Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

IMG_20260401_140530_421.jpg

⚡️ U.S. President Donald Trump, in an interview with the British newspaper The Daily Telegraph, said that after allies failed to support the U.S. military action against Iran, he is “seriously considering withdrawing the United States from NATO.”

According to Reuters, Trump described the NATO alliance as a “paper tiger” and said the issue of U.S. withdrawal from the defense pact is now “beyond just a review.”
Trump added:
“I was never impressed by NATO. I always knew they were a paper tiger — and Putin knows it too.”
 
IMG_20260401_141655_478.jpg

Trump’s latest post:
The president of Iran’s new regime — who, compared to his predecessors, is far less radical and much smarter — has just requested a “ceasefire” from the United States!

We will only consider this request once the Strait of Hormuz is completely open, free, and secure. Until then, we will continue crushing Iran to the brink of destruction — or, as they say, sending them back to the “Stone Age.”
— President DJT (Donald J. Trump)
realDonaldTrump
 
TRUMP HUWA HASEMI UONGO

MWAGA MOTO MWINGI KAMA MADRAGONI KWA KIBOKO YA ALLAH NA MAGAIDI 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥

FB_IMG_1775050092861.jpg
 
MWAGA MOTO MWINGI KAMA MADRAGONI KWA NETANYAHU KIBOKO YA ALLAH NA MAGAIDI 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥


Israeli strikes targete a large pharmaceutical factory in Tehran called Daro Bakhsh, with AFP earlier reporting loud explosions in the west of the Iranian capital.
FB_IMG_1775053083619.jpg
 

US will 'leave' in 'two or three weeks', Trump claims​


Trump suggests the US will "leave" Iran in "two or three weeks".

He says he had "one goal" - that Iran can have no nuclear weapons, and says that has been attained.

Published at 01:06

Kwisha habari yaoooo.
 
Kwasababu unafuatilia humu tuu ila tel aviv na kambi zote za US middle east no more

Al Jazeera kwasasa wanaficha picha eneo lote la Gulf States kunapopigwa!!!

kwaiyo Picha za Iran tu ndio wanaona tutaona!!

Apo lazima watazani Iranian ndio inapigwa pekeyake!!!!

Mfano jana nimefatilia Al Jazeera jinsi wanacho riport kutuonesha!!!
❗️
Mtangazaji yupo KUWAIT na anasema airport imepigwa na kiwanda cha kusafisha maji chumvi kimepigwa!!!

lkn mwandishi yupo eneo tofaut na Airport au kwenye icho kiwanda cha maji.!😎😎

So mtangazaji kile anaongea wewe ukioni kabisaa.!!!

Nikama unasikiliza mpira kwenye radio 📻 shubamit
 
Upo kwenye TV lkn mtangazaji ndio unamuona tukio usika Ulioni 🤠

Wanachapwa sana ndiomana Trump kawa kama kaweuka vile!!!

Waandishi mwanzo ndio walifanya kazi✅️
lkn kwasasa wanazuiwa kabisa kusogea kwenye Mshono🤠
 
Hii vita inamaneno mengi ya uongo.
Tangu wiki iliyopita walisema base zote za USA zimepigwa na zimeisha.

Kumbe bado zipo.

Pia walisema wamepiga makombola yote ya iran na yameisha. Cha ajabu iran bado anarusha makombola.

99% yanayosemwa ni uongo
Ndugu Kuna vitu vingine msiwe mnahitimisha.
Ni kweli Iran amapiga kwenye Kila nchi ambayo Marekani kaweka Kambi lakini sio Kambi zote zimepigwa,kumbuka baadhi ya vitu ya kijeshi hua ni Siri na vinafichwa mno,hivyo majasusi wa kijeshi Kila wakigundua hutoa taarifa kwa vikosi vya ushambuliaji.
Hata kwa Iran ni hivyo hivyo,Wa Iran wamechimbia silaha zao chini kabisa ya ardhi, lkn kadri zikigundulika zinapigwa.
Hata hivyo nakumbuka mara ya mwisho Mimi kuisikia nilisikia Iran imepiga Kambi kumi na saba za jeshi la USA kutoka nchi zote za ghuba lknhaimaanishi ni Kambi zote.
Majeshi Yanaendeshwa kwa Siri sana.
 
Kwasasa Israel inapigika Vibaya mana mapacha wa3 wapo kazini!!!

Netanyahu wa AI. anadai yeye hawezi kusema lini Mwisho wa Vita!!

lkn kutoka kwenye Moyo wa Israel wanatamani ndani ya sekunde 1 tu Vita visimame!!!!

Sababu kuu zipo kwa pande zote mbili yani Marekani na Israel kwasasa hawana malengo muhimu ya kushambulia !!!

viongozi wameuwa kama wote ukija military Bases muhimu wamepiga !!

so wako kwenye Vita Sababu Vita avijasimama na wanashambuliwa ivyo ndio mkwamo ulipotokea

Netanyahu w AI.
yeye ndoto yake kuwauwa viongozi wa Iran tayari Alifanikiwa sasa kuzima Vita ndio kipengere kilicho nje ya uwezo wao.,
 
Tayari ameshapoteza kaka wapoteze mara ngapi Mzee !🤣🤣

Ni kama walikuwa wana subiri vita ianze wapate kuona panapovuja na nikweli wamejionea vyema kitendo Cha base 21 kupigwa na hizo intercept kupigwa kimewavua nguo sana Tena sana , na wanavyozidi kuhangaika kuomba sehemu ya kuweka base zao ndio kabisaa wanazidi kujiharibia cause wenye Akili lazima wajiulize siulikuwa na base zako pale middle east zimekwenda wapi !? Je unataka na sisi utuponze kama ulivyo waponza wenzako kile middle east
Wajeremani TU tayari wameshaanza kuwaambia waondoke.
 
Kwasasa Israel inapigika Vibaya mana mapacha wa3 wapo kazini!!!

Netanyahu wa AI. anadai yeye hawezi kusema lini Mwisho wa Vita!!

lkn kutoka kwenye Moyo wa Israel wanatamani ndani ya sekunde 1 tu Vita visimame!!!!

Sababu kuu zipo kwa pande zote mbili yani Marekani na Israel kwasasa hawana malengo muhimu ya kushambulia !!!

viongozi wameuwa kama wote ukija military Bases muhimu wamepiga !!

so wako kwenye Vita Sababu Vita avijasimama na wanashambuliwa ivyo ndio mkwamo ulipotekoea

Netanyahu w AI.
yeye ndoto yake kuwauwa viongozi wa Iran tayari Alifanikiwa sasa kuzima Vita ndio kipengere kilicho nje ya uwezo wao.,

Umeongea point. Sasa hivi malengo ya msingi ya Marekani na Israel ni kama hakuna, wameamua tu kupiga na kuharibuharibu assets za kiraia za Iran.

Hata Hivyo Iran yeye akipiga assets za kiraia kwa kulipiza ni kisasi ni faida kwake kwa sababu anatengeneza DETTERANCE ya mbeleni asivamiwe hovyohovyo.

Kiufupi, Marekani na Israel soon watagundua kuwa wao kuendelea na hii vita haiwapi faida za kijeshi bali inawatia hasara zaidi kiuchumi hata kama na wao wanaitia hasara Iran.
 
Back
Top Bottom