Bwana Yesu akupe afya njema reporter wetu.Nilipata changamoto ya maradhi, sasa hivi kidogo afadhali
Tupe NEWS mtumishi wa Mungu, hasa zile ambazo Israel/USA zinavyomponda Iran.
Bwana Yesu akupe afya njema reporter wetu.Nilipata changamoto ya maradhi, sasa hivi kidogo afadhali
Bwana Yesu akupe afya njema reporter wetu.
Tupe NEWS mtumishi wa Mungu, hasa zile ambazo Israel/USA zinavyomponda Iran.
Ha ha ha eti mwaga moto mwingi kama Dragons.MWAGA MOTO MWINGI KAMA MADRAGONI 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
ISRAELI YAMFUTA KAMANDA MKONGWE WA HEZBOLLAH.
Jeshi la Israeli (IDF) limetangaza rasmi kuwa limemuua Hajj Yusuf Ismail Hashem, ambaye alikuwa Kamanda wa Fronti ya Kusini ya Hezbollah.
Aprili 1,2026
Hashem, aliyekuwa akiongoza Fronti ya Kusini na kuratibu operesheni za Iraq, ameuawa na Jeshi la Majini la Israeli mjini Beirut. Hili ndilo pigo kubwa zaidi kwa Hezbollah tangu kuanza kwa vita hivi mwezi mmoja uliopita."
Kifo chake kimeleta taharuki kubwa nchini Lebanon, huku Hezbollah ikirusha makombora takriban 45 kuelekea kaskazini mwa Israeli mchana huu kulipiza kisasi.
Wataletewa mafuta na yesu na roho mtakatifuHivi wale wayahudi wa Kimara Mwisho wao wameletewa mafuta na Netanyahu au wote tunasota?
Mbona unaenda viral mkuu!?Hakuna alikukataza wewe weka za uoande mmoja. Hivi mnaumia nini? Mbona wenzako hapa muda wote wanapost youtube video zao za kuokota za upande mmoja hamna anaewasema? Kipundi okc kanyamaza wewe na wenzio mlikuwa busy kupost video na updates zenu za youtube etc mbona hamna aliewazuia? Mnaumia nini au wenzetu waajemi? Iran apigwe tu hata waishe wote I don't give afuck nao lama wnaweza wapige waisrael hata waishe wote I don't give afuck. Mnaoumia poleni sana USA ataemdelea kumchapa Iran hata mkise.a USA kapigwa ukweli uko pale pale Tehran imekuwa mji wa 1940s
Ninawashangaa sana nyie Wairani wa Mafisa kwa Mambi. Mnashambulia watu kwa matusi na kutaka watu wafanye kile na kupost kile mtakacho nyie.Mbona unaenda viral mkuu!?
Mie nimetoa tu perception zangu kuwa yupo one sided. Sasa masuala ya uajemi yanatokea wapi!??
Mie sipo huko unakonipeleka.
Un unajua Iko control naniMfumo upi labda,kitu pekee ambacho bado kinampa kiburi ni mataifa ulimwenguni kununua vitu kwa hela yake ya USA-kitu ambacho hizo nchi hapo juu zina ki challenge kwa sasa.Ni bidhaa au huduma gani ambayo USA anauza ipo so demanded ambayo mchina/Russia hawezi ku supply??
China,Russia,& Iran kwa sasa wanafanya biashara kwa pesa zao.sio miaka mingi USA ataanguka haizidi miaka 30 mbele..
Kumbuka hata hizo vita USA anazoingia ni kwa ajili ya kulinda ukiranja wake wa dunia-but game inabadilika vibaya sana kuliko matarajio yao
Na Mama Samia Mke wa 4 wa Mvuvi wa Kasa Pale Kizimkazi.Un unajua Iko control nani
Wewe tumekuruhusu leta za upande wa pili usipangie mtu Cha kuandikaHabari za upande mmoja vile vile.
Tena analeta mashambulizi yaliyofanyika wakati mmoja kwa mafungu mafungu.
-Haifa port imepigwa jumatano hajaleta habari.
-Israel flagged cargo ship persian gulf imepigwa hajaleta habari.
-Haifa,Galilaya,Central Tel Aviv,Negev zimetwangwa repeatedly na hajaleta habari.
-Anyat Israel soldiers wameuawa jana na hajaleta habari.
Bado ni one sided vile vile.
Ilhali sisi Iran imeshambuliwa hadi kiwanda cha dawa za kansa na tumeleta habari.
Huna uwezo wa kuelewa athari za maamuzi ya kipuuzi ya Iran Hadi utakaposhindwa kurejesha Hela ya boda boda ya watuNachelea kusema una reasoning capacity ndogo sana. Before hii vita Iran alifunga huo mlango bahari?
Ni ukweli hajaweza Kurusha hata jiwe washton DC paleIna maana wanangu iran hawarushi hata mawe?
Sasa rafiki yangu, kudaiwa kwake kunahusiana vipi na Iran? 😂😂Huna uwezo wa kuelewa athari za maamuzi ya kipuuzi ya Iran Hadi utakaposhindwa kurejesha Hela ya boda boda ya watu
Mfano mrahisi
Kwa hiyo ukigombana na jirani yako akikushinda unaweka mawe barabarani Ili kuzuia wapita njia