Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Kwa ukichaa na ego ya Trump nadhani sasa vita itaelekea pabaya sana , visima vya mafuta , miundombinu ya gesi , desalination plant nk kutatokea uharibifu wa kiwango kikubwa sana.

#NgojaTuone
 
Wewe unaendeshwa na nini?
Wewe upo Iran?kwamba milio hakuna?unataka tukuamini wewe kwa kucoment matamanio yako hapa jf
Mimi ninachoamini ni kuwa hii vita bado ngumu pande zote na nikutokana na kinachoendelea lakini wewe unaamini Israel ndio anapiga tu ila Iran haishambulii unaona huo utofauti?

Lakini endelea kuamini unachopenda mkuu 🙏
 
Mimi ninachoamini ni kuwa hii vita bado ngumu pande zote na nikutokana na kinachoendelea lakini wewe unaamini Israel ndio anapiga tu ila Iran haishambulii unaona huo utofauti?

Lakini endelea kuamini unachopenda mkuu 🙏
Kila mtu aamini anachojua sio kudanganyana humu
 
Weka na idadi ya Ndege za Iran zilizotunguliwa kindezi?
Kama unawapenda sana omba uraia ukapambane Iran huko ndio utaona moto
Israel Taifa dogo linawasumbua miaka nenda rudi

Nawaambia Mpk desemba Mwaka huu hamtaonekana humu wote 😀
Mbona hajaja peke yake ***** kaja na shoga mwenzake USA!?Angekuja peke yake achakazwe kama ile vita ya 12 days
 
Kwanini unajibizana namashoga? Usiyape airtime yataona kama unataka kuyafukua
 
Hudanganywi ila ulishalishwa propaganda hadi akili zako umehifadhi mfukoni,
Kwahiyo hata Trump mwenyewe alichothibitisha juu ya kudunguliwa kwa ndege vita ya USA huko Iran huamini? 😁😁😁
Mojtaba Ali khamenei eliminated 😀😀
 
Waarabu baadhi hasa viongozi wa dini na serikali wa UAE, Saudia, Qatar n.k wanaojitia wanaichukia Iran kisa udini, hao wajinga ni walevi, wanavuta cocaine na ushenzi wa kila aina huku mchana kutwa wamevaa makanzu yao na vilemba wakijitia ni swala tano, mbwa kabisa hizo.
 
Wacha. WAPASULIWE akili mbovu za rip Netanyahu kutoka Sifa za kuwauwa Viongozi wa Iranian inawatokea puani!!!

lengo lake Netanyahu VITA vikisimama tu libwabwaje kuwa popote tutawashambulia hakuna pa kujificha!!!

Lkn sasa akili yake imeshajibiwa na Iranian kwamaana Iranian popote anapotaka kupiga ndani ya Israel lipo ndani ya uwezo wake!!!

Iyo ni hatari kubwa sana kwa Israel mana umewaeka Wananchi wa Israel kwenye wasiwasi mkubwa

hofu imedhidi ndani ya Israel kutokana na mfumo wa Iranian kutangaza mapema tutapiga pale na kweli masaa kadhaa wanagundua kumebutuliwa!!!

hii inajenga hofu kubwaa sana ndani y nafsi ya waIsrael kwamaana Usalama wa Wananchi kwasasa upo mikononi mwa Iranian!!!

chukua niwewe umejikuta apo vipi uwe na Amani tena unasikia Majeshi yenu bado yanawashambulia watu walioshikilia hatma yenu!!!

Sioni ajabu Wananchi wakiandamana apo mana kiakili upo Salama kabisa.!!

Niwazi maisha yako yote yanakosa Afya ya kujiamin kiakili ✍️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…