi kukuelewa huyo tahira.Huna uwezo wa kuelewa athari za maamuzi ya kipuuzi ya Iran Hadi utakaposhindwa kurejesha Hela ya boda boda ya watu
Mfano mrahisi
Kwa hiyo ukigombana na jirani yako akikushinda unaweka mawe barabarani Ili kuzuia wapita njia