Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,833
- 8,777
😂😂🤣🤣😂🤣😂🤣🤣😂Aya leo amemtuma Witkoff amtafute waziri wa mambo ya nje wa Iran personally ili amshawishi wakae mezani.
Sasa hivi ametoka kusema tena wana wiki tatu tu wataondoka eidha mambo yafanikiwe ama yasifanikiwe.