Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Ni huzini siku ya leo. Uchi wa kuku uko wazi😂

A-10, F-15, black hawk in single day?? Hii ni aibu Trump!
Siongei kishabiki wala propaganda.
Inasemekana Jana ilikua siku mbaya Kwa jeshi la anga la USA kwa kupoteza ndege Sita kwa siku moja.
1) hiyo F -15 rubani wawili wakaruka.
2)Helkopta mbili na C10 ya msaada ktk zoezi la uokoaji wa marubani zote zilipigwa
3) F -16 ilicrush Saudi Arabia
4) ndege nyingine ilipata ajali au kupigwa ikiwa Kuwait.
Jumla ndege 6.
Hii ni taarifa kutoka Kwa Scott Riter.
 
Yani Iran kufanikiwa kutungua ndege mbili tu ndio imekua gumzo na shangwe kwamba wapo vizuri😀😀😀
Wakati viongozi wao wote wameliwa vichwa wamebaki 9 na kila siku wanaisha,ikifika tarehe 30 April Iran itakua haina kiongozi
Ndege zilizotunguliwa si chini ya 20, it's just Jana zimepigwa Ndege/Hellcopter 5 kwa mpigo.

Before Jana Bloomberg wali confirm atleast Ndege 16 za Marekani zilipigwa so do your math.

Pia jipe moyo, wenzako washatepeta huko sasa hivi wanapiga Tu Raia na civilian targets, hata hawaelewi wanapigania nini wakati kila siku Iran anapunguza uwezo wao wa kupigana.

, Nchi zote za Ulaya zinataka mazungumzo na Iran na pengine vikwazo vyake vikatolewa, atabaki Tu USA na Israel wakiwa wakiwa, soon vita vinaisha na Israel itabidi atafute kwa kwenda ama abadilishe uongozi na kukubali kuishi kwa Amani na wenzake.
 
Nyie hua mna kelele sio wa kuwasilikiza
mliongea hivo hivo kua Iran hawezi guswa,haya kaguswa sasa, Khamenei yupo kuzimu huko, viongozi wa Iran wanaliwa kichwa mmoja mmoja kila siku.

Israel anatosha kabisa kumalizia kazi kidogo iliyosalia
US anaclear anga kazi iwe rahisi
Hio iran mnayoisifia viongozi wake wengi wameuwawa kama kuku hapo hapo iran kabla ya vita na baada ya vita

Tulieni Iran ameshakua dhoofu
 
Hindustan Times wanaripoti kutoka kwenye gazeti kubwa la US Wall Street Journal ambao walifanya uchunguzi, kwamba kwenye shambulia ktk ubalozi wa US nchini Saudi,kuna maafisa wa CIA waliangamizwa (Japo hawa kutaja idadi).
View attachment 3567313

View: https://m.youtube.com/watch?v=Z43cA8cUxL8&pp=ugUEEgJlbg%3D%3D

Hii issue ndio USA alilia kwamba Urusi anamsaidia intelijensia Iran, maana ubalozi wa Marekani ni mkubwa, kuna sehemu maalum ambayo hutumika na CIA na Iran anapiga hapo hapo tena exactly Muda ambao walikua wanafanya kikao.

Kwa Jengo lilivyobakia kama kuna MTU kapona ana Bahati Sana.
images (1) (13).jpeg
 
Viongozi ni watu na watu ni viongozi. Viongozi hawawezi kuisha labda uue raia wote. KUMBUKA Kuna viongozi wengine wapo nje bado wanaweza kuji organize wakawa viongozi. Pia ranks za vyeo akiuawa wa juu anaye fuata kicheo anashika hatamu automatically

Sio kule kwenu alikufa magufuli mmoja tu vikao wiki nzima na wakati Kuna katiba.
Kwa hio unafikiri iran ya sasa isiyo na viongozi ni sawa na iran ile ya miezi 2 nyuma?😀

US ni kama hua anabembeleza lakini ndio unapotea hivo
Hakuna negotiation na watu wanaofadhili magaidi

Wanafyekwa wote Middle East panatulia
 
Nyie hua mna kelele sio wa kuwasilikiza
mliongea hivo hivo kua Iran hawezi guswa,haya kaguswa sasa, Khamenei yupo kuzimu huko, viongozi wa Iran wanaliwa kichwa mmoja mmoja kila siku.

Israel anatosha kabisa kumalizia kazi kidogo iliyosalia
US anaclear anga kazi iwe rahisi
Hio iran mnayoisifia viongozi wake wengi wameuwawa kama kuku hapo hapo iran kabla ya vita na baada ya vita

Tulieni Iran ameshakua dhoofu
Kwanza tulishakubaliana Anga la Iran ni jeupe inakuwaje sasa Trump ana clear Anga? Huoni kauli zina contradict?

Na ana clear vipi Anga wakati kila siku uwezo wa Iran Una improve? Sasa hivi Iran anauwezo wa kudetect Hadi F-35 na kuzipiga?

Hii Lockheed Martin stock Yao ndani ya mwezi
Screenshot_2026-04-04-12-27-07-88_680d03679600f7af0b4c700c6b270fe7.jpg

Watu walisema vita vitawafaidisha Marekani na kampuni zao za ulinzi, wanauza Sana Silaha etc, reality? Zinaporomoka, watu washaanza kuona Ndege zinapigwa kindezi so wnanreserve hawatoi order ama kuzinunua kwa wingi.

Wenzako wamechanganyikiwa huko wanatimuana wenyewe kwa wenyewe na wasipokua makini Serikali ya sasa inaweza pinduliwa Marekani, hao jamaa wa vita hawawezi kukaa wanadhalilishwa.
 
Ndege zilizotunguliwa si chini ya 20, it's just Jana zimepigwa Ndege/Hellcopter 5 kwa mpigo.

Before Jana Bloomberg wali confirm atleast Ndege 16 za Marekani zilipigwa so do your math.

Pia jipe moyo, wenzako washatepeta huko sasa hivi wanapiga Tu Raia na civilian targets, hata hawaelewi wanapigania nini wakati kila siku Iran anapunguza uwezo wao wa kupigana.

, Nchi zote za Ulaya zinataka mazungumzo na Iran na pengine vikwazo vyake vikatolewa, atabaki Tu USA na Israel wakiwa wakiwa, soon vita vinaisha na Israel itabidi atafute kwa kwenda ama abadilishe uongozi na kukubali kuishi kwa Amani na wenzake.
Ndege kutunguliwa kwenye uwanja wa vita ni matukio ya kawaida
Au mnataka marekani yeye atoe dozi tu asipate hitilafu hata kidogo?😀

Hizo ni challenge ambazo vitani lazima ziwepo tatizo ni jinsi mnavyopokea taarifa
Kutunguliwa kwa ndege sio kushindwa kwa vita
Waliotepeta ni hao ambao hataa kulinda viongozi wao tu hio kazi imewashinda
Mpo vitani viongozi wote wanaliwa vichwa kwa sekunde 40?na bado mnatokeza mitandaoni kuongea ongea?vita havina hata miezi 2🙆😀😀
 
Sikuwahi kudhani Iran wanaweza kudinda kwa kiwango hiki kwa bullies kama Marekani na Israel hasa kwa kuzingatia bado hawajaweza kumiliki bomu la nyuklia, uwezo wao kwenye hii vita binafsi umenishangaza!!

Uwezo wao wa ku withstand decapitation strikes na bado wakaendelea kukiwasha kama kawaida unashangaza sana kimsingi, yani wamepigwa sana mwanzoni ila ndo kwanza idadi, intensity na precision ya vifurushi wanavyotuma Israel na ukanda wote wa Gulf inaongezeka kila siku.

Sizungumzii walivoweza kuupiga roba ya mbao uchumi wa karibu dunia nzima kwa kufanya Hormuz pasipitike, yaani Marekani katoa vitisho vyote hapo bado vijamaa vimekaza mpaka amenyoosha mikono mwenyewe.

Na hapo unaambiwa wana underground missile cities zimefichwa deep kwenye milima na sio Mossad wala CIA wenye taarifa zozote kuhusiana nazo na hata wakijua ziliko hakuna bunker buster yoyote inaweza kuzifikia let alone kuziharibu walau kwa teknolojia ya leo na kinachoshangaza zaidi wenyewe wanasema mpaka sasa hawajatumia hata 5% ya stock ya hizo silaha! Na so far strategy ya Iran ni kama inafanya kazi kwa ufanisi mkubwa sana, kwanza; ame decentralize command ya kijeshi kumaanisha hawaathiriki tena na decapitation ya viongozi wachache, pili; wamewachakaza sana nchi za GCC ambao ni vibaraka wa Marekani na Majirani wa Iran, hao kadri kipigo kinavyokolea ndo watamtia presha Marekani amalize vita, Dubai kwa mfano inawezekana isiwe tena kitovu cha biashara baada ya hii mbungi kutamatika.

Amewaonesha Marekani na Israel chochote wanachoweza kupiga kwake nae anaweza kupiga vile vile tena bila kukawia, refer alivopiga kiwanda cha kemikali cha Israel majuzi na mji wa Dimona ambako nuclear tech ya Israel imelala hapo na wamemwambia Trump akigusa miundombinu ya maji na umeme ya Iran, wanapiga miundombinu ya aina hiyo hiyo yote ya Israel na Gulf, na kwa sasa nimeamini uwezo huo wanao, hawabahatishi!

Na tatu; ni kama wanaanza kufanikiwa kuwaingiza Marekani na Israel kwenye war of attrition ambayo katu hao jamaa hawaitaki hata kidogo; jamaa ni kama simba, mbabe sana, nguvu nyingi ila pambana tu uweze ku inflict michubuko kadhaa kwenye mwili wake unammaliza au atakimbia.

Nilichojifunza kwa Iran, kwanza; usitangaze uimara wako, always appear weak, pili nchi ya Iran ilipo geographically ni kama jipu la makalio, linatesa sana ila kulitumbua inataka akili, utulivu na diplomasia ya hali ya juu na sifa hizo Marekani hana, najiskia vibaya make Trump nilikua namkubali sana kabla! Na ningeweza kuwashauri Iran ningewaambia waitumie Hormuz iwasaidie kuondoa vikwazo vyote walivyowekewa na Mmarekani na Ulaya, na awaweke karibu zaidi waHouthi kwa ajili ya Bab-al-Mandab strait, yani wakijitia kuwawekea vikwazo mnafunga hizo njia mbili mpaka akili iwakae sawa!

Wakati vita ikiendelea na baada ya kuisha inawezekana yafuatayo yakatokea;
i. Iran inaweza kutangaza imeunda tayari bomu la nyuklia na ukawa mwanzo wa walau kuwa recognized kama regional power na mwisho wa Israel na Marekani kumuonea,

ii. Marekani ataondoa military bases na biashara zake zote middle east na hizi nchi zinaweza kuanza kumchukulia poa Marekani, kuacha kumtegemea kiulinzi na silaha, kutengeneza ushirikiano na Iran, kumaliza influence ya Marekani kwenye hiyo kanda, kumshusha Marekani kama super power na kupelekea Israel kuendelea kutengwa zaidi na zaidi

******** Iran!!!
 
Kwanza tulishakubaliana Anga la Iran ni jeupe inakuwaje sasa Trump ana clear Anga? Huoni kauli zina contradict?

Na ana clear vipi Anga wakati kila siku uwezo wa Iran Una improve? Sasa hivi Iran anauwezo wa kudetect Hadi F-35 na kuzipiga?

Hii Lockheed Martin stock Yao ndani ya mwezi
View attachment 3567323

Watu walisema vita vitawafaidisha Marekani na kampuni zao za ulinzi, wanauza Sana Silaha etc, reality? Zinaporomoka, watu washaanza kuona Ndege zinapigwa kindezi so wnanreserve hawatoi order ama kuzinunua kwa wingi.

Wenzako wamechanganyikiwa huko wanatimuana wenyewe kwa wenyewe na wasipokua makini Serikali ya sasa inaweza pinduliwa Marekani, hao jamaa wa vita hawawezi kukaa wanadhalilishwa.
Weka na idadi ya Ndege za Iran zilizotunguliwa kindezi?
Kama unawapenda sana omba uraia ukapambane Iran huko ndio utaona moto
Israel Taifa dogo linawasumbua miaka nenda rudi

Nawaambia Mpk desemba Mwaka huu hamtaonekana humu wote 😀
 
Ndege kutunguliwa kwenye uwanja wa vita ni matukio ya kawaida
Au mnataka marekani yeye atoe dozi tu asipate hitilafu hata kidogo?😀

Hizo ni challenge ambazo vitani lazima ziwepo tatizo ni jinsi mnavyopokea taarifa
Kutunguliwa kwa ndege sio kushindwa kwa vita
Waliotepeta ni hao ambao hataa kulinda viongozi wao tu hio kazi imewashinda
Mpo vitani viongozi wote wanaliwa vichwa kwa sekunde 40?na bado mnatokeza mitandaoni kuongea ongea?vita havina hata miezi 2🙆😀😀
Sio Ndege 5 kwa siku lakini, wewe unasema Jambo la kawaida ila hata USA wenyewe kwao sio kawaida na kikao cha Dharura kikawekwa.
 
Yani Iran kufanikiwa kutungua ndege mbili tu ndio imekua gumzo na shangwe kwamba wapo vizuri😀😀😀
Wakati viongozi wao wote wameliwa vichwa wamebaki 9 na kila siku wanaisha,ikifika tarehe 30 April Iran itakua haina kiongozi
Mbuzi akimng'ata Simba 🦁 lazima stori iwe kubwa. Lakini simba akimng'ata mbuzi wala hatutashangaa.
Kitendo cha simba kung'atwa na mbuzi lazima tujiulize: Je, mbuzi ametumia mbinu gani? Je, simba alikuwa amelala ndipo timing ikafanyika? Au mbuzi anatudhihirishia kwamba huyo ni Simba 🦁 wa mchongo?

Kwa hiyo, Iran kumtengenezea USA maumivu ni kitendo cha kupongezwa sana. Hatuwezi kuacha kumpongeza Iran, hatuwezi kuacha kumjadili iran kwa ujasiri na uthubutu wanaounyonyesha mbele ya simba wà mchongo. Kiukweli Iran wanastahili kusifiwa zaidi kuliko US-Israel kwa kile walichofanikiwa kule Tehran.
 
Sio Ndege 5 kwa siku lakini, wewe unasema Jambo la kawaida ila hata USA wenyewe kwao sio kawaida na kikao cha Dharura kikawekwa.
Na ni jambo la kawaida viongozi wakuu 40 kuliwa vichwa ndani ya sekunde? siku ya kwanza ya vita 🤠
 
Weka na idadi ya Ndege za Iran zilizotunguliwa kindezi?
Kama unawapenda sana omba uraia ukapambane Iran huko ndio utaona moto
Israel Taifa dogo linawasumbua miaka nenda rudi

Nawaambia Mpk desemba Mwaka huu hamtaonekana humu wote 😀
Iran na Ndege wapi na wapi? Toka vita ianze imepigwa Ndege yake moja Tu tena ni yak Ndege ilionunuliwa toka Nyerere Raisi na utawala uliopinduliwa.

Na Jinsi vita vinavyozidi ndio Jinsi Israel na USA watakavyokua na Hali mbaya, so kama Vita vinafika December Israel Itakua ni Museum.
 
Mbuzi akimng'ata Simba 🦁 lazima stori iwe kubwa. Lakini simba akimng'ata mbuzi wala hatutashangaa.
Kitendo cha simba kung'atwa na mbuzi lazima tujiulize: Je, mbuzi ametumia mbinu gani? Je, simba alikuwa amelala ndipo timing ikafanyika? Au mbuzi anatudhihirishia kwamba huyo ni Simba 🦁 wa mchongo?

Kwa hiyo, Iran kumtengenezea USA maumivu ni kitendo cha kupongezwa sana. Hatuwezi kuacha kumpongeza Iran, hatuwezi kuacha kumjadili iran kwa ujasiri na uthubutu wanaounyonyesha mbele ya simba wà mchongo. Kiukweli Iran wanastahili kusifiwa zaidi kuliko US-Israel kwa kile walichofanikiwa kule Tehran.
Israel anamaliza hio kazi kidogo iliyosalia

Halitabaki jiwe juu ya jiwe
Dunia ilishtushwa na akina khamenei walichofanyiwa
Hakika Netanyau yule Mzee ni mbaya sana 😀
 
Na ni jambo la kawaida viongozi wakuu 40 kuliwa vichwa ndani ya sekunde? siku ya kwanza ya vita 🤠
Wazee wa miaka 86? Inakusaidia nini kuwaua? Hao wazee ndio walikua angalau wanawatetea kina USA na israel, hawakutaka Fujo na walikua wakiwazuia vijana, sasa hivi Mojtaba kaingia na Jeshi limepewa Go ahead fanyeni mambo yenu unaona mziki wake mwenyewe. Kambi zimechakazwa zote, sasa hivi USA wanarusha missile toka mpaka misikitini na nyumba za Raia. Huko Taifa teule wamekuwa wafungwa wa hiyari, Iran anaamua Muda gani wakalale Muda gani watoke nje.
 
Sasa ulitaka wauawe watoto wachanga?
Hata hivo si wamepata msaada wa kuwahi kumuona Allah?kama wanavodai wao kufa ni thawabu
Kama ni thawabu watoke mafichoni
Mojtaba akinyofolewa mafichoni sijui mtaongea nini tena?😀
Iran anarusha makombora anakosea yanawarudia wao wenyewe ndio apambane na Israel?
Israel anapambana na Iran muda huo huo anapambana na Hezbollah Lebanon,hawa watu ni hatari,sio wa kucheza nao,utapata majanga
 
It means nothing hata Mojtaba akiuliwa, mwengine atachukua kijiiti na mapambano yanaendelea, Nchi yoyote Ile ambayo kiongozi yupo mstari wa mbele na yupo tayari Kufa kwa ajili ya wananchi wake lazima Raia wake nao Wawe na Ari ya Hali ya juu.

Umeona Hellcopter za Jana zilivyopigwa? Zimeingia km 50 Tu toka mpakani Eneo ambalo hata Air defence haiwezi kupiga, search ya Rubani na kupigwa Helicopter vyote vimefanywa na wananchi,

Sasa jiulize kwanini wananchi wanakuwa na Moyo kama huu? Jibu ni Hilo viongozi wao wapo tayari Kufa kwa ajili yao, na wao wapo tayari Kufa sababu ya viongozi wao, mwisho wa siku ndio unapata Taifa kama Iran ambalo lina Honor na pride.

Mpaka waasi wa kibalouch na kurdi ambao hawaikubali Serikali ya Iran kwa Muda mfupi wamesitisha mapigano, wamekataa kuiunga mkono USA na Wana defend Nchi Yao, ugomvi wao uta resume USA na Israel akipigika Kwanza. Mambo kama haya hutayakuta kwa mashoga huko ambao wapo busy sasa hivi chini ya mabunker wakirifuana mitaro.
 
Back
Top Bottom