City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la viwanda kashan
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la viwanda kashan
Kuna tetesi pia kuwa General Dan Caine hakutaka kwenda vitani na Iran!
View: https://youtu.be/nQisCa6bQ4U?si=Q5MOdO_-pXfdMkzd
Trump fala sana. Kavunja waziwazi moja ya ahadi zake kuu: ahadi ya kutoanzisha vita mpya isiyo na kichwa wala miguu.
Tatizo la walokole ni ulokole/kukaza fuvuMkuu Pro_Israel wengi ni mashabiki oya oya .
Ukimwambia msikilize watu wazito , CIA na international analyst wakifanya uchambuzi ni ngumu maana akili zao zipo kwenye kutazama matukio tu kapigwa Fulani wameshangilia ila kufikiria inbox , kuchanganua na kuPredict mambo hawana upeo huo.
NaiEnjoy sana humu nikisoma chambuzi za Pro_Iran unajua kabisa akili na shule ipo na mambo mengi waliyotabiri tokea day one yametimia . Pro_Israel hawezi kutenga muda hata wa nusu saa kusikiliza podcast za wabobezibwa sasa za kimataifa kujua wataalamu wanasema nini kusuhu upepo wa vita na yanayoendelea
Habari za upande mmoja vile vile.City Thunder OKC 2.0 anatoa detailed updates.....sijaona upinzank kama aliopata OKC OG au lugha sio rafiki?
Iran ina sect NNE za jeshi sio mbili.Na hapo Iran inatumia "Corps" tu yaani IRGC, bado haijaingiza Jeshi rasmi la nchi.
Irani ina majeshi mawili, lile la kulinda mapinduzi yaani IRGC na lile rasmi la Taifa.
Haya trump mwenyewe kakiri alitegemea vita vitaisha ndani ya siku 3, wale mliokupa mkibisha yapo wapi?
View attachment 3565998
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la kaskazini mashariki mwa Tehran
Niliandika hivi kwenye thread moja tarehe 6/3 kuhusu hilo:Kama Mojtaba, ni hatari kuliko hata Khamenei, Khamenei angekuwepo angeshaingia mazungumzo ili kulinda raia wake.
Trump akikaa peke yake anajiona mjinga.