Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

reports from eastern Tehran province:

19:52 — Target hit in Parchin, a bright flash observed.

19:53 — Explosions heard in Pardis.

19:50 — Damavand-Mosha: fighter jet heard, followed by a heavy explosion.

19:50 — Explosion audible from Rudhen.

19:52 — Gilavand, Damavand: first missile sound, then a boom.
Explosion heard in Damavand, same area where a missile was launched last night.

Single explosion reported from Gilavand, Damavand.

In Damavand: fighter jet directly above, explosion heard at the same time.
 
Majamaa wataisha asee ni toa niweke
 
MWAGA MOTO MWINGI KAMA MADRAGONI 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥

Tehran, Mashhad na Bandar Abbas zinashambuliwa kwa mabomu muda huu.
 
MWAGA MOTO MWINGI KAMA MADRAGONI 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥

"MAAFA KARAJ: DARAJA LA B1 LASHAMBULIWA MARA MBILI.

Jioni ya leo Aprili 2, Marekani imepiga tena daraja la kimkakati la B1 wakati uokoaji ukiendelea. Wakati Trump akitishia kuirudisha Iran 'Zama za Mawe', Iran imetangaza kuanza kwa operesheni ya 'Stone Mountain' ikilenga madaraja yote ya Israeli na Ghuba. Vita vimeingia kwenye hatua ya kuvunja uti wa mgongo wa uchumi na usafirishaji."

Hali hii ya "Double-Tap strike" kwenye daraja la B1 inaonyesha kuwa Marekani haina mpango wa kuacha miundombinu ya Iran isimame tena mwezi huu wa Aprili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…