Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

IMG_20260401_171423_615.jpg

IMG_20260401_171424_143.jpg

Tehran – April 1, 5:12 PM Strikes
multiple heavy explosions at Havanirooz Helicopter Facility.
 
Ukiufatilia huu uzi utaona kabisa Iran ameshashinda vita by 95%. Kumbe Iran anapigika haswa.
Ukiwa na ushabiki wa Simba na yanga kuhesabu mabomu na vitisho huwezi elewa kwanini watu wanasema Iran anashinda.

There is a reason kwanini Analyst, viongozi mbalimbali wa west, majasusi na wengine wanaoelewa vita wanasema Iran anashinda. Huhutaji hata kusikiliza pro Iran, sikiliza Mossad, CIA, Uingereza etc wote kwa pamoja Wana view hio.

Trump kakurupuka angesikiliza ushauri wa Jeshi lake haya yote yasingemfika.
 
Iran wanapaswa kuombewa sana maana kwa kipigo hiki cha Mbwa-koko lazima tu wahurumiwe!!
 

Attachments

  • VID_20260401_191809_887.mp4
    2.5 MB
  • IMG_20260401_191809_323.jpg
    IMG_20260401_191809_323.jpg
    101.2 KB · Views: 16
  • IMG_20260401_191809_905.jpg
    IMG_20260401_191809_905.jpg
    109.7 KB · Views: 19
  • IMG_20260401_191809_868.jpg
    IMG_20260401_191809_868.jpg
    53.4 KB · Views: 16
  • IMG_20260401_191809_223.jpg
    IMG_20260401_191809_223.jpg
    14.4 KB · Views: 17
  • IMG_20260401_191810_185.jpg
    IMG_20260401_191810_185.jpg
    119.1 KB · Views: 16
  • IMG_20260401_191809_927.jpg
    IMG_20260401_191809_927.jpg
    76.4 KB · Views: 20
  • IMG_20260401_191809_588.jpg
    IMG_20260401_191809_588.jpg
    170 KB · Views: 19
  • IMG_20260401_191809_822.jpg
    IMG_20260401_191809_822.jpg
    71.4 KB · Views: 17
Isfahan – April 1, Late Afternoon Strikes

Shaahin Shahr – around 6:10–6:12 PM, multiple explosions felt very close, with smoke rising from HESA area.

Isfahan – around 6:11–6:12 PM, sounds of fighter jets and two heavy explosions.

Additional reports of three consecutive explosions in Shaahin Shahr; first one strongest.
 
IMG_20260401_173215_386.jpg

Baharestan, Isfahan,

Since 6:15 PM, over 15 explosions were heard.

The explosions were very intense; it seems they hit the mountains and ammunition supplies.

These locations were always targeted, but this time it was much heavier.
 

Secondary explosion near the Baharestan mountains, Isfahan, 6:30 PM”, Wednesday, April 1.
 
Regime change itatokea USA, maana Iran anachohitaji ni kuuvuta huu mgogoro hadi November kwenye midterm election USA.

Kwa jinsi bidhaa muhimu zinavyopanda bei ikiwemo mafuta, huku wananchi wakiwa hawaelewi sababu ya US kuingizwa vitani, nina uhakika Trump atabwaga manyanga...

Hivyo Trump hii vita ataondoka pasipo kukamilisha malengo, Trump ameshaanza kusema malengo yamefikiwa.. 🤣 🤣 ..
 
Ukiufatilia huu uzi utaona kabisa Iran ameshashinda vita by 95%. Kumbe Iran anapigika haswa.
Kwenye huu uzi Iran kashinda vita zamani sana. Ila huko kitaa kachqpika kachakaa na anaendelea kula kichapo bila kikwazo chochote zaidi ya kurusha missile mbili Tel aviv moja Dubai mbili Kuwait moja Bahrain na kuvizia meli za mafuta. Ila acha aemdelee kushinda vita.
 

Moment of explosion at 15 Khordad military base, south Isfahan (IRGC missile site), 6:27 PM”, Wednesday, April 1
 
Ukiwa na ushabiki wa Simba na yanga kuhesabu mabomu na vitisho huwezi elewa kwanini watu wanasema Iran anashinda.

There is a reason kwanini Analyst, viongozi mbalimbali wa west, majasusi na wengine wanaoelewa vita wanasema Iran anashinda. Huhutaji hata kusikiliza pro Iran, sikiliza Mossad, CIA, Uingereza etc wote kwa pamoja Wana view hio.

Trump kakurupuka angesikiliza ushauri wa Jeshi lake haya yote yasingemfika.
😀😀😀
 
Regime change itatokea USA, maana Iran anachohitaji ni kuuvuta huu mgogoro hadi November kwenye midterm election USA.

Kwa jinsi bidhaa muhimu zinavyopanda bei ikiwemo mafuta, huku wananchi wakiwa hawaelewi sababu ya US kuingizwa vitani, nina uhakika Trump atabwaga manyanga...

Hivyo Trump hii vita ataondoka pasipo kukamilisha malengo, Trump ameshaanza kusema malengo yamefikiwa.. 🤣 🤣 ..
November mbali sana kwa njia moja au nyingine vita itasimama. It's too costly. Ila Trump ni kichaa anakwambia regime change tayari kwasababu viongozi waliopo sasa ni wapya baada ya wa zamani kuuawa.
 
Ukiwa na ushabiki wa Simba na yanga kuhesabu mabomu na vitisho huwezi elewa kwanini watu wanasema Iran anashinda.

There is a reason kwanini Analyst, viongozi mbalimbali wa west, majasusi na wengine wanaoelewa vita wanasema Iran anashinda. Huhutaji hata kusikiliza pro Iran, sikiliza Mossad, CIA, Uingereza etc wote kwa pamoja Wana view hio.

Trump kakurupuka angesikiliza ushauri wa Jeshi lake haya yote yasingemfika.
Trump kaingia vitani kwa mipango ya wiki kadhaa huku akisukumwa na mwenzake Netanyahu, pasipo kufahamu Iran hio vita wameisubiri na kufanya maandalizi miongo kadhaa.

Ndio maana mara nyingi amekuwa akijichanganya katika kutoa taarifa, Trump na wenzake wamekuwa wakipishana kutoa maelezo haswa pale wanapobanwa maswali na waandishi.. Hiki kimepelekea wananchi kutomuamini Trump , hivi sasa kile anaongea Trump watu wanaona ni uongo, imeonekana Trump na genge lake wapo very unprofessional.
 
November mbali sana kwa njia moja au nyingine vita itasimama. It's too costly. Ila Trump ni kichaa anakwambia regime change tayari kwasababu viongozi waliopo sasa ni wapya baada ya wa zamani kuuawa.
Hio ilikuwa lazima itokee.. Maana Trump ameamua kukubali ameshindwa ila kwa kutoa kauli za kishujaa..

Kwwanini? aliyepo sasa ni mtoto wa Khamenei ambaye kapoteza baba yake, mkewe, mtoto na ndugu wengine kwa siku moja, yuo can imagine huyo mtu atachukua hatua gani, Mojtaba anakuwa hatari kuliko Khamenei, IRGC bado ipo.. regime change ya Trump sijui ina maana gani...



Kingine hii inaonyesha wazi Israel na US hivi sasa wanaelekea kuwa na mtizamo tofauti, maana kwa hio kauli ni wazi US inakwenda kujiondoa kwa nguvu pasipo kujali matwakwa na malengo ya Israel kama yamefikiwa , ili kuokoa serikali ya Trump na chama chake lazima watajitoa kwa nguvu na tutegemee kauli za kuchekesha zaidi.

Trump anatia huruma sana.
 
IMG_20260401_182723_045.jpg

Mehr News Agency, quoting the spokesperson of the Islamic Republic’s Ministry of Foreign Affairs, reported that “Donald Trump’s claim regarding Tehran requesting a ceasefire has no basis.”

This statement came after Trump posted on April 1 on Truth Social that “the head of the new Iranian regime” had requested a ceasefire from the United States.
In the same post, the U.S. president also warned that if the Strait of Hormuz is not reopened and security is not restored to this strategic waterway, U.S. attacks on Iran will continue “until returning it to the Stone Age.”
 
IMG_20260401_182929_940.jpg

Israeli i24 News reported on Wednesday, April 1, that the Islamic Republic and Lebanon’s Hezbollah launched a combined attack, firing numerous missiles toward Israel.

The network described Wednesday’s strikes as “the largest attack since the start of the war.”

These attacks occurred as Jewish communities in Israel were preparing for the Passover Seder.
 
Back
Top Bottom