100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Kama Trump anafanya haya kwa sababau ya Epstein files(kitu ambacho naweza kuamini tokana na maamuzi ya hovyo yasiyoeleweka anayofanya Trump) ambapo inasemekana wayahudi wamemkalia kooni afuate matakwa yao kwa kitisho cha kumuweka hadharani na kumchafua, hivi CIA ipo wapi?
Kama epstein files zinakuwa threat kwa rais wao na kitu kinachopelekea kuiweka Marekani kwenye hali ngumu, CIA wanashindwa ku neutralize hali hio ili kuliokoa taifa tokana na maamuzi ya kipuuzi na kijinga anayofanya Trump? CIA wanashindwa kukabiliana na hayo magenge ya kiyahudi chini kwa chini? Hivi CIA wanazidiwa na Mossad?
Maana Trump amekuwa kituko.. kitu kinachofanya niamini moja ya sababu za hii vita ni Epstein files maana si kwa ujinga huu..