Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

💥💥💥💥
Muonekane wa kabla na baada wa daraja la B1 Karaj. Linalounganisha Karaj na Tehran.
Hili ndio daraja refu masharakiki ya Kati, lakini leo limeshambuliwa kwa makombora na Israel
20260402_222103.jpg
 
Ni kwa wewe hauna upande unasimama kwa ukweli. Ila wakatoliki wenzako wengi wanaamini Iran inatakiwa kupigwa ili kukamilisha maandiko ya unabii kwenye biblia. Hili suala wenzako wakristo wamelichukulia kidini sana,sio wote bali asilimia kubwa.
Inafikia hatua wapo wenzako wanaosema watoto wa Gaza halali kuuliwa ili wasilete upinzani baadae. Hajui kama wapo waarabu wakristo ambao wanauliwa pia.
Jamaa point alizoongea yupo SAHIHI 100%.
Wakatoliki hatuna huo ujinga wa kushabikia vitu vya kionevu.
Labda madhehebu mengine ya kikristu lkn sio Kanisa Takatifu katoliki na la Mitume.
Sisi hatupendagi ujinga.
 
💥💥💥💥
Muonekane wa kabla na baada wa daraja la B1 Karaj. Linalounganisha Karaj na Tehran.
Hili ndio daraja refu masharakiki ya Kati, lakini leo limeshambuliwa kwa makombora na Israel
View attachment 3566518
Ndo maana regime change inaweza isifanikiwe kabisa!

Sasa daraja ambalo watu wa kawaida hulitumia linahusikaje na mambo ya kijeshi?

Israel na Marekani ni kama vile wanataka tu kuiharibu Iran na hawana lengo la kuwasaidia wananchi wa Iran.

Huwezi kusema unataka kuwasaidia wananchi wa Iran halafu papo hapo unaharibu miundombinu ambayo watu hao hao huitumia!

Huwezi kusema unataka kuwasaidia wananchi wa Iran halafu papo hapo unapiga makombora kwenye shule ya watoto na kuua watoto zaidi ya 100!

Na ndo maana naamini kwamba wananchi wengi wa kawaida wa Iran hawaupendi utawala uliopo lakini pia hawaungi mkono hii vita inayowaharibia nchi yao.
 
Kuna viashiria vingi mno vinavyoonesha US ipo mbali mno kwa zana za kisasa za kijeshi, ni vile tu mashabiki wa Iran wanajitoa ufahamu.
Hivi nyinyi Pro USA huana akili Gani?
Kwani Kuna mtu anakataa uwezo wa silaha wa USA?
Lkn je?
Mbona hizo silaha zao hazikuwaepusha kushindwa vita na :
Vietnam, Somalian groups,na Talabans .
na Sasa anapata taabu na Iran.
 
Trump amekuwa kiongozi ambae anataka kila aliye karibu naye awe ana muogopa, Trump amekuwa kiongozi ambae anataka kusikia tu kile kitu anapenda kuambiwa .. Trump amekuwa kiongozi mpuuzi sana na mjinga tofauti na Trump tuliyemfahamu kipindi cha nyuma. Utagundua hilo pale anapoulizwa maswali ya maana na waandishi anakuwa mkali.

JD Vance kama anapenda kuendelea na career yake katika siasa na kukubalika ni vyema aachane na Trump.

Joe Kent aliyekuwa director of National counterterrorism center ana akili sana, aliamua kujiuzulu hapa majuzi baada ya kuona siasa za Trump ni za kipuuzi na kumchafua.

KUna yule dada Karoline Leavitt ambae ni Press Secretary nimemskiliza , kwa kweli inasikitisha sana jinsi Trump anavyo waharibia vijana hao future zao , wengi wao waliopo karibu na Trump na wanao msikiliza wanakwenda kupotea na uwezekano mkubwa wa career zao kuishia njiani.

Kijana kama JD Vance ambae ana miaka 41 kwa sasa inasikitisha Trump anamuharibia future yake katika siasa za US...
 
Trump na familia yake ikiwemo watoto walinunua hisa katik masoko ya hisa ya viwanda vya kutengeneza silaha kabla ya shambulizi la Iran.

Pete Hegseth yupo kwenye kashfa ya ununuzi wa hisa kwenye defense companies, jamaa wanafanya insider trading, wanaanzisha vita ili kupata faida kwenye stock markets , broker wa Pete Hegseth alikuwa anajipanga kununua hisa ka mamilioni ya dollars kwenye defense companies siku chache kabla vita haijaanza.

Hawa wahuni wanaelewa wanafaidika vipi, na sishangai kwa maana Trump ni mfanya biashara, ndio maana wanapoulizwa sababu ya hii vita ni kitu gani, hakuna majibu ya maana yanatolewa. Trump na genge lake ikiwemo familia yake ni wanufaika wakubwa wa hii vita pasipo kujali vifo na mazingira magumu watakayopitia watu na wananchi wa US.
 
Ndo maana regime change inaweza isifanikiwe kabisa!

Sasa daraja ambalo watu wa kawaida hulitumia linahusikaje na mambo ya kijeshi?

Israel na Marekani ni kama vile wanataka tu kuiharibu Iran na hawana lengo la kuwasaidia wananchi wa Iran.

Huwezi kusema unataka kuwasaidia wananchi wa Iran halafu papo hapo unaharibu miundombinu ambayo watu hao hao huitumia!

Huwezi kusema unataka kuwasaidia wananchi wa Iran halafu papo hapo unapigiga makombora kwenye shule ya watoto na kuua watoto zaidi ya 100!

Na ndo maana naamini kwamba wananchi wengi wa kawaida wa Iran hawaupendi utawala uliopo lakini pia hawaungi mkono hii vita inayowaharibia nchi yao.
Kuweka habari sawa haijawahi kutumika Hilo daraja, B1 bridge ndio linajengwa linakaribia kukamilika, Ila Lina hadhi kwamba ndio daraja refu zaidi middle East likikamilika.

So habari kwamba lilikua zinatumika kusafirisha missile ni fake news za Trump za kila siku, Daraja lenyewe ni shortcut Tu chini yake kuna barabara kibao, mfano wake ni kama Tanzanite Bridge na Salender
 
Ukiona kuishiwa ndo huko sasa!

Unaanza kurusha tu mabomu popote pale!
 
MWAGA MOTO MWINGI KAMA MADRAGONI KWA TRUMP 🔥 🔥 🔥 🔥

“Daraja kubwa zaidi nchini Iran linaanguka na kuharibiwa kabisa, halitatumika tena — Mengi zaidi yanakuja! NI WAKATI KWA IRAN KUFANYA MAKUBALIANO KABLA HAJACHELEWA SANA, LA SIVYO HAKUTAKUWA NA KILICHOSALIA CHA NCHI AMBAYO INGEWEZA KUWA KUBWA! Rais DONALD J. TRUMP.”View attachment 3566508
Siku nyingine wewe,Trump na mwenzio Echolima mnatuambia Iran wanafanya mazungumzo na USA,siku nyingine mlituambia Iran amekubali masharti ya Iran ameomba vita iishe,leo wewe na Trump mnatuambia Iran inatakiwa ifanye makubaliano kabla hajachelewa sana..Jamani! Hamuoni kama nyie watatu ni mazwazwa na ndio maana watu wanawapuuza? Mlishasema Iran kashaomba majadiliano na kakubaliana na nyie leo mnasema anatakiwa akubali mazungumzk😃tuwaeleweje?
 
Back
Top Bottom