Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

MWAGA MOTO MWINGI KAMA MADRAGONI 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥

"ISFAHAN YAWAKA MOTO: NDEGE ZA B-2 ZASHAMBULIA VIWANDA VYA SIRI.

Jioni ya leo ya Aprili 1, milipuko mizito imetikisa mji wa Isfahan baada ya Marekani kutumia ndege za 'Stealth Bombers' kupiga mahandaki ya nyuklia na makombora. Mashuhuda wasema milipuko ya pili inaendelea kusikika, huku moshi mzito ukiziba anga la mji huo."

Shambulio la B-2 na "Bunker Busters"

Ndege za B-2 (ambazo ni vigumu kuonekana kwenye rada) zimetumika kutokana na uwezo wake wa kubeba mabomu mazito ya kupenya ardhini (GBU-57 Massive Ordnance Penetrator).

Shambulio hili limelenga vituo vya siri vilivyopo chini ya ardhi katika mkoa wa Isfahan. Maeneo haya yanahifadhi miundombinu muhimu ya nyuklia na viwanda vikubwa vya kutengeneza makombora ya masafa marefu.

Milipuko ya Pili (Secondary Explosions)

Mashahidi wanaripoti "milipuko mikubwa mfululizo" ambayo imedumu kwa muda mrefu. Hii inaashiria kuwa mabomu ya B-2 yamefanikiwa kupiga maghala ya silaha au vinu vya kemikali vilivyokuwa vimefichwa ndani ya mahandaki ya milimani
 
IMG_20260401_185026_346.jpg

strikes on Shiraz, Imam Hossein Garrison and Basij Center.

April 1, 8:55 PM – fighter jets over Shiraz, firing missiles twice.

8:53 PM – two explosions near Pasdaran; fighter jet noise still audible.

8:53 PM – five explosions in Shiraz, two at Sarallah Armored Garrison.

8:55–8:58 PM – Shiraz, armored area hit five times.

Around 8–9 PM – heavy missiles struck, shaking buildings severely.
 
Na hapo Iran inatumia "Corps" tu yaani IRGC, bado haijaingiza Jeshi rasmi la nchi.
Irani ina majeshi mawili, lile la kulinda mapinduzi yaani IRGC na lile rasmi la Taifa.
Hii Vita bado sana tunayo lkn tayari tumeanza kulipia Vita mafuta bei juu 1100 yani tsh3800 kwa lita.
Na tunaambiwa bado yatapanda. Zaidi🤠
 
Kuufunga mlango bahari wa Hormuz ni kwa ajili ya kujilinda Iran dhidi ya meli vita za adui na pengine adui kutumia hio njia kuingiza vikosi na silaha... Hivyo Iran inatekeleza jambo muhimu kwa usalama wake.
Tumia basi akili mkuu acha USHABIKI wa kipuuzi

Kwani mashmbulizi mengi yanatokea baharini ??
Kushambulia meli za kiraia kunasaidiaje kuzuia adui ?
Kwani angeamua kuzikagua akaziruhusu kungeleta athari gani

Akaamua kuumiza makumi ya nchi Kwa failure yake
 
Utawala wa USA kuitawala dunia upo ukingoni,naona mipango yote ni kama inagoma.Sehemu pekee ambapo bado ana nguvu kiasi ni America Kasikazini.
1.Huko Amerika ya kusini Brazil,ambalo ndio Taifa kubwa limekuwa kizingiti;
2 Huko Asia-China amemkamata
3.Ulaya-Russia amedinda
4.Mashariki ya kati-Iran amegoma

Atawezaje kuendelea kuwa super power pasipo kuwa na control ya hizo pande za Dunia?-kubali au kataa but hizi ni dalili za anguko la USA
 
Hizo ndoto zako Bado sana
Us Bado ana mifumo mikubwa
 
Meli zinazopita hapo ni zinazobeba mafuta ya saud arabia,Bahrain, Kuwait,Qatar na hizo nchi ndio zinazotumiwa na USA kuishambulia Irani,sasa ww unataka Iran awape tena maadui zake faida au sio??
 
Tumia basi akili mkuu acha USHABIKI wa kipuuzi

Kwani mashmbulizi mengi yanatokea baharini ??
Kushambulia meli za kiraia kunasaidiaje kuzuia adui ?
Kwani angeamua kuzikagua akaziruhusu kungeleta athari gani

Akaamua kuumiza makumi ya nchi Kwa failure yake
Kwenda kukagua meli unafahamu procedures zake na taratibu, au unafikiri hizo meli ni kama Toyo ya mizigo inavyokaguliwa na traffic ?

Meli hata binafsi zinaweza kuingiza silaha za kivita kwa nchi za gulf states zikatumika na vikosi vya adui kuishambulia Iran. Au zikatumika kufanya ujasusi kwa vyombo maalumu ili kuishambulia Iran.

Jaribu kujifunza hata kwa kutazama mlango bahari wa Hormuz kwenye ramani ili uelewe ni hatari kiasi gani kwa Iran endapo mlango huo ukiendelea kuruhusu meli kutoka hovyo na kuingia.

Hivyo Iran ipo sahihi kuufunga huo mlango bahari.
 
Utawala wa USA kuitawala dunia upo ukingoni,naona mipango yote ni kama inagoma.Sehemu pekee ambapo bado ana nguvu kiasi ni America Kasikazini.
1.Huko Amerika ya kusini Brazil,ambalo ndio Taifa kubwa limekuwa kizingiti;
2 Huko Asia-China amemkamata
3.Ulaya-Russia amedinda
4.Mashariki ya kati-Iran amegoma

Atawezaje kuendelea kuwa super power pasipo kuwa na control ya hizo pande za Dunia?-kubali au kataa but hizi ni dalili za anguko la USA
China hadi sasa nina uhakika imegundua kumbe kuikamata Taiwan ni jambo linalo wezekana.

Nadhani intel ya China walikuwa wamemu overrate US..

KWa sababu China ina malengo zaidi katika kukuza uchumi wake, hawawezi kuivamia haraka Taiwan, lakini wakitaka , US hakuna analoweza kufanya.
 
Hizo ndoto zako Bado sana
Us Bado ana mifumo mikubwa
Mfumo upi labda,kitu pekee ambacho bado kinampa kiburi ni mataifa ulimwenguni kununua vitu kwa hela yake ya USA-kitu ambacho hizo nchi hapo juu zina ki challenge kwa sasa.Ni bidhaa au huduma gani ambayo USA anauza ipo so demanded ambayo mchina/Russia hawezi ku supply??
China,Russia,& Iran kwa sasa wanafanya biashara kwa pesa zao.sio miaka mingi USA ataanguka haizidi miaka 30 mbele..

Kumbuka hata hizo vita USA anazoingia ni kwa ajili ya kulinda ukiranja wake wa dunia-but game inabadilika vibaya sana kuliko matarajio yao
 
Back
Top Bottom