Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Ukiwa na ushabiki wa Simba na yanga kuhesabu mabomu na vitisho huwezi elewa kwanini watu wanasema Iran anashinda.

There is a reason kwanini Analyst, viongozi mbalimbali wa west, majasusi na wengine wanaoelewa vita wanasema Iran anashinda. Huhutaji hata kusikiliza pro Iran, sikiliza Mossad, CIA, Uingereza etc wote kwa pamoja Wana view hio.

Trump kakurupuka angesikiliza ushauri wa Jeshi lake haya yote yasingemfika.
Mkuu Pro_Israel wengi ni mashabiki oya oya .

Ukimwambia msikilize watu wazito , CIA na international analyst wakifanya uchambuzi ni ngumu maana akili zao zipo kwenye kutazama matukio tu kapigwa Fulani wameshangilia ila kufikiria inbox , kuchanganua na kuPredict mambo hawana upeo huo.

NaiEnjoy sana humu nikisoma chambuzi za Pro_Iran unajua kabisa akili na shule ipo na mambo mengi waliyotabiri tokea day one yametimia . Pro_Israel hawezi kutenga muda hata wa nusu saa kusikiliza podcast za wabobezibwa sasa za kimataifa kujua wataalamu wanasema nini kusuhu upepo wa vita na yanayoendelea
 
Three drones over Mehrabad #Tehran at 10:45 PM'
Wednesday, April 1.
 
IMG_20260401_204912_745.jpg

♦️ Kamal Kharazi, former Foreign Minister under Mohammad Khatami, was injured during the airstrikes in Tehran on Wednesday, April 1. Iranian news agencies reported that Kharazi was taken to a hospital, but his spouse was killed in the attack.
 
Mkuu Pro_Israel wengi ni mashabiki oya oya .

Ukimwambia msikilize watu wazito , CIA na international analyst wakifanya uchambuzi ni ngumu maana akili zao zipo kwenye kutazama matukio tu kapigwa Fulani wameshangilia ila kufikiria inbox , kuchanganua na kuPredict mambo hawana upeo huo.

NaiEnjoy sana humu nikisoma chambuzi za Pro_Iran unajua kabisa akili na shule ipo na mambo mengi waliyotabiri tokea day one yametimia . Pro_Israel hawezi kutenga muda hata wa nusu saa kusikiliza podcast za wabobezibwa sasa za kimataifa kujua wataalamu wanasema nini kusuhu upepo wa vita na yanayoendelea
Utasikia mtu anaandika kama mlevi 'piga hao wafuga midevu na majini ' unasoma comment hadi unasikitika kuhusu uelewa wa muandika comment.

Ukiwasikiliza watu kama kina prof Marandi, Scott Ritter, George Galloway n.k unapata upeo mkubwa kuhusu hii vita.
 
Iran kwa kufanya mashambulizi makubwa kiasi kile leo nchini Israel toka vita imeanza , hii ina maana Iran inaitaka US iendelee kuwepo kwenye huu mzozo, maana anguko la Trump limeshaekana na Trump anataka kukimbia kujiokoa.

Hivyo tutegemee mashambulizi zaidi kutoka Iran ambayo hayakushuhudiwa hapo awali ili tu kuivuta Israel iendelee na vita maana mashambulizi hayo hayato vumilika, maana ipo wazi hii vita Israel haiwezi pekee. Na Iran inamuona kama Trump anataka kukimbia kujiokoa kisiasa nchini kwake.

Sasa US na Israel walianza pamoja lakini muda uendavyo Trump na Netanyahu wanaanza kutofautiana katika malengo yao, maana Trump anasema regime change imefanikiwa 🤣 . anasema pia US itamaliza hio vita hata kama Iran wasipofanya nao mazungumzo.
 
Baada ya hii vita China itaisaidia Iran kurudi kuwa kama ilivyokuwa awali, itajengwa pengine vizuri zaidi kuliko awali, pia watapata vifaa zaidi vya kivita toka Russia na China kuliko hata awali, Israel isitegemee tena kuja kufanya mistake wakati ujao.
Wahakikishe tu BEBERU USA HAIINGII KAMA KULE VENEZUELA
 
Utasikia mtu anaandika kama mlevi 'piga hao wafuga midevu na majini ' unasoma comment hadi unasikitika kuhusu uelewa wa muandika comment.

Ukiwasikiliza watu kama kina prof Marandi, Scott Ritter, George Galloway n.k unapata upeo mkubwa kuhusu hii vita.
Mtu anaona kuua viongozi ndio ushindi wanashangilia vifo wakati huku hata kina Lukuvi wanakufa na pressure na yeye mwenyewe anaweza kufa kwa cholera au kugongwa na toyo!

Targeted assassinations hazijawahi kuleta faida kokote
Mondlane aliuawa na makaburu, Samora akaendeleza vita mpaka Mozambique wakapata uhuru,
Maj Gen Rwigyema hapo Rwanda, Kagame akaendeleza vita
Col John Garang wa South Sudan pia
Huko Palestina walianza kuwaua kina Abu jihad, Yahya the Engineer, George Habash , Sheikh Yasin, Ahmed Ratansi Yasser Arafat na mpaka hao kina Haniyeh na Sinwar wa juzi hapa lakini hakujapoa
Hezbollah alikuwepo Imad Mughniyeh kabla Nasrallah na hakujapoa

Hao wanakwambia kwenye motto yao

“We were in nonexistence before our birth” yaani tulikufa kabla hatujazaliwa

Leo hii unashangilia kumuua Khamenei mwenye miaka 86, living on borrowed time
Makamanda wa IRGC walioawa wote ni around 70s, maveteran wa Iran vs Iraq war 1980-88, wameuawa lakini urithi waliouacha ndio huo kina Trump wanabembeleza waongee nao

Wanadanganywa na Trump kuwa Iran wameishiwa missiles, leo huko Tel Aviv hakuna kulala kwa mvua ya missiles na waandishi wa habari wapo ground wanathibitisha
 
Kama Mojtaba, ni hatari kuliko hata Khamenei, Khamenei angekuwepo angeshaingia mazungumzo ili kulinda raia wake.

Trump akikaa peke yake anajiona mjinga.
 
Air defense activity in #Hamedan, Wednesday, April 1
 
IMG_20260401_215337_351.jpg

#Shiraz

11:55 PM – Massive explosion in Shiraz.

11:55 PM – Three explosions, possibly near industrial areas.

11:56 PM – Two explosions, reportedly no fighter jet sound, explosions felt nearby

11:57 PM – Industrial area hit again by missile, third strike.

11:56 PM – Electronics industry hit twice more.

Two explosion sounds heard in Shiraz, direction unclear; earlier fighter jet sounds were present, now silent.
 
IMG_20260401_215613_448.jpg

#Mahshahr

IRGC base in Phase 2 hit; previously targeted 12 times. This strike was so intense that everything shook.

11:58 PM – Four heavy explosions in Bandar Mahshahr.

12:00 AM – Two severe explosions in the industrial/residential area; houses and windows shook violently.

12:57 AM – Multiple explosions near Bandar Majidiyeh and one targeted explosion inside residential homes in central city.
 
#Dezful

Fighter jets and four heavy explosions heard.
Around 12:15 AM (Apr 2), within five minutes, four explosions occurred.

12:12 AM – Two explosions, followed two minutes later by two more explosions; fighter jets observed circling overhead.
 
Back
Top Bottom