Hujaanza kuongea leo hii kauli.Iran ni kama kaishiwa
Hujaanza kuongea leo hii kauli.Iran ni kama kaishiwa
There is a reason kwanini sasa hivi USA anatumia facility za Nchi husika ambazo base zipo na sio base zake,Tuliambiwa kwamba kambi zote za USA zimesambaratishwa na wanajeshi wanasakwa mitaani wanakojificha.
😄😄😄Kilichofanya bei za mafuta zipande ni Israel-U.S kuivamia Iran,kama wewe ni mkristo wa kweli huwezi lalamika bei zipande,
Hata biblia ilisema aliye pamoja na Israel atabarikiwa,hata Israel ikiruhusu ushoga,genocide,war,conflicts,land thieves,.....ikitokea ukasupport tu UNABARIKIWA
hahaha yuko moto zaidi ya fayaDuh huyu City Thunder OKC mpya ni kiboko.
Mafuta 3800 utoe buku 5 upate lita 2, labda muweka mafuta ni shangazi yako na sheli ni ya baba yako.Usitutishe
BEI YA LEO YA MAFUTA.
ukiwa na 10000 unapata lita mbili
BEI IKIWA 5000
ukiwa na 10000 tutapata lita mbili.