Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 14,266
- 40,225
Kafiri wanatamba sasa
Sio kila comment lazima ujibu. Inajifedhehesha kwa kuonyesha upo mweupe sana kichwaniTumia basi akili mkuu acha USHABIKI wa kipuuzi
Kwani mashmbulizi mengi yanatokea baharini ??
Kushambulia meli za kiraia kunasaidiaje kuzuia adui ?
Kwani angeamua kuzikagua akaziruhusu kungeleta athari gani
Akaamua kuumiza makumi ya nchi Kwa failure yake
Mbona huyu askari ana boxer tu, walikuwa wanafanyana nini hawa kenge, kizazi cha sodoma na gomora?🚨 Iranian missile strikes US troop bunker in Gulf — soldiers scramble for cover
Footage reportedly shows the moment a ballistic missile strikes close to a bunker housing American troops. Soldiers, some partially dressed, dive for cover.
They started the war. Now they're running from it.
Inasikitisha sana disarmament inaendelea ooh my boys Iran komaeni Hawa washenzi wasiwazoeeView attachment 3565822
Secondary explosion near the Baharestan mountains, Isfahan, 6:30 PM”, Wednesday, April 1.
So so sad 😢View attachment 3565823
Moment of explosion at 15 Khordad military base, south Isfahan (IRGC missile site), 6:27 PM”, Wednesday, April 1
They've hit where it hurts the most ☹️☹️☹️☹️☹️☹️View attachment 3565841
Secondary explosions at 15 Khordad missile site, Baharestan, Isfahan continued into the night.
hivi awa USA na Israel wanatumia aina gani ya mabomu du mamake kwa hoi milipuko hapa na kwa kweliView attachment 3565823
Moment of explosion at 15 Khordad military base, south Isfahan (IRGC missile site), 6:27 PM”, Wednesday, April 1
Nina uhakika mashambulizi kwenye hio manowari ilikuwa ni warning kwamba hizo manowari si salama na zinafikika na kupigika.JUST IN:🇺🇸❌🇮🇷
IRGC releases first footage of Iranian strikes on USS Abraham Lincoln in the Gulf Of Oman, reports massive losses after Iranian missiles strikes.
duh jamaa sijui wanatumia silaha gani hizi kwa kweli jamaa wanatisha sana nimeona video ya shambulizi la leo huko isfahan ila Mmarekani achana naye kabisaMWAGA MOTO MWINGI KAMA MADRAGONI 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
"ISFAHAN YAWAKA MOTO: NDEGE ZA B-2 ZASHAMBULIA VIWANDA VYA SIRI.
Jioni ya leo ya Aprili 1, milipuko mizito imetikisa mji wa Isfahan baada ya Marekani kutumia ndege za 'Stealth Bombers' kupiga mahandaki ya nyuklia na makombora. Mashuhuda wasema milipuko ya pili inaendelea kusikika, huku moshi mzito ukiziba anga la mji huo."
Shambulio la B-2 na "Bunker Busters"
Ndege za B-2 (ambazo ni vigumu kuonekana kwenye rada) zimetumika kutokana na uwezo wake wa kubeba mabomu mazito ya kupenya ardhini (GBU-57 Massive Ordnance Penetrator).
Shambulio hili limelenga vituo vya siri vilivyopo chini ya ardhi katika mkoa wa Isfahan. Maeneo haya yanahifadhi miundombinu muhimu ya nyuklia na viwanda vikubwa vya kutengeneza makombora ya masafa marefu.
Milipuko ya Pili (Secondary Explosions)
Mashahidi wanaripoti "milipuko mikubwa mfululizo" ambayo imedumu kwa muda mrefu. Hii inaashiria kuwa mabomu ya B-2 yamefanikiwa kupiga maghala ya silaha au vinu vya kemikali vilivyokuwa vimefichwa ndani ya mahandaki ya milimani
Huenda mkuu unachosema kikawa kweli.Mbona
Mbona huyu askari ana boxer tu, walikuwa wanafanyana nini hawa kenge, kizazi cha sodoma na gomora?