City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la karaj. Milipuko mikubwa sana
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la karaj. Milipuko mikubwa sana
Hizi ndio hoja na akili za Pro USAUnataka silaha ziozee stores bila matumizi?
Tunaomba ututajieIran ina sect NNE za jeshi sio mbili.